The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

Hongera sana mkuu tunasubiri kwa hamu. Nilibahatika kuchukua namba yako kwa ajili ya kupata vitabu vyako na nina kumbuka ulisisitiza ni whatsapp lakini haukunijibu text zangu mpaka nilipokata tamaa.

Tunapenda kazi zako na tunahitaji kukusapoti lakini jaribu kuonyesha ushirikiano pia.
Niwie radhi kamaradi... nitatoa taarifa karibuni
 
Yaani kwa hii trela wewe ni next level, Nikuombe ujaribu kuangalia sanaa ya filamu Tanzania nahisi inabidi watu wenye kichwa kama chako wazamie huko, kwani kuna utajiri umejificha kule afu wale mambumbu hawajui pakuanzia, Tengeneza timu na mfumo wako tofauti kabisa na uliopo naimani iko fursa pana kule kwa watu wenye uwezo mkubwa kama wewe Habibu B. Anga. Marvel studio imetuletea mtu anaye paa. Naamini kila kitu kina anza kama abstract na ww umebarikiwa hilo kwa kadirio ya nionavyo maandiko yako.
Shukrani sana mkuu kwa ushauri huu
 
Here comes Kichwa. The new Juventus fan!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Treller kama muvie. Nishaagiza popcorn ba mkwe!
 
Mkuu Habib, ingawa huwa hufanyi taging kwangu, lakini huwa nakufuatilia kwa mbali na naona jinsi unavyoweza kutumia hiyo kalamu.

Kalamu ni Silaha kali sana na hapo unapoingia sasa hivi ndipo penyewe khasa.

Shusha nondo na hii itakuwa ni moja ya makala za mwaka.

Hawa viongozi wako wengi hata kule Angola, Equatorial Guinea na kadhalika tunaona jinsi wananchi wa kawaida wanavyowezeshwa kusahau kufikiri.

Lete Darsa.
 
Back
Top Bottom