The reason Gaddafi was ousted..he intended to withdraw all of the Libyan oil billions from Europe

Suala sio unapewa nini ktk nchi yako, bali ni kwa kiasi gani nyote mna nafasi sawa za kimaisha ktk nchi yenu. Gaddafi hakuruhusu uhuru huo japokuwa aliwapatia huduma nyingi bure.

Mzizi, hata wewe akitokea mtu akasema anakupa kila kitu lkn usijihusishe na harakati mbalimbali za maisha utakubali?

Walibya sio wajinga, kumbuka waliitwa ni mende na panya.

Leo hii naamini kama Gaddafi angekubali kuitisha uchaguzi baada ya kufanikiwa yote hayo, angekuwa mtu maarufu zaidi duniani. Lkn kwa uroho wa kutawala yeye na familia yake, alipuuza sauti zilizodai uhuru wa kisiasa. Ni kosa kubwa sana
Kwani watu wanatawala ili iweje? Basi wewe unaweza kuwa mende kuliko mende yeyote aliyewahi kutokea
 
Walitakiwa wajue tu katika Dunia hii uwezi pata kila kitu. Wanapata uhuru waliotaka tuone sasa maisha yao yataendaje.

Wangeangalia kwanza wenzao wenye uhuru wa kisiasa wana neema kama wao??
Kuwalaum wao bila kumlaum Gaddafi napo unakosea. Wao walidai haki za kiraia, Gaddafi aliwakatailia. Hivi ingekuwaje kama angeandaa maandalizi ya kutoa haki hizo?
 
Suala sio unapewa nini ktk nchi yako, bali ni kwa kiasi gani nyote mna nafasi sawa za kimaisha ktk nchi yenu. Gaddafi hakuruhusu uhuru huo japokuwa aliwapatia huduma nyingi bure.

Mzizi, hata wewe akitokea mtu akasema anakupa kila kitu lkn usijihusishe na harakati mbalimbali za maisha utakubali?

Walibya sio wajinga, kumbuka waliitwa ni mende na panya.

Leo hii naamini kama Gaddafi angekubali kuitisha uchaguzi baada ya kufanikiwa yote hayo, angekuwa mtu maarufu zaidi duniani. Lkn kwa uroho wa kutawala yeye na familia yake, alipuuza sauti zilizodai uhuru wa kisiasa. Ni kosa kubwa sana
Hivi sisi tunaodai uhuru wa kisiasa na kiuchumi ni kwasababu ya ugumu wa maisha.lakini leo hii serikali ikaboresha miundimbinu na uchumi ukawa mzuri kwa kila raia nani atapiga makelele?
 
Huyu pumbavu alimsaidia Nduli IDD Amin zana na askari wakati wa vita ya Kagera, sisi akatusaidia ujenzi wa msikiti Dodoma.
Kweli Uswahili ni punguani
Ulikaririshwa vibaya shule ya msingi na vitabu vya ccm.ungejishughulisha na kujisomea majarida na vitabu mbalimbali ungebaini mabaya yalokuwa yakisemwa dhidi ya gaddafi ni uzushi ulotokana na kutofautiana kwa itikadi za kiimani kati ya nyerere na idd amini.
 
Titupiga kelele, maana haki ya mtu sio social pekee, zipo nyingine nyingi ikiwemo political rights ambazo haitakiwi mtu apokonywe. Kwa taarifa yako, Libya wananchi hawakuitambua kama nchi ya kifalme, ndio maana hata Gaddafi hakuwahi kujiita mfalme, bali alijiita rais. Kuitwa rais maana yake, upigiwe kura, na uwe na muda maalumu wa kutawala upishe wengine watawale
 
Imani gani? Islam vs Christian? Do kweli, wote walikuwa wajamaa isipokuwa Gaddafi aliyekuwa shemeji wa idd amin, alitaka kumsaidia kupora maeneo ya Tanzania. Ndio maana baada ya mission kushindwa, idd amin alienda kuishi Libya, na amefia huko
 
Idd amini aliishi Libya na kufia huko?ama kweli huna ulijualo.Amin aliishi Saudi Arabia na ndipo mauti yalipomkuta.
 
Mimi bado sijathibitisha yote hayo yalioandikwa hapo lakini kipimo sahihi cha kujua alifaa ama laa,nikulinganisha hali ilivyokuwa kipindi cha utawala wako na hali iliyopo sasa na miaka mingi itakayofuatia ndo itagundua kuwa vita si suluhisho la matatizo
 
Suala sio unapewa nini ktk nchi yako, bali ni kwa kiasi gani nyote mna nafasi sawa za kimaisha ktk nchi yenu. Gaddafi hakuruhusu uhuru huo japokuwa aliwapatia huduma nyingi bure.

Mzizi, hata wewe akitokea mtu akasema anakupa kila kitu lkn usijihusishe na harakati mbalimbali za maisha utakubali?

Walibya sio wajinga, kumbuka waliitwa ni mende na panya.

Leo hii naamini kama Gaddafi angekubali kuitisha uchaguzi baada ya kufanikiwa yote hayo, angekuwa mtu maarufu zaidi duniani. Lkn kwa uroho wa kutawala yeye na familia yake, alipuuza sauti zilizodai uhuru wa kisiasa. Ni kosa kubwa sana
Je sasa hivi wanapata Uhuru gani baada ya Gaddafi kutoweka?
 
Huyu pumbavu alimsaidia Nduli IDD Amin zana na askari wakati wa vita ya Kagera, sisi akatusaidia ujenzi wa msikiti Dodoma.
Kweli Uswahili ni punguani
Si msikiti tu unaweza niambia zile pesa alizotoa za kujengee watu wa kilosa nyumba 500 baada ya mafuriko. Kabla ya kifo chake serikali yenu ilizipeleka wapi?

Na je kama kweli walibya walikuwa wanahitaji Uhuru kwa jinsi walivyodanganywa na wamarekani na mataifa ya magharibi, uko wapi sasa huo Uhuru waliokuwa wanautaka?
 
1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote

2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.

3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.

4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.

5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.

6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.

7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.

8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 300 za kimarekane kwa ajili ya gharama .

9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.

10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14

11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150

12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.

13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA

14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000

15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15

16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)

17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.

Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda kwa hell.
 
1461354994723.jpg
 
Na mawili mabaya zaidi ni kupigania bei ya mafuta na kutaka Africa ijitegemee. Gaddafi ni Rais bora kuliko wote niliowahi kupata habari zao. Mungu akujalie heri na pumziko.
 
Baya zaidi kwake akiwa mwenyekiti wa African Union ,kutangaza USA,united states of Africa,dillar gold kama currency ya Africa,kufifirisha ile ya america,dollar,mwisho mafuta,america is strong again,unaona puppets wake wanavyoteseka,Iran,Saudi Arabia nk,laiti wangemsikiliza huyu jamaa,Arab empire ingekuwa tishio,kupanga bei za mafuta duniani nk...
.
 
View attachment 341494

MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI

1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote

2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.

3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.

4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.

5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.

6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.

7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.

8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola 300.000 za kimarekani kwa ajili ya gharama .

9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.

10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14

11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150

12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.

13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA

14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000

15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15

16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)

17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.

Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni
Magufuli nae anaelekea huko huko
 
Imani gani? Islam vs Christian? Do kweli, wote walikuwa wajamaa isipokuwa Gaddafi aliyekuwa shemeji wa idd amin, alitaka kumsaidia kupora maeneo ya Tanzania. Ndio maana baada ya mission kushindwa, Idd amin alienda kuishi libya,na amefia huko
We jamaa Kilaza kweli..!! Idd amin alifia Libya?! Shughulisha kidogo Kichwa chako.
 
View attachment 341494

MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI

1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote

2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.

3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.

4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.

5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.

6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.

7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.

8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola 300.000 za kimarekani kwa ajili ya gharama .

9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.

10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14

11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150

12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.

13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA

14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000

15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15

16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)

17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.

Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni
18- Membe wa Tanzania na mseveni wa Uganda wakifurahia kifo cha Gadafi ili iwe rahisi kuchukuchia mali na mapesa yake .
 
Titupiga kelele, maana haki ya mtu sio social pekee, zipo nyingine nyingi ikiwemo political rights ambazo haitakiwi mtu apokonywe. Kwa taarifa yako, Libya wananchi hawakuitambua kama nchi ya kifalme, ndio maana hata Gaddafi hakuwahi kujiita mfalme, bali alijiita rais. Kuitwa rais maana yake, upigiwe kura, na uwe na muda maalumu wa kutawala upishe wengine watawale
Sasa wamepisha wengine watawale lakini Nchi imekuwa sehemu ya mauaji hakuna raha tena wala huduma Zile zilizokuwa zikipatikana Kipindi cha Gadafi .
 
Back
Top Bottom