Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Mzuka Wana Jamvi ?
Yererereyerere!!! Yere yere ?
Bado ya Kipenzi chetu Maghayo kupotezwa Jf bila huruma sisi wafuasi wake tumekaa Kikao na kuamua turudi kumuenzi mkuu wetu humu Jf.
Kuanzia sasa nimerudi Jf kama Maghayo mdogo nikiwa na mission mbili .
1. Kulipa kisasi kwa Mafia mmoja (Namficha jina ) aliyesababisha Maghayo kuwa kimya humu.
2. Kuwaburudisha Wana msikae kinyonge yake mastori na mizuka ya Maghayo sasa niachieni Mimi kuanzia Leo nitakuwa kama Maghayo vile .
Je , unamkumbuka member nguli Mgerasi Myebusi Maghayo Semenya aka The Mongolian Savage kwa lipi ?
Je , umemMiss ?