The Real East Africa's Tourism King: Lies Unraveled

Even Tanzania visit Kenya for vocation purposes. Mimi mwenye nimefanya hivyo not once or twice. Freedom of movement within EAC block give us this opportunity.
Hawa nyangau hata abiria walioko kwenye transit wanaesabu touristsπŸ˜€πŸ˜€ Sisi tunaesabu mapato ya tourists wao wanaesabu watuπŸ˜€πŸ˜€ Toka lini $1.2billion ikazidi $2.3billion ?? πŸ˜€πŸ˜€ Hawa kunya wameweka akili zao kibera miguu iko CBDπŸ˜€
 
Mtazidi kuisoma number. Toka lini $1.2 billion ikazidi $2.3 billion ? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Check out @TZMsemajiMkuu’s Tweet:
 
NairobiWalker anasukumwa ajenda ambayo haipo, waziri wao mwenye amekiri Tanzania inawatowa jasho na hawa wanajuwa hivyo ila kichwa ngumu, June sio mbali, kipindi cha bajeti tutajuwa mbivu na mbichi.
 
Kenya contributes to 18.2% of the tourists in tz...wacha kujigamba
Hiyo hatujakataa tena ingekuwa 25% all we want is money. Toka lini $1.2B ikazidi $2.3 B ?? Kuna mtu kaja kujifuraisha humu na data zake za kukulupukaπŸ˜€πŸ˜€
Check out @TZSpokesperson’s Tweet:
 
NairobiWalker anasukumwa ajenda ambayo haipo, waziri wao mwenye amekiri Tanzania inawatowa jasho na hawa wanajuwa hivyo ila kichwa ngumu, June sio mbali, kipindi cha bajeti tutajuwa mbivu na mbichi.
Mkikuyu alisha lahaniwa. Vijana jobless na walevi wapo Gatundu. Walker is from that place. Sasa unategemea akuletee nini ??
 
Even Tanzania visit Kenya for vocation purposes. Mimi mwenye nimefanya hivyo not once or twice. Freedom of movement within EAC block give us this opportunity.
Im sorry i doubt this, i was suprised when some Tanzanians asked if war stopped in Kenya,was like WTF even somali hatakama nikubaya there are places kuna peace,this sort of ignorance should be studied
 
This said is true the number of kenyans visiting dubai is very high,my first time to visit dubai was in 2011 where the company i worked with sponsored us thro bonfire ventures tours and travel
 
Usijali. Wewe endelea kustick with the facts. The facts will speak for themselves. Good job
Naona unamwambia mwenzako ashikilie ujinga wakati wewe hali unaijuaπŸ˜€πŸ˜€ Msaidie mwenzako usimuache pekeyakeπŸ˜€πŸ˜€ Hi quote imenifurahisha. I think thats how Ruto encourages UhuruπŸ˜€
 
NairobiWalker anasukumwa ajenda ambayo haipo, waziri wao mwenye amekiri Tanzania inawatowa jasho na hawa wanajuwa hivyo ila kichwa ngumu, June sio mbali, kipindi cha bajeti tutajuwa mbivu na mbichi.
Wewe unajua maana ya kutolewa jasho? Mtu akikutoa jasho haimaanishi amekushinda - kama vile Bandari ya Dar inaitoa jasho Mombasa Ila haijaishinda Wala kuifikia bado.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Im sorry i doubt this, i was suprised when some Tanzanians asked if war stopped in Kenya,was like WTF even somali hatakama nikubaya there are places kuna peace,this sort of ignorance should be studied
Haha, men are making this up. We have television and internet we can read. My suspecting if that's true, Tanzanian was trying to pull your leg.
 
Kenya contributes to 18.2% of the tourists in tz...wacha kujigamba

I wonder how much they contribute to our tourism,im sure hata haijapita 2%
 
Wewe unajua maana ya kutolewa jasho? Mtu akikutoa jasho haimaanishi amekushinda - kama vile Bandari ya Dar inaitoa jasho Mombasa Ila haijaishinda Wala kuifikia bado.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mtu akikitoa jasho inamaa your on his sight, chochote kikitokea you loose.
 
Haha, men are making this up. We have television and internet we can read. My suspecting if that's true, Tanzanian was trying to pull your leg.
It all sums up to one thing........ UJAMAA MENTALITY imeshika mizizi sana
 
Huyo mzee waku kukulupuka naona figures zake hazina source yoyote ndani ya google. Tunaomba atupatie source. Nime google image source inaonyesha ni Jamii forum. Tunaomba source haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…