Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,224
Ni model kutoka taifa moja lenye uchumi na teknolojia kubwa...subiri Dr Abas atatangaza soon😇
Najua wewe unataka Siemens lakini mimi nilikuwa nataka Hyundai Rotem hasa ukizingatia supervision service is being provided by Korea’s Korail.
View attachment 1233551
Mi Nilitaka Hii 400Kmph
Hahaha, hii nayo sio mchezo
Hata mimi naona kama locomotives zitatoka Korea maana bromance ya serikali ya JPM na Korea ipo vizuri na Korail wanajihusisha na Ujenzi wa SGR hata kimafunzo! Zaidi ya hayo kampuni za Korea zimekuwa ziki-deliver katika miradi mingi! Miradi ya meli, Arusha bypass na Daraja la Selander!Najua wewe unataka Siemens lakini mimi nilikuwa nataka Hyundai Rotem hasa ukizingatia supervision service is being provided by Korea’s Korail.
View attachment 1233551
Mi Nilitaka Hii 400Kmph
Hahahaha, tukikosa UMEME tutakuja kuomba mitungi miwili ya chang'aa kwa muda wakati tunasubiri UMEME wetu.Si Kwanza mmalize kujenga struggling gorge kwani stima mtatoa wapi?
Hatukuwa na uhusiano nao wa kibalozi ila yeye alipoingia aliuanzisha, hivi kule kwa Kim tulikacha? Nakumbuka walikuwa na jengo lao la utamaduni barabara ya Morogoro karibu na jengo la umoja wa vijana.Hata mimi naona kama locomotives zitatoka Korea maana bromance ya serikali ya JPM na Korea ipo vizuri
Please Geza Don't Hurt Em (in MC Hammer's voice)Mchina anasema in the past they had diesel trains and the current Fuxing bullet train are more comfortable and improve safety! Nadhani wale wa SGR first class can get the message live from that train driver! In other words Mchina ana-confirm Kenya SGR is Mtambo wa Chang'aa toka Kithurai!
You're missing your call buddy... you'd make a great comedian.Hahahaha, tukikosa UMEME tutakuja kuomba mitungi miwili ya chang'aa kwa muda wakati tunasubiri UMEME wetu.
Ninyi ni majirani na tunasaidiana sana, ninyi mkiwa na njaa huwa mnakuja kuomba chakula, mkichinjana wakati wa uchaguzi tunakuja kuwasuluhisha, kwahiyo tunaomba mtusaidie mitungi miwili ya chang'aa wakati tinajiandaa kupata UMEME wetu, ama namna gani?You're missing your call buddy... you'd make a great comedian.
Bro vipi tena, kunichanganya hawa jamaa?Ninyi ni majirani na tunasaidiana sana, ninyi mkiwa na njaa huwa mnakuja kuomba chakula, mkichinjana wakati wa uchaguzi tunakuja kuwasuluhisha, kwahiyo tunaomba mtusaidie mitungi miwili ya chang'aa wakati tinajiandaa kupata UMEME wetu, ama namna gani?
Jamaa gani tena?Bro vipi tena, kunichanganya hawa jamaa?
Wakenya.Jamaa gani tena?
Haaaa, samahani sana MKUU, hapo nimefanya kosa kubwa sana. Yaani kama ni mwenye uwanja wa vita tunaita " friendly fire", yaani ningepoteza kama mmoja matata Sana. Pole sana kamanda, tuendelee na mapambano " No retreat, no surrender".Wakenya.
Hata Mimi ninashangaa, koroma, mwaswat, na wajinga wengine wamepotea?, kweli bullet train ni msumari wa moto kwa Kunyaland.Duuu yani mpaka mrembo mwasit hajaonekana. Hiii ni balaa.
Hata Mimi ninashangaa, koroma, mwaswat, na wajinga wengine wamepotea?, kweli bullet train ni msumari wa moto kwa Kunyaland.
Aisee kumbe una kumbukumbu nzuri ya mjini, zamani tulikuwa tunafanya live events pale, sijui kama lile jengo bado lipo with all the constructions taking place around the area...Hatukuwa na uhusiano nao wa kibalozi ila yeye alipoingia aliuanzisha, hivi kule kwa Kim tulikacha? Nakumbuka walikuwa na jengo lao la utamaduni barabara ya Morogoro karibu na jengo la umoja wa vijana.
Ni kweli, rafiki yangu mmoja, ni marehemu sasa, alikuwa anaenda pale kwa wakorea kujifunza muziki.Aisee kumbe una kumbukumbu nzuri ya mjini, zamani tulikuwa tunafanya live events pale, sijui kama lile jengo bado lipo with all the constructions taking place around the area...