The reason Gaddafi was ousted..he intended to withdraw all of the Libyan oil billions from Europe

The reason Gaddafi was ousted..he intended to withdraw all of the Libyan oil billions from Europe

Nakumbuka Uganda nako kaweka msikiti mkubwa tu. Siku moja nilibahatika kumsikia akimshauri M7 kwamba 'wewe hutakiwi kustaafu kwani Uganda ni ya kwako uliitafuta mwenyewe akaendelea kusema; kwa afrika wapo viongozi watatu ambao wanatakiwa kufia madarakani ambao alikuwa yeye, M7 na Mugabe'. Kweli kwa jamii ya kisasa huyu ndo mtu ambaye tunaweza kukaa na kumjadili ukwli alikuwa mmimi sana na mtu wa kutenga watu katika maundi
Unauhakika na unachokisema? Kaiulize Uganda iwapo maneno hayo n yakweli jirani tu hapo.muamar hakuyumbishwa na upepo wa maneno ya watu.sisemi aonekane bora ila nimesimama kwenye upande wa kuonyesha mazuri yake.....wakati gadaffi anatolewa madarakani wengi walitoa mchango na gadaffi hakuuogopa umoja wa waarabu.alidiriki kuwashutumu kwa kukaa kimya baada ya Iraq kuingiliwa na marekani katu hakunyamaza.Arab states unazoziongelea ndiyo hizi zenye viongoz wanaochaguliwa na wamagharibi? Kuna dhana moja ambayo wamagharibi huitumia "destroy his fame before destroying his life" dhana hiyo ndiyo iliyomnyonga sadam Hussein na ndiyo iliyomuua gadaffi.wako wapi wale waliomburuza shujaa wao barabarani? Wamepewa kipi? Gadaffi alikuwa na lengo lakuonyesha ukweli kuwa umoja ni nguvu..
 
mmoja kasema ni fact,.mwingine kaja na story nyingi kuliko uhalisia-.!.mbona tunachangananya hapa
Ni propaganda.

Mfano hawaelezi hizo fact walizitoa mwaka gani wakati kila mtu anajua kuwa kuna wakati Libya ilikuwa imeathirika vibaya kutokana na vikwazo ilivyowekewa baada ya "Lockerbie disaster"
 
Hakuna anaepinga kwamba Colonel hakuwa na msaada mkubwa Libya hususani kwa sekta ya afya na elimu. Colonel alianza kujiharibia kwa kuweka maslahi yake binafsi mbele mf. madaraka yalikuwa kwa mkondo wa familia asilimia kubwa, alianza kuwekeza zaidi katika sehemu alizotokea kulinganisha na sehemu zingine za nchi hata kutaka mji aliozaliwa Sirte kuwa mji mkuu badala ya Tripoli, reserve ya nchi ilikuwa kwa accounts zake binafsi nchi za nje jambo lililopelekea accounts kuwa frozen baada ya mauti yake, na kikubwa watu walitaka kuwa huru nani asiependa kuwa huru hata kama unapewa vya bure.

Kuhusu swala la new weds kupewa $50k na nyumba kwa kila familia walijaribu ila hawakufanikiwa zikabaki story zinazoendelea hadi leo. Elimu na afya col alifanya vyema sana natamani tupate rais kama yule siku moja. Na kama mdau alivyosema hapo juu Gaddafi in the first place alitaka kuwa kwa muungano wa waarabu which is ok baada ya kutoelewana nao ndio akageuzia nguvu zake South Africa na hajawekeza popote Africa zaidi ya kujenga misikiti na makanisa karibia kila nchi
 
Usikatae kuwa gaddafi aliwekeza kuliko yeyote ndani ya Africa.hii ni kwa east Africa. http://oilprice.com/Energy/Energy-General/East-Africa-Grapples-with-Gaddafi-Investment-Legacy.html jaribu kusoma juu ya Ethiopia,mali,CAR,Chad utarudi na kuuthibitisha ukweli.

Ni ukweli alishindwa kuziunify arab states na hilo aliwahi kuliongelea akasema wazi mbele kuwa jitihada zake zimegonga mwamba.turudi kwenye ukweli unaziunganisha Arab states ambazo zinaviongoz wanaochaguliwa toka USA.is it possible? Alihitaji kuwa na watu wenye uhuru wa kuamua na ndio chanzo cha kifo chake.
 
Hakuna anaepinga kwamba Colonel hakuwa na msaada mkubwa Libya hususani kwa sekta ya afya na elimu. Colonel alianza kujiharibia kwa kuweka maslahi yake binafsi mbele mf. madaraka yalikuwa kwa mkondo wa familia asilimia kubwa, alianza kuwekeza zaidi katika sehemu alizotokea kulinganisha na sehemu zingine za nchi hata kutaka mji aliozaliwa Sirte kuwa mji mkuu badala ya Tripoli, reserve ya nchi ilikuwa kwa accounts zake binafsi nchi za nje jambo lililopelekea accounts kuwa frozen baada ya mauti yake, na kikubwa watu walitaka kuwa huru nani asiependa kuwa huru hata kama unapewa vya bure.

Kuhusu swala la new weds kupewa $50k na nyumba kwa kila familia walijaribu ila hawakufanikiwa zikabaki story zinazoendelea hadi leo. Elimu na afya col alifanya vyema sana natamani tupate rais kama yule siku moja. Na kama mdau alivyosema hapo juu Gaddafi in the first place alitaka kuwa kwa muungano wa waarabu which is ok baada ya kutoelewana nao ndio akageuzia nguvu zake South Africa na hajawekeza popote Africa zaidi ya kujenga misikiti na makanisa karibia kila nchi

Hii pia ni makanisa na misikiti?

In 2010 Gaddafi offered to
invest $97 billion in Africa to free it
from Western influence, on
condition that African states rid
themselves of corruption and
nepotism. Gaddafi always dreamed
of a Developed, United Africa and
was about to make that dream come
true – and nothing is more terrifying
to the West than a Developed,
United Africa.
The West’s illegal war against Libya
also is a war against Entire Africa.
AFRICAN UNION:
Libya is one of the biggest
contributors to the budget of the
African Union. Libya is one of five
countries – the others are Algeria,
Egypt, Nigeria and South Africa —
which cover 75 percent of the
Union’s budget. “Libya makes its full
required contribution to AU funds.
Not all countries do and that buys it
influence,” a senior African Union
official said.
MALI :
The Libyan Foreign Investment
Company (LAFICO-MALI)
Location : Bamako -Mali
Date of Establishment: 1998
Participation: 100% LAAICO.
Activity: LAFICO-MALI owns Hotel
de l’Amitie in Bamako which is
being up-graded to a 4 star
international standard .It is also a
shareholder in the National
Tobacco Company (SONATAM).
Plans are also underway to
establish a fruit juice processing
plant.
For several years Mali has been
confronted with the activities of the
radical Islamist militia Al-Qaeda in
the Islamic Maghreb in its northern
deserts. Gaddafi have helped to
resolve conflicts in northern Mali
between rebels and the
government. In 2010 Libya has
given Mali two security planes to
combat insecurity in the north of the
country. These conflicts could flare
up again if Gaddafi exits the stage.
Nowadays Gaddafi has many
supporters in Mali who regularly
march to protest against the
Western-led military intervention in
Libya.
CONGO:
Societe Congolaise Arab Libyenne
du Bois (SOCALIB)
Location : Brazzaville, Congo
Date of Establishment: 1976
Participation: 100% LAAICO
Activity: The company owns a forest
concession of 506.000 ha and a
sawmill plant producing furniture
and carpenter wood. Marketed
throughout the world .
Production: the company produces
annually 60.000 m3 of logs. 36.000
m3 of furniture & carpenter wood
is produced annually types of wood
produced: Ayous, Sapelli, Sipo,
Afromosa.
Libya has put $65 billion into
sovereign wealth funds, including
one which is specifically designed to
make investments in Africa. The
Libyan Arab African Investment
Company, a vehicle of Libya’s Africa
sovereign wealth fund, owns Le
Meridien, one of the biggest hotels
in Congo. The hotel is undergoing
refurbishment paid for by Libyan
investment. In 2010, Libya planned
to fund the building of a highway
north of Congo’s capital Brazzaville,
where also the building of a mosque
is planned.
LIBERIA:
The Libyan Foreign Investment
Company (LAFICO-LIBERIA)
Location : Monrovia -Liberia
Date of Establishment: 2002
Participation: 100% LAAICO
Activity:
1)- 86% LAAICO share holding in
the Pan African Real Estate
corporation.
2)- Industrial: a rubber factory with
capacity of (1000) Tons Per Year .
Libya has provided millions in
investment projects, helping to
strengthen the rule of President
Ellen Johnson Sirleaf in one of
Africa’s most impoverished nations.
Gaddafi’s help includes the funding
of a rubber processing factory built
in Gbarnga, Bong County, a
technical and vocational school for
the handicapped, as well as Libyan
assistance in helping Liberia tackle
the food crisis and renovation for
the Ducor Intercontinental Hotel.
NIGER :
Societe Nigerienne des
Telecommunications (SONITEL)
Location : Niamey
Date of Participation: 2001
Participation: 51% LAAICO. &
STRATEGIC PARTNER 49%
Government of Niger
Activity: Telecommunications
Other interests of LAAICO include:
The purchase of a parcel of land of
6017 M2 .
The purchase of Kolo farm of 50
hectares.
Also in Niger Gaddafi has helped to
prop up the government and the
authorities would become more
fragile without his financial help.
Libyan Prime Minister Al-Baghdadi
Ali al-Mahmoudi visited Niger in
August 2010 and announced the
creation of a $100 million
investment fund for Niger as part of
a strengthening of bilateral ties.
Under earlier agreements, Libya is
contributing 100 million euros for
the construction of a Trans-Sahara
highway in the north of Niger ,
according to sources close to Niger’s
foreign ministry. The local subsidiary
of Libya Oil, along with Total, are the
major players in Niger’s fuel
retailing business .
CHAD:
The Libyan Foreign Investment
Company (LAFICO -TCHAD)
Location : N’djamena, Tchad
Date of Establishment: 1997
Participation: 100% LAAICO
Activity: Industrial, hotels and real
estate; owns a mineral water plant,
garment factory. The company is
currently constructing a 5 star 200-
room hotel in N’djamena and an
administrative, commercial,
residential complex.
Gaddafi has been a key supporter of
the government, which would weaken
if it lost his aid revenue. Chad has
been plagued by civil wars and
invasions after its independence
from France in 1960. After years of
unrest, Gaddafi seals a peace
agreement for Chad between four
Chadian rebel groups and the
Chadian government in 2007, which
agreement was signed in Sirte.
In 2010 Libya made a huge
investment in Chad’s National
Telecom , which meant a boost of the
number of the Chadian mobile
phone users from 100,000 to two
million.
CENTRAL AFRICAN REPUBLIC:
Companie Centrafricaine de Mines
(COCAMINES)
Location : Bangui
Date of Establishment: 2000
Participation: 50% LAAICO – 50%
Private concern
Activity: Diamond mining.
In addition ,LAAICO owns a hotel in
the capital city of Bangui which is
still under construction to be rated
4 star.
Libya has helped to prop up the
fragile government, sending
paratroopers into the capital in 2001
to defeat a rebel assault. In 2008
Gaddafi played a role in the
formation of a peace agreement
between the government and rebel
groups.
MAURITANIA:
Gaddafi was the first head of state
to visit after a 2008 coup which
brought President Mohamed Ould
Abdel Aziz to power. Aziz, who
subsequently won a presidential
election, has visited Gaddafi several
times since then. Even Mauritanian
opposition politicians have gone to
Tripoli to pledge allegiance to the
Libyan leader. Mauritania has debts
to Libya of about $200
million. During discussions on debt
relief in May 2010, the Libyan
Central Bank announced Libya
would provide $50 in grants to
build a hospital and a
university . The university is to be
named after Gaddafi.
SUDAN :
The 20,000-troop peacekeeping
mission in Dafur, jointly supported
by the African Union and the United
Nations, could be hampered if the
African Union (AU) loses funding
from Gaddafi and destabilize the
country. Gaddafi, who blamed the
crisis in Darfur on Israel, made a
number of attempts to broker peace
talks between Darfur rebels and the
Sudanese government.
In October 2010, Gaddafi warned
ahead of a vote on possible
independence for South Sudan that
a partition of the country would be a
“contagious disease” that could
spread to other African states.
ETHIOPIA:
Ethio-Libyan Joint Agricultural
Company (ELACO)
Location : Addis Ababa , Ethiopia
Date of Establishment: 1981
Participation: 49% LAAICO – 51%
Ethiopian Government
Activity: Drilling water wells and
other agricultural activities.
Libyan Foreign Investment
Company (LAFICO-ETHIOPIA)
Location : Addis Ababa , Ethiopia
Date of Establishment: 2000
Participation: 100% LAAICO
Activity: Shareholder in a mineral
water factory. LAFICO-ETHIOPIA
seeks to expand in food processing
projects and other sectors.
The African Union, based in
Ethiopia’s capital, could find itself in
financial trouble if it loses the
massive support that Gaddafi gives
it. Under his rule, Libya supplied
15% of the AU’s membership dues,
and it also paid the dues of many
smaller and poorer African nations.
To seek for a solution of the Eritrea-
Ethiopia conflict, Gaddafi has sent a
special envoy to Ethiopia in 2000. In
2008, Libya’s OiLibya bought Shell
Ethiopia. This agreement also
included retaining all Shell
employees, who were hoping to work
in a better environment since a long
time.
DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO:
LAAICO is a shareholder in Oryx
Natural Resources a mining
company whose present activity is
diamond mining in the Democratic
Republic of Congo.
At the same time. The company is
aiming to expand its activities in
other African countries
GHANA:
Libyan Arab Holding Company
(GLAHCO)
Location : Accra, Ghana
Date of Establishment: 1982
Participation: 65.5% LAAICO -
34.5% The government of Ghana
Activity:
1)- Glahco Hotels & Tourism
Development Company Ltd:
Owns the Golden Tulip Hotel in
Accra rated 4 star having 234 rooms
and 16 studio apartments. The
company is also planning to
purchase Kumasi Hotel located in
Kumasi city.
2)- Ghana Groceries Ltd. Owns a
super market in down town Accra.
3)- Ghana – Libyan Arab
Agricultural Company Ltd. Owns
agricultural farm of 3426 Ha.
planted with fruit trees like
mangos, lemons –etc in sojakobi
located 115 km from the capital
city Accra. The company invested in
irrigation and agricultural
equipment .
SOMALIA:
The African Union peace keeping
mission, whose 8,000 soldiers are
crucial to the battle against Islamic
radicals in Somalia’s capital
Mogadishu, could be severely
weakened if the AU lost the financial
support of Gaddafi.
In 2008 Libya decided to grant an
investment fund to Somalia through
the Sahel-Saharan Investment and
Trade Bank to fund infrastructures
such as roads and bridges within
Somalia.
GAMBIA :
Libyan Foreign Investment
Company (LAFICO-GAMBIA)
Location : Banjul , The Gambia
Date of Establishment: 1999
Participation: 100% LAAICO
Activity: LAFICO-GAMBIA owns the
Atlantic Hotel in Banjul containing
204 rooms rated 4 star .In addition,
the company is engaged in
commercial activities through a 60%
equity in the African International
Trading Company.
Libyan firms own two hotels and the
“Dream Park” entertainment centre
in Gambia. Gambian agriculture has
received support from Libya,
including a donation of new
tractors. In 2009 Gaddafi gave
camels to Gambian President Yahya
Jammeh as a gift. The Libyan and
Gambian presidents have exchanged
visits and senior Gambian officials
attended ceremonies in September
to mark the anniversary of Gaddafi
coming to power.
On September 7, 2009, Gambia
celebrated the 40th anniversary of
the Al Fateh Revolution: “In Libya
everyone enjoys Freedom!”.
 
Here are some Facts you probably do not know about Libya under Muammar Gaddafi:
• There was no electricity bills in Libya; electricity is free … for all its citizens.
• There was no interest on loans, banks in Libya are state-owned and loans given to all its citizens at 0% interest by law.
• If a Libyan is unable to find employment after graduation, the state would pay the average salary of the profession as if he or she is employed until employment is found.
• Should Libyans want to take up a farming career, they receive farm land, a house, equipment, seed and livestock to kick start their farms –this was all for free.
• Gaddafi carried out the world’s largest irrigation project, known as the Great Man-Made River project, to make water readily available throughout the desert country.
• A home was considered a human right in Libya. (In Qaddafi’s Green Book it states: “The house is a basic need of both the individual and the family, therefore it should not be owned by others.”)
• All newlyweds in Libya would receive 60,000 Dinar (US$ 50,000 ) by the government to buy their first apartment so to help start a family.
• A portion of Libyan oil sales is or was credited directly to the bank accounts of all Libyan citizens.
• A mother who gives birth to a child would receive US $5,000.
• When a Libyan buys a car, the government would subsidizes 50% of the price.
• The price of petrol in Libya was $0.14 per liter.
• For $ 0.15, a Libyan local could purchase 40 loaves of bread.
• Education and medical treatments was all free in Libya. Libya can boast one of the finest health care systems in the Arab and African World. All people have access to doctors, hospitals, clinics and medicines, completely free of charge.
• If Libyans cannot find the education or medical facilities they need in Libya, the government would fund them to go abroad for it – not only free but they get US $2,300/month accommodation and car allowance.
• 25% of Libyans have a university degree. Before Gaddafi only 25% of Libyans were literate. Today the figure is 87%.
• Libya had no external debt and its reserves amount to $150 billion – though much of this is now frozen globally.

Gaddafi wrote, “They want to do to Libya what they did to Iraq and what they are itching to do to Iran. They want to take back the oil, which was nationalized by these country’s revolutions. They want to re-establish military bases that were shut down by the revolutions and to install client regimes that will subordinate the country’s wealth and labor to imperialist corporate interests. All else is lies and deception.”

Finally, the gold bullion held by the Libyan Central Bank (March 2011) was among the 25 largest reserves in the world, as reported by the Financial Times, citing the International Monetary Fund. This provided Libya a critical lifeline after billions of Libya’s assets were seized by the United States and the 27 member states of the European Union.

Many believe the NATO-led invasion of Libya was/is about oil and a vast wealth of other natural resources. Yet another critical element that few are aware of is the fact that Gaddafi had planned to introduce a single African currency made from gold. [Of this proposed African currency] Dr James Thring stated, “It’s one of these things that you have to plan almost in secret, because as soon as you say you’re going to change over from the dollar to something else, you’re going to be targeted … There were two conferences on this, in 1986 and 2000, organized by Gaddafi. … Most countries in Africa were keen.” This would have eradicated the US Dollar and Euro as trade currencies for Africa.
 
Ndiyo unaiona leo ................... ilishjadiliwa humu kabla hajafa!!
 
Hizo neema zilizptajwa, zilitakiwa zizidi.

Ndo nyie mnaishukuru serikali kuwachimbia kisima kimoja bila kujua thamani ya kisima iliyopo kwenye makabrasha.

futa kauli ya walibya kunyonywa.Nigeria ndiyo leading country in oil producing in Africa pia kuna na Angola kama sikosei hawajafanya hata robo ya kile alichokifanya gaddafi.billions of dollars zimeliwa wiki iliyopita Nigeria toka kwenye mafuta wanigeria hawanyonywi? tuache ushabiki gaddafi claimed most of the NTC were not Libyans na sasa dunia inayaamini maneno yake.

gold dinar for oil ndiyo bunduki iliyotoa uhai wa gaddafi kama euros for oil ilivyomuua Saddam Hussein.rudi kwenye ukweli ni nchi ngapi za Africa zenye utajiri tunalishwa kipi? ni nani aliyejitoa kwa Africa kama gaddafi? kwa yeyote aliyekuwa na ndoto ya Africa iliyoendelea basi gaddafi alikuwa nuru yake.

al-islam gaddafi aliwahi kusema the France and Americans are after their black gold(oil) and blue gold(water) kumbuka Nubian spring ndiyo chanzo chenye maji safi na ndiyo future blue gold for north Africa
 
Ivi yale masanamu kuangushwa na waandamanaji baada ya kukamatwa na kuuliwa walikua wamarekani?
Kwa iyo we wa kwenye keyboard unajua maisha ya kule kuliko wa libya wenyewe sio?
 
binadamu hata umsaidie kumtafunia chakula na kummezea bado tu hatosheki, ni kama laana
 
Ivi yale masanamu kuangushwa na waandamanaji baada ya kukamatwa na kuuliwa walikua wamarekani?
Kwa iyo we wa kwenye keyboard unajua maisha ya kule kuliko wa libya wenyewe sio?

vipi kuhusu mamia elfu waliokusanyika pindi alipotoa speech wakati waasi wameichukua benghazi.opposition ipo popote pale hata Vatican ikitokea siku wapige kura utaona kitakachotokea.yawezekana unafuata propaganda za wamagharibi those people know how to create scenarios.kwani Saddam Hussein aliuliwa vipi ziko wapi silaha za maangamizi alizokuwa nazo.alivunja haki za binadamu kuliko American drones?? mbona America hapigwi.think beyond that utapata jibu.ikiwa aliyetolewa ni dikteta wenye hatamu sasa wana jina lipi? waliovunja masanamu ya gaddafi ni wale waliopandikizwa maneno na wamagharibi.labda kaulize leo hii ndani ya libya ni wangapi waliounga mkono kutoka kwa gadafi
 
Kama unapewa nyumba bure, elimu na afya bure na kwa $0.15 unanunua mikate 40 watu huko wanafanya kazi kwaajili gani? Wapate nini zaidi

binadamu hajawahi kuridhika mpaka siku anakufa
 
cnniReport.jpg

Here are some Facts you probably do not know about Libya under Muammar Gaddafi:
• There was no electricity bills in Libya; electricity is free … for all its citizens.
• There was no interest on loans, banks in Libya are state-owned and loans given to all its citizens at 0% interest by law.
• If a Libyan is unable to find employment after graduation, the state would pay the average salary of the profession as if he or she is employed until employment is found.
• Should Libyans want to take up a farming career, they receive farm land, a house, equipment, seed and livestock to kick start their farms –this was all for free.
• Gaddafi carried out the world’s largest irrigation project, known as the Great Man-Made River project, to make water readily available throughout the desert country.
• A home was considered a human right in Libya. (In Qaddafi’s Green Book it states: “The house is a basic need of both the individual and the family, therefore it should not be owned by others.”)
• All newlyweds in Libya would receive 60,000 Dinar (US$ 50,000 ) by the government to buy their first apartment so to help start a family.
• A portion of Libyan oil sales is or was credited directly to the bank accounts of all Libyan citizens.
• A mother who gives birth to a child would receive US $5,000.
• When a Libyan buys a car, the government would subsidizes 50% of the price.
• The price of petrol in Libya was $0.14 per liter.
• For $ 0.15, a Libyan local could purchase 40 loaves of bread.
• Education and medical treatments was all free in Libya. Libya can boast one of the finest health care systems in the Arab and African World. All people have access to doctors, hospitals, clinics and medicines, completely free of charge.
• If Libyans cannot find the education or medical facilities they need in Libya, the government would fund them to go abroad for it – not only free but they get US $2,300/month accommodation and car allowance.
• 25% of Libyans have a university degree. Before Gaddafi only 25% of Libyans were literate. Today the figure is 87%.
• Libya had no external debt and its reserves amount to $150 billion – though much of this is now frozen globally.
Gaddafi wrote, “They want to do to Libya what they did to Iraq and what they are itching to do to Iran. They want to take back the oil, which was nationalized by these country’s revolutions. They want to re-establish military bases that were shut down by the revolutions and to install client regimes that will subordinate the country’s wealth and labor to imperialist corporate interests. All else is lies and deception.”

Finally, the gold bullion held by the Libyan Central Bank (March 2011) was among the 25 largest reserves in the world, as reported by the Financial Times, citing the International Monetary Fund. This provided Libya a critical lifeline after billions of Libya’s assets were seized by the United States and the 27 member states of the European Union.

Many believe the NATO-led invasion of Libya was/is about oil and a vast wealth of other natural resources. Yet another critical element that few are aware of is the fact that Gaddafi had planned to introduce a single African currency made from gold. [Of this proposed African currency] Dr James Thring stated, “It’s one of these things that you have to plan almost in secret, because as soon as you say you’re going to change over from the dollar to something else, you’re going to be targeted … There were two conferences on this, in 1986 and 2000, organized by Gaddafi. … Most countries in Africa were keen.” This would have eradicated the US Dollar and Euro as trade currencies for Africa.

Facts about Libya under Gaddafi that you probably did not know about ! - CNN iReport

Below, Nizar Mhani (Niz Ben-Essa) of the Free Generation Movement responds to common misconceptions relating to the Gaddafi regime.
Follow FGMovement on Facebook, and FGMovement on Twitter.
There are no electricity bills in Libya; electricity is free for all its citizens.Categorically untrue. Despite poor electricity infrastructure and poor coverage of electricity lines, even in the Capital, Libyan home owners pay monthly/quarterly (area dependant) electricity bills based on meter readings. Electricity is cut off in instances of unpaid bills. Reconnection upon payment is not instant. The electric infrastructure is weak and some areas of Libya do not have electricity available at all.
There is no interest on loans..
banks in Libya are state-owned and loans given to all its citizens at 0% interest by law.
Categorically untrue. Banks all over Libya have been giving out loans for years and years. There is a percentage rate charge on all loans, which is comparable to an interest rate, but in the spirit of ‘islamic ethics’ it is not called interest, it is called an ‘Administrative Expense’ – Masareef Edareeya.
.A House is considered a human right in Libya ¬
Gaddafi vowed that his parents would not get a house until everyone in Libya had a home. Gaddafi¹s father has died while he, his wife and his mother are still living in a tent.Gaddafi abused this human right as much as he did other basic rights. It is well known in Libya that political opponents and successful business men/women had their homes confiscated and handed over to regime members, usually rewards for Free Officers – Dubat A7rar. Many farms and homes and businesses were confiscated during three infamous phases of Libyas dictatorial history:1969 – The dreaded Green Revolution. Free Officers were rewarded land, homes, and farms that sometimes belonged to other people and the original owners were not compensated or asked if this was ok.Late 70’s - The introduction of the law Albayt le Sakinehee – The Home Belongs to its Dwellers. As this law was passed overnight, thousands of homeowners instantly lost their homes, as tenants (those renting the homes) claimed ownership on account of being the ‘dwellers’. The law applied to homes, farms, shops, etc.90’s - The introduction of Purification Committees (Lejnat al Tatheer). This committee ran by the widely know slogan, ‘Min ayna laka hada?’ – “From where did you obtain this?”, a form of ultra-socialism where people’s possessions, including homes and businesses, were confiscated if seen to be ‘surplus to requirement’ or contributing to a ‘monopoly’.Regarding Gaddafis ‘vow’: While Gaddafi waited for ‘everyone in Libya’ to be housed, he himself lived in a sprawling 6km square compound in the centre of the capital which was home to state of the art security and an underground network of rooms and ultramodern bunkers. He also had a vast and well known farm on Airport Road in Tripoli. This, just in the capital

All newlyweds in Libya receive $60,000 Dinar (US$ 50,000 ) by the government to buy their first apartment so to help start up the family.
This is a well known rumour and a common joke in Libya. Whilst it may have been passed as official legislation, I know of not a single family who has been given this grant. The backbreaking bureaucracy associated with such grants and loans make them more or less impossible to obtain.

.Education and medical treatments are free in Libya. Before Gaddafi only 25% of Libyans are literate. Today the figure is 83%.Education and Health Care – Free does not mean adequate. It is well known that Libya’s standard of health care is nothing short of appalling. It is widely known that the majority of Libyans seeking medical care leave for neighbouring countries for treatment. Our Education system is no better. It is outdated, teachers are underpaid and under-trained and libraries are largely non-existent. The syllabus was constantly being revised and reviewed under direct instruction from the former regime e.g. banning English, changing Quranic verses, etc.It is commonly said that Libyans would be happy to forfeit their ‘free health care’ and pay for a National Health Service if it was up to the required standard.

Should Libyans want to take up farming career, they would receive farming land, a farming house, equipments, seeds and Livestock to kick- start their farms all for free.This has never happened, in addition to this many farms and homes have been confiscated by the government to build railroads, The Great Man Made River and civil roads.The owners of the land were only compensated if there was a covered structure on the land as the Gaddafi regime legally owned any land and the people were only allowed to build on it. When there was compensation offered it was nowhere near the actual value of the property and many waited years to receive anything if at all. This system was also rife with co Less..
 
Back
Top Bottom