Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Tupo 18% ya ujenziSi Kwanza mmalize kujenga struggling gorge kwani stima mtatoa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo 18% ya ujenziSi Kwanza mmalize kujenga struggling gorge kwani stima mtatoa wapi?
Mchina anasema in the past they had diesel trains and the current Fuxing bullet train are more comfortable and improve safety! Nadhani wale wa SGR first class can get the message live from that train driver! In other words Mchina ana-confirm Kenya SGR is Mtambo wa Chang'aa toka Kithurai!
Mchina anasema in the past they had diesel trains and the current Fuxing bullet train are more comfortable and improve safety! Nadhani wale wa SGR first class can get the message live from that train driver! In other words Mchina ana-confirm Kenya SGR is Mtambo wa Chang'aa toka Kithurai!
Hata mimi naona kama locomotives zitatoka Korea maana bromance ya serikali ya JPM na Korea ipo vizuri na Korail wanajihusisha na Ujenzi wa SGR hata kimafunzo! Zaidi ya hayo kampuni za Korea zimekuwa ziki-deliver katika miradi mingi! Miradi ya meli, Arusha bypass na Daraja la Selander!
sasa ya 400 km/h na una reli ya 160km/h ?Najua wewe unataka Siemens lakini mimi nilikuwa nataka Hyundai Rotem hasa ukizingatia supervision service is being provided by Korea’s Korail.
View attachment 1233551
Mi Nilitaka Hii 400Kmph
sasa ya 400 km/h na una reli ya 160km/h ?
400km/hr ata ni ndogo iko inaenda mpaka 600km/hr ilifanyiwa testing but haijakua commisionedSidhani kama kuna train ya 400km/h. Maana at that speed, the any object can start to ascend from the ground.
zipo mzee fanya research kidogo utaziona!Sidhani kama kuna train ya 400km/h. Maana at that speed, the any object can start to ascend from the ground.
Last time nilikuwa nchi fulani Scandinavia, walikuwa wakijenga ya 300. Actually, nimewahi panda ya 250. It was like a bomb blast, when started moving.zipo mzee fanya research kidogo utaziaona!
400km/hr ata ni ndogo iko inaenda mpaka 600km/hr ilifanyiwa testing but haijakua commisioned
Inategemea na ndege pia, au unataka kusema zote zinapaa sawa ki speedBro unajua object, hata ndege, inaanza kupaa ikiwa na speed ngapi?
[emoji16][emoji16][emoji16]
mechanism ya ndege na train ni tofauti sana bro...you cant compare the two.tafuta tu youtube utaona izo video za train..Bro unajua object, hata ndege, inaanza kupaa ikiwa na speed ngapi?
😁😁😁
Cheki wajapani mkuu, wanazo mpaka zaidi ya hiyo speed.Sidhani kama kuna train ya 400km/h. Maana at that speed, the any object can start to ascend from the ground.
Cheki wajapani mkuu, wanazo mpaka zaidi ya hiyo speed.
Inategemea na ndege pia, au unataka kusema zote zinapaa sawa ki speed
Angalau umenieleza nikaaelewaHapo nasemea air bus yenye ghorofa.
sasa ya 400 km/h na una reli ya 160km/h ?
you wish?Yatu inaenda mpaka 360 kama sikosei. Twende fasta bwanaaaaa.