Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
-
- #81
Salute comrade... shukrani sanaSalute mkuu.
Karibu sana mkuu. Hujawahi kuniangusha endelea kutupa vitu...
Mkuu naomba hapo kwenye tag hilo jina ulibadili liwe Da'Vinci
Ahsante.
😉😎🙂🙂
Karibu, Tuusikilize uzi wa THE BOLDSawa nimetulia mkuu
Tayari mkuu..Mkuu the bold na mm niadd
Wewe nae ni jipu.. Dola Millioni. 1,380,000 ni sawa na Trillion 3,174,000,000 kweli ????!! Au wewe ndie umekula hayo maharage uliyoyataja mjomba??! Kabla hujasimama kukosoa, jitazame kuwa wewe uko sawaa au laa!!!. ADHANIAE AMESIMAMA, AANGALIE ASIJE AKA ANGUKA...Xcuz me!!! etii?!!? Putin tajiri zaidi duniani!!? Aaahh umebugg mjomba
Sikia mjomba maisha yako yote mwanasiasa tajiri hawezi mzidi mfanyabiashara tajiri hata aibe vipi, achana na kitu inaitwa biashara, acha mchezo kabisa na iyo kitu, tena usilete utani ata kidogo
Cheki apa Bill gates anaingiza dolla za kimarekani 23,148 kwa dakika1 sawa na Tzsh Milioni 53, 240,400 hiyo ni kwa dakika mjomba lakini kwa siku anaingiza dolla za kimarekani Millioni 1,380,000 sawa na Tzshs Tillion 3,174,000,000 bajeti ya wizara hiyo mjomba
Dangote anaingiza Tzsh Million 11,600,000 kwa siku sawa na Million 350,000,000 kwa mwezi sasa unapokuja kutuletea porojo za watu kama akina kagame eti ni matajiri hahahahaa umekula maharage ya wapi mjomba
Achana na iyo mambo, kama unawaingiza chaka watu, waingize lakini kaa ukijua hapa Jf ni jukwaa la watu smart sana, usije ukaleta porojo zako ukadhani umewalisha matango yako, no way
Eti kagame tajiri africa,
Umebugg meeeen
Pamoja sana kamaradiKichwa nakukubali sana kamanda
Mimi nimekula maharage ya koromije mkuuWewe nae ni jipu.. Dola Millioni. 1,380,000 ni sawa na Trillion 3,174,000,000 kweli ????!! Au wewe ndie umekula hayo maharage uliyoyataja mjomba??! Kabla hujasimama kukosoa, jitazame kuwa wewe uko sawaa au laa!!!. ADHANIAE AMESIMAMA, AANGALIE ASIJE AKA ANGUKA...
Pamoja sana chiefyani mkuu nishaweka na alarm kabisa
Tayari mkuuNi add na mimi mkuu kama hutojali Boss wangu
Hata kwa mengi ni hela ndogo sana.Mkuu una uhakika na hii takwimu? 350m kwa mwezi mbona ni ndogo sana kwa Dangote?
Done chiefmkuu mie niongezee kwenye list yko
Ondoa shaka mkuu, tupo tunamsubiri mkurugenziKaribu, Tuusikilize uzi wa THE BOLD