THE PROMISE YA STAR TV

THE PROMISE YA STAR TV

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,774
Reaction score
47,866
Tamthilia ya the promise inayorushwa star tv kuna jamaa yule mpishi anavaa ki shoga yaani anaboa sana na pia kuna wangine wameenda mbali mpka kujipodoa kabsa na kuvaa ki dem je ni kwanini wahusika wa filipino wanapenda ku potray hili swala ? Na je ni kwanini tamthilia hii ipo na watu wa dizaini hii ? Yaan inaboa sana wakianz kumuonesha yule boya mpishi otherwise kwingne ni nzuri
 
Hata me huwa najiuliza sana hili swala ila yote kwa yote tamthilia zao wafilipino nzuri sana
Yah ni nzuri,nadhani wakiyatoa haya majamaa zitapendza zaidi,hii mtu unashindwa kuangalia na watu wa heshima
 
Sasa kama wanakukereni nyie mna tune in kutizama kwaajili gani?

Kama hampendi basi waache wanaopenda waangalie.
 
Nakumbuka tu The Promise ya TBC mwaka 2008 hii ndio niliifuatiliaga mpaka mwisho. Huku unamkuta BOKBOK huku yupo bidada POKNAT eti wakaachiana ndala moja moja. Toka hapo sijawahi kuangalia tamthilia tena.
 
Kuna channel moja inarudiwa mkuu,nikiikumbuka ntakupa jina
 
Back
Top Bottom