The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

Siku zote wanatuongopea ni jitihada binafsi
 
Mmmh!!! Au PK ameshatuma watu wamempiga pini? Ameona anataka kumuumbua, maana PK sio wa mchezo mchezo.
 
Mmmh!!! Au PK ameshatuma watu wamempiga pini? Ameona anataka kumuumbua, maana PK sio wa mchezo mchezo.
Inawezekana kabisa. Ukizingatia naye inasemekana amewekeza nchini. Alitakiwa amaliz kuandika yoote ndio analeta. Sio kipande kipande hivi
 
Imekua kawaida siku hizi, uzi ukihusisha Rwanda lazima watu wavurugane kwa vita ya maneno!

More popcorn please!
Mwambie muuza popcorn aongeze na huku kwangu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Watutsi hawana undugu na Waarabu acha kuzusha mambo.
 
Hii stori imeishia hapa hawezi endeleza ambao mnataka kuisoma yote njooni PM πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…