The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Mji Mkuu lazima unengwe na Wala pesa hazijapotea zipo za kutosha wekezeni kwenye hicho kilimo..Morogoro mji, au Morogoro mkoa?
..Sgr italeta mabadiliko gani ambayo barabara na Tazara zimeshindwa kuyaleta Morogoro?
..Morogoro ni mkoa wenye potential kubwa ili serikali imeshindwa kuuwezesha na kutumia ipasavyo.
..Badala ya kupoteza fedha kujenga mji wa serikali Dodoma naamini tungefaidika zaidi kuwekeza ktk kilimo na viwanda Morogoro.
Kwa hiyo Tanzania Ina Majiji 4?Serikali ya CCM inawekeza kikanda
Kila kanda Jiji moja
Dar
Mwanza
Arusha
Dodoma
Usitake kila kitu kuwekewa na serikali...
Nenda kajifunze Tasnia ya utengenezaji magari nchini marekani, ni kina nani walichagiza ukuaji wake...
Ujinga,Sgr ndio nini labda?Ni kweli, tukiitumia vizuri hii SGR , Moro inaweza kuwa Amstardam ya Tanganyika..i miss the place
Mji Mkuu lazima unengwe na Wala pesa hazijapotea zipo za kutosha wekezeni kwenye hicho kilimo
Wewe umefanya kipi? Hii mentality ya kipumbavu sijui mliloshwa na naniNimekwambia serikali ya ccm ndio inafanya ivyo
Japan na Marekani wenye Madeni 124% ya GDP nao hawana pesa ndio maana wanakopa?..hatuna fedha.
..ndio maana tumekuwa kopakopa.
Nilisahau iyo mbeyaKwa hiyo Tanzania Ina Majiji 4?
Mbeya na Tanga ni nini?
Utafanya nini kuendeleza Jiji? Huoni tunakamuliwa Kodi?Wewe umefanya kipi? Hii mentality ya kipumbavu sijui mliloshwa na nani
Ni mbumbumbu tuu ndio mda wote anawaza Serikali inamkwamishaUtafanya nini kuendeleza Jiji? Huoni tunakamuliwa Kodi?
Izo kodi ndio ziendeleze miji
Acha kuwa mjinga unaniudhi
Atusaidie na kwenye "megaland" alimaanisha kitu gani
Waluguru wavivu kama ndugu zao wazaramo ndio wenye mji, makabila mengine yaliyoko nje ya mji ni wachapa kazi wazuri.Sasa Mkuu Waluguru wenzio wamekuelewa kweli?
Jinga wewe yeye ameikuta kazi ikiendelea kwa pesa zetu.Big Thanks to The President her excellency Samia Suluhu Hassan.She has connected and appreciated the fact that this was a project aggreed in the cabinet thus why she put much effort to make it happen.
She further highlighted the future of the project which includes other major international key stakeholders such as BURUNDI AND CONGO
.KAZI IENDELEE
Ilianza wakati wa Mkapa.Alianza nayo akiwa kama V.P na sasa anaiendeleza kama nam ba 1.
inakuuma?