The real cost of corruption in TZ

The real cost of corruption in TZ

Kwa bahati tuna madalali humuhumu JF, waulize bei za viwanja, nyumba etc...

Members wengi hapa naamini mna magari, tufahamishane vipi bei ya mafuta (gasoline) ikoje?

Hivi mishahara ya wafanyakazi (serikali/binafsi) inaendana na maisha halisi ya Tanzania ya sasa? Wanaewezaje kuishi?

Vipi mkuu MTM upo Bongo mkuu? Unaweza walau kutumegea kwa uchache?

Invisible; sijui niiwekeje lakini kusema ukweli huduma zetu zina proper mark-up na ile kitu ya juu; just think of the cots ya kipimo kimoja cha malaria halafu fikiria ni mikono mingapi kile kipimo kinapitia (kwenye manunuzi) hadi kufika maabara...

Tunalipia kipimo kidogo cha HB, au malaria etc kwa mtindo huo

Pia tukumbuke kwamba hakuna sehemu ngumu kama zile za huduma za bure kama za ukimwi na TB, kwasababu the end cost ya products zake hasa diagnostics zinajumuisha alot vya juu kuanzia kununua, kutunza hadi kusambaza bahati nzuri au mbaya hizi cost wanabeba donors

ngoja nitafute lugha nzuri ya kuweka bila kuharibu
 
You are really conservative economist not liberal one.. it is really true that all these nust corruption, fuel can cause high cost of living. Soma kwenye kitabu marxist writer ndio unaweza kuona
 
Corruption takes away government revenues which accelerate the budget deficit, and as a result increased borrowing to finance the deficit. The result is higher interest rates which crowds out investment and impede economic growth. It is difficult to conclude about the effect of corruption on inflation, as the former is not reflected in market forces. However, it is obvious that higher inflation rates leads to corruption.
 
Mkuu kuna links kibao zinaonyesha cost za nyumba Tz, kuanzia renting, sale etc

One bedroom apartment For sale; Price US$80,000 Locations: Dar-Es-Salaam, Upanga | Bedrooms: 1 | Bathrooms: 1
Comments: One bedroom apartments are on offer for sale at ZAHRA ARCADE. Main features include:

• Earthquake resistant construction
• Swimming pool
For Sale by
Huo ni mfano tu, sijataka kuweka link ya hao jamaa! wananiudhi!

Bei za nyumba zinatisha, pamoja na 'mtikisiko wa uchumi' wapi!

You know what; wana hakika watapata wateja!!!!!

Hello everyone my swahili is not the best so i will speak in english. With regards to the property listed above people are complaining that the price of the property is too high. Well lets take a look we have a 3 bedroom property in upanga for 145 000 us dollars. FIrstly these properties have elevators gyms pools inside its decorated with a nice kitchen, aluminum windows, plaster of paris walls, granite counter tops, fully fitted brand new bathroom. Now you guys are telling me that that does not cost a minimum of 80 000 us dollars for the builder to build anywayz minimum. I mean this is upanga we are talking about. I have found many apartments being sold for 220 000. I think this is cheap. PLease can someone tell me where you can find a 3 bed with similar specs for cheaper. Has anyone seen the building site.
 
I have come to a conclusion that the real cost of corruption in Tanzania is the unchecked increase in the cost of living. It is the corruption that has led to the unrealistic increase of prices of goods and services. Would you agree?

Indeed, plus
1. Poor or below standard services offered by goverment agency mfano:elimu, afya, maji, umeme, leseni, etc.
2. Poor roads and other related infrastructures ..vifaa vibovu kutumika, mzabuni feki, life time (span) ndogo kila miaka mitano barabara imeharibika
3. Increasing gap between have's and have not...
 
Mzee Mwanakijiji, of course corruption fuels inflation. Especially if and when the corrupt funds are sourced from the BoT's EPA account.

In order tha the Central Bank pay the Mafisadi, it only dished out the banknotes it had printed and gave them to the big shots who had rendered neither service nor surrendered any goods of their own. Thus this transaction only increased the money supply.

In other words, the billions of TShs given by the Mafisadi who plundered the BoT, to members of the public to purchase khangas, vitenge, T.Shirts, food and drinks, in order to vote for for ccm candidates, were all un-earned income, and they denied other honest wananchi who had worked to get their TShs the chance of procuring those goods. In other words they competed with them and so prices shot up increasing inflation.

JF should ask Governor, Prof. Benno Ndulu to confirm this. It is a pity that Tz may have to experience another bout of inflationary financing later this year when members of chama cha mafisadi re-engage in their craving for the lucrative public positions.
 
Mwanakijiji take a serious note from Kilasara's contribution.This is very important note.
 
Jibu ni kuwa tukipunguza na hata kuondoa ufisadi (siyo rushwa tu!) gharama ya maisha itakuwa karibu sana kama siyo sawa na gharama halisi (actual cost).

Hiyo nayo ni sehemu ya ufisadi; ufisadi siyo rushwa tu.

duh nilisahau gharama hiyo ya simu za mkononi na internet!

mimi simu yangu nalipa dola 45 kwa mwezi; inajumuisha unlimited talk, unlimited text, unlimited voicemail, unlimited internet!
fikiria the same company akija bongo, atahitaji ulipe mara elfu moja ya bei hiyo. Ama kweli corruption is the real threat to our economic development.
 
Corruption sasa hivi inatuchagulia viongozi wetu wa ngazi zote; corruption sasa inatusomeshea watoto; corruption sasa inatuwezesha kuoa na kuendesha familia; amani na utulivu tulivyonavyo vinalindwa na corruption;zaka na sadaka zote zinazotolewa misikitini na makanisani zinatokana na corruption; unaheshimika sana kwenye jamii yetu unapokuwa corrupt kwa sababu utaweza kutoa michango mizuri kwenye hafla na shughuli mbalimbali ikiwemo misiba, harusi, mafuriko,....Halafu mnailani corruption! Ninyi sio Watanzania na wala hamuishi Tz.
 
Ndio maana mtu mmoja alisema kuwa ufisadi ukiisha tanzania wataandamana! kwani kwa mara ya kwanza watajikuta wanatakiwa kulipa gharama halisi ya maisha.
 
Back
Top Bottom