Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Huyo mafia sio adriz ?? 🤣Mzuka Wana Jamvi ?
Yererereyerere!!! Yere yere ?
Bado ya Kipenzi chetu Maghayo kupotezwa Jf bila huruma sisi wafuasi wake tumekaa Kikao na kuamua turudi kumuenzi mkuu wetu humu Jf.
Kuanzia sasa nimerudi Jf kama Maghayo mdogo nikiwa na mission mbili .
1. Kulipa kisasi kwa Mafia mmoja (Namficha jina ) aliyesababisha Maghayo kuwa kimya humu.
2. Kuwaburudisha Wana msikae kinyonge yake mastori na mizuka ya Maghayo sasa niachieni Mimi kuanzia Leo nitakuwa kama Maghayo vile .
Je , unamkumbuka member nguli Mgerasi Myebusi Maghayo Semenya aka The Mongolian Savage kwa lipi ?
Je , umemMiss ?
Mwanaume na vigelegele 🚮 nimekushusha vyeo mkuu.Yererereyerere!!! Yere yere ?
Adriz unaumia Sana kisa tu kuleta habari za kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali As.Mzuka Wana Jamvi ?
Yererereyerere!!! Yere yere ?
Bado ya Kipenzi chetu Maghayo kupotezwa Jf bila huruma sisi wafuasi wake tumekaa Kikao na kuamua turudi kumuenzi mkuu wetu humu Jf.
Kuanzia sasa nimerudi Jf kama Maghayo mdogo nikiwa na mission mbili .
1. Kulipa kisasi kwa Mafia mmoja (Namficha jina ) aliyesababisha Maghayo kuwa kimya humu.
2. Kuwaburudisha Wana msikae kinyonge yake mastori na mizuka ya Maghayo sasa niachieni Mimi kuanzia Leo nitakuwa kama Maghayo vile .
Je , unamkumbuka member nguli Mgerasi Myebusi Maghayo Semenya aka The Mongolian Savage kwa lipi ?
Je , umemMiss ?
Mkuu huyo siyo mimi NI adriz ndo anajiita hivyo. Anaumia Sana thread zangu za imam Hussain. Yani Imam Hussain anamfunika muddy.Kipenzi cha imamu Ali
Haya ni makosa Mimi ni Ghayo The Mongo Barbarian sasa weka Ushahidi madai yako au niite mods waingilie kati ukae kifungoni.Mkuu huyo siyo mimi NI adriz ndo anajiita hivyo. Anaumia Sana thread zangu za imam Hussain. Yani Imam Hussain anamfunika muddy.
Kazi yangu ni Kukureport maana sifanani na unayenihusisha nae , bahati nzuri post zako zipo ngoja niKuQuote nimtag Active atoke ufafanuzi wa kisheria kuhusu mtu kusema directly ID Fulani ni ya mtu FulaniHahaha adriz Imam Hussain kumfunika mtume Muhammad na ushia kutamalaki anaumia sana. Maghayo ndio mimi adriz anatapatap muddy na uislamu nlwa sunni kufunikwa
Mcheki mwamba hapo Chini mkombozi wa waislamu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.Wapi kipenzi chenu?
Kipenzi chetu Hussain Ali akiutetea 🥺Mcheki mwamba hapo Chini mkombozi wa waislamu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu.
Hapa akiudaka mshale kwenye kingo za mto Euphrates.
Labaika ya Hussain!
View attachment 3432767
Monetary doctor Al-mukheef std7 Proved Nyamwi255
...Na kuupigania na kuulinda dhati ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.Kipenzi chetu Hussain Ali akiutetea 🥺
Kipenzi chetu Hussain Ali 🥺...Na kuupigania na kuulinda dhati ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
Mcheki tena mwamba hapo Chini maamae!
View attachment 3432768
Huyo ni liadriz temana nalo. Mimi ni maghayo siyo huyu Jamaa. Ameamua kujiita hivi akidhani ananikomoa kwasababu anakosa usingizi na nyuzi na hamasa za ushia na kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu. Imam Hussain kumfunika pedo muddy jamaa inamuuma Sana.Je wewe ndie Busu la Kenge ??
Muulize mwenyewe Busu la KengeJe wewe ndie Busu la Kenge ??