The Return of Morogoro… Big thanks to SGR

Mnaanzaga kwa mbwembwe
Huu mradi tunaipa Xmas 2 tu chali

Ila tunawatakia kila la heri

Oca
 
..Morogoro mji, au Morogoro mkoa?

..Sgr italeta mabadiliko gani ambayo barabara na Tazara zimeshindwa kuyaleta Morogoro?

..Morogoro ni mkoa wenye potential kubwa ili serikali imeshindwa kuuwezesha na kutumia ipasavyo.

..Badala ya kupoteza fedha kujenga mji wa serikali Dodoma naamini tungefaidika zaidi kuwekeza ktk kilimo na viwanda Morogoro.
Kaka Ethiopian Airline imetengeneza faida ya dola bilioni 7 ndani ya miaka hii miwili, wewe mkuu unadai kuendesha biashara ya ndege ni hasara tupu.

Tanzania kila mtu anataka kujifanya mjuaji kisa upo urahisi wa kufikiwa na kipaza sauti cha channel fulani ya Youtube.
 
..good point.

..Ethiopia shirika lake lina miaka mingi sana

..huenda shirika hilo limeanzishwa kabla hata Tanganyika haijapata uhuru.

..na hivi tunavyozungumza Ethiopia wana ndege zaidi ya 100.

..sasa Tanzania tunatumia zaidi ya TRILLION kununua ndege kama 10 hivi, tukadirie 15.

..Je, ni busara kwetu kununua ndege, au ni afadhali kuwekeza kwenye sekta nyingine za uzalishaji?

..ili shirika letu la ndege lipate faida kama Ethiopia, Qatar, Emirates, Turkish, inabidi tununue hedge nyingi sana.

..Ni sawa na biashara ya mabasi hapa Tanzania. Huwezi kushindana na kina Abood kama mfuko wako wa kununua mabasi haujatuna kama wa kwao.
 
Katika suala la rasilimali TZ ni tajiri kuliko Ethiopia, sekta ya anga hutegemea kwanza sekta nyinginezo zinaendeshwa vipi.

Tuna sehemu nyingi za kuwaleta wageni na ndege, kinachohitajika ni ubunifu wa wanaoendesha sekta hiyo hapa bongo. Wanajipanga vipi kwa ujumla.

Ethiopia hawana vivutio kuishinda Tanzania yenye kila kitu kuhusu mvuto wa asili.
 
..kuna nchi kama Afrika Kusini wana vivutio sawa na Tanzania, wana uchumi mkubwa kuliko sisi, na wanapokea abiria wengi kuliko Tanzania. Shirika la ndege la Afrika Kusini limepata hasara kwa muda mrefu sana.

..biashara ya usafiri wa anga faida yake inapatikana kwa kuwa na ndege nyingi. Je, Tanzania inao uwezo wa kununua ndege nyingi na kushindana na mashirika yanayoendeshwa kibiashara, kwa faida?

..Ndio maana nikakwambia biashara ya shirika la ndege ni sawa na biashara ya mabasi hapa Tanzania. Kama una fedha zako za kawaida sio busara kujiingiza ktk biashara hiyo wazoefu kama Abood watakuchinjilia mbali.
 
Hakuna kinachoshindikana kama nia ipo. Naamini ipo ndio maana mpaka leo zimenunuliwa ndege 15 mpaka muda huu.

Kuna masoko ya bidhaa nyingi zinazozalishwa huko bara zina soko kila mahali duniani, bidhaa zinazosafirishwa kwa ndege.

Utalii karibu mwaka mzima una wateja wanaotaka kuwaona Simba na Chui wakiwa wamepumzika chini ya jua.

Biashara ya ndege inao wataalam wa kuiendesha hapa nchini na wanaaminiwa na imekuwa ikikua kila kukicha.
 
Back
Top Bottom