CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
Ni hao jamaa zako wazungu ndio walioplani yote hayo na kuyatimiza,ina maana wakati ndege za hao wazungu wanaipiga Libya na wakati wanapiga kwa mabomu msafara wa Gadafi wewe ulikua bado hujazaliwa na ndio maana hujui?Mkuu, usiweke udini, chambua hoja kisha ijibu. Kwani waliomuua Gaddafi ni wazungu au walibya wenyewe?
Waliomkata al islam kidole cha mkono wake ni wamarekani?
Na wanaoendelea kupigana pale kudai uhuru wa kisiasa, ni wazungu?
Uchaguzi ulikuwepo, ila ulikuwa ni uchaguzi wa kumchagua Gaddaf na si vinginevyo.Kwani libya hakukuwa na Uchaguzi
Kama sio Air and Naval Attack za USA Nato na France unadhani wangaliweza hao unaowaita wa Libya kumpiga na kumuua Gadafi?Mkuu, usiweke udini, chambua hoja kisha ijibu. Kwani waliomuua Gaddafi ni wazungu au walibya wenyewe?