The Return of Morogoro… Big thanks to SGR

The Return of Morogoro… Big thanks to SGR

..Morogoro mji, au Morogoro mkoa?

..Sgr italeta mabadiliko gani ambayo barabara na Tazara zimeshindwa kuyaleta Morogoro?

..Morogoro ni mkoa wenye potential kubwa ili serikali imeshindwa kuuwezesha na kutumia ipasavyo.

..Badala ya kupoteza fedha kujenga mji wa serikali Dodoma naamini tungefaidika zaidi kuwekeza ktk kilimo na viwanda Morogoro.
Mji Mkuu lazima unengwe na Wala pesa hazijapotea zipo za kutosha wekezeni kwenye hicho kilimo
 
Usitake kila kitu kuwekewa na serikali...
Nenda kajifunze Tasnia ya utengenezaji magari nchini marekani, ni kina nani walichagiza ukuaji wake...

..Mama Abduli aache kutumia v-8 za Mjapani, aanze kutumia gari zilizoundwa na Masudi Kipanya Mtanzania. Hivyo ndivyo waundaji wa magari wa Marekani walivyoibuka.
 
Big Thanks to The President her excellency Samia Suluhu Hassan.She has connected and appreciated the fact that this was a project aggreed in the cabinet thus why she put much effort to make it happen.
She further highlighted the future of the project which includes other major international key stakeholders such as BURUNDI AND CONGO
.KAZI IENDELEE
 
Jinga wewe yeye ameikuta kazi ikiendelea kwa pesa zetu.
 
Moro pamebadilika sana moro ya 90 na ushee ilikua moto maji yanatiririka milimani asubuhi ukungu dah... moro is my second home
 
Back
Top Bottom