The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

Salute mkuu.
Karibu sana mkuu. Hujawahi kuniangusha endelea kutupa vitu...
Mkuu naomba hapo kwenye tag hilo jina ulibadili liwe Da'Vinci
Ahsante.
😉😎🙂🙂
Salute comrade... shukrani sana
 
Xcuz me!!! etii?!!? Putin tajiri zaidi duniani!!? Aaahh umebugg mjomba

Sikia mjomba maisha yako yote mwanasiasa tajiri hawezi mzidi mfanyabiashara tajiri hata aibe vipi, achana na kitu inaitwa biashara, acha mchezo kabisa na iyo kitu, tena usilete utani ata kidogo

Cheki apa Bill gates anaingiza dolla za kimarekani 23,148 kwa dakika1 sawa na Tzsh Milioni 53, 240,400 hiyo ni kwa dakika mjomba lakini kwa siku anaingiza dolla za kimarekani Millioni 1,380,000 sawa na Tzshs Tillion 3,174,000,000 bajeti ya wizara hiyo mjomba

Dangote anaingiza Tzsh Million 11,600,000 kwa siku sawa na Million 350,000,000 kwa mwezi sasa unapokuja kutuletea porojo za watu kama akina kagame eti ni matajiri hahahahaa umekula maharage ya wapi mjomba

Achana na iyo mambo, kama unawaingiza chaka watu, waingize lakini kaa ukijua hapa Jf ni jukwaa la watu smart sana, usije ukaleta porojo zako ukadhani umewalisha matango yako, no way

Eti kagame tajiri africa,
Umebugg meeeen
Wewe nae ni jipu.. Dola Millioni. 1,380,000 ni sawa na Trillion 3,174,000,000 kweli ????!! Au wewe ndie umekula hayo maharage uliyoyataja mjomba??! Kabla hujasimama kukosoa, jitazame kuwa wewe uko sawaa au laa!!!. ADHANIAE AMESIMAMA, AANGALIE ASIJE AKA ANGUKA...
 
Mimi nimekula maharage ya koromije mkuu
 
Hongera sana mkuu tunasubiri kwa hamu. Nilibahatika kuchukua namba yako kwa ajili ya kupata vitabu vyako na nina kumbuka ulisisitiza ni whatsapp lakini haukunijibu text zangu mpaka nilipokata tamaa.

Tunapenda kazi zako na tunahitaji kukusapoti lakini jaribu kuonyesha ushirikiano pia.
 
Back
Top Bottom