Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kabisa. Ukizingatia naye inasemekana amewekeza nchini. Alitakiwa amaliz kuandika yoote ndio analeta. Sio kipande kipande hiviMmmh!!! Au PK ameshatuma watu wamempiga pini? Ameona anataka kumuumbua, maana PK sio wa mchezo mchezo.
Mwambie muuza popcorn aongeze na huku kwangu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Imekua kawaida siku hizi, uzi ukihusisha Rwanda lazima watu wavurugane kwa vita ya maneno!
More popcorn please!
Nina wasiwasi ameshanyamazishwa huyu. PK ana mkono mrefu kuliko wa shetani.Mwendelezo lin
Hahaha!!! atakuwa yupo ngarenaroYupo hai
Watutsi hawana undugu na Waarabu acha kuzusha mambo.habib B. Anga
Japokuwa mzazi wangu mmoja ni mzaliwa wa rwanda, mwaka jana alinipeleka sehemu akaueleze ukweli wa mambo. Japo alisema mambo mengi ambayo sikuwa interested nayo ila hawa jamii ya hamites ni shida kwa kweli. Hawa watutsi ni wana roho za visasi kma ndugu zao waarabu.
Nahisi siku moja yatatokea mauaji wa kimbari tena na haya yatakayotokea tena nadhani yataishinda hata yale ya Rohingya.
Watutsi jamani embu badilikeni acheni roho za visasi kama waa-Afganstan itawasaidia
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hii stori imeishia hapa hawezi endeleza ambao mnataka kuisoma yote njooni PM [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]