The reason to why Tanzania SGR will be having a bullet train at 160km/hr, Proved by China TV

The reason to why Tanzania SGR will be having a bullet train at 160km/hr, Proved by China TV

Ni model kutoka taifa moja lenye uchumi na teknolojia kubwa...subiri Dr Abas atatangaza soon😇

Najua wewe unataka Siemens lakini mimi nilikuwa nataka Hyundai Rotem hasa ukizingatia supervision service is being provided by Korea’s Korail.

hyundai Rotem.jpg

Mi Nilitaka Hii 400Kmph
 
Attachments

  • hyundai Rotem.jpg
    hyundai Rotem.jpg
    102.4 KB · Views: 3
Hahaha, hii nayo sio mchezo
Najua wewe unataka Siemens lakini mimi nilikuwa nataka Hyundai Rotem hasa ukizingatia supervision service is being provided by Korea’s Korail.

View attachment 1233551

Mi Nilitaka Hii 400Kmph
Hata mimi naona kama locomotives zitatoka Korea maana bromance ya serikali ya JPM na Korea ipo vizuri na Korail wanajihusisha na Ujenzi wa SGR hata kimafunzo! Zaidi ya hayo kampuni za Korea zimekuwa ziki-deliver katika miradi mingi! Miradi ya meli, Arusha bypass na Daraja la Selander!
 
Hata mimi naona kama locomotives zitatoka Korea maana bromance ya serikali ya JPM na Korea ipo vizuri
Hatukuwa na uhusiano nao wa kibalozi ila yeye alipoingia aliuanzisha, hivi kule kwa Kim tulikacha? Nakumbuka walikuwa na jengo lao la utamaduni barabara ya Morogoro karibu na jengo la umoja wa vijana.
 
Mchina anasema in the past they had diesel trains and the current Fuxing bullet train are more comfortable and improve safety! Nadhani wale wa SGR first class can get the message live from that train driver! In other words Mchina ana-confirm Kenya SGR is Mtambo wa Chang'aa toka Kithurai!
Please Geza Don't Hurt Em (in MC Hammer's voice)
 
You're missing your call buddy... you'd make a great comedian.
Ninyi ni majirani na tunasaidiana sana, ninyi mkiwa na njaa huwa mnakuja kuomba chakula, mkichinjana wakati wa uchaguzi tunakuja kuwasuluhisha, kwahiyo tunaomba mtusaidie mitungi miwili ya chang'aa wakati tinajiandaa kupata UMEME wetu, ama namna gani?
 
Tutashangaa vitu tutavyoletewa. Labda mtoa mada hajui maana ya bullet train
 
Hatukuwa na uhusiano nao wa kibalozi ila yeye alipoingia aliuanzisha, hivi kule kwa Kim tulikacha? Nakumbuka walikuwa na jengo lao la utamaduni barabara ya Morogoro karibu na jengo la umoja wa vijana.
Aisee kumbe una kumbukumbu nzuri ya mjini, zamani tulikuwa tunafanya live events pale, sijui kama lile jengo bado lipo with all the constructions taking place around the area...
 
Aisee kumbe una kumbukumbu nzuri ya mjini, zamani tulikuwa tunafanya live events pale, sijui kama lile jengo bado lipo with all the constructions taking place around the area...
Ni kweli, rafiki yangu mmoja, ni marehemu sasa, alikuwa anaenda pale kwa wakorea kujifunza muziki.
 
Back
Top Bottom