The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

Hicho kichwa usifanye kiwe stoo ya mate,ubaguzi unao wewe na fmailia yako pole sana kuiombea Rwanda mabaya kamwe haiji tokea Rwanda inasonga mbele kwa kasi ya LTE [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Proudly Rwandese.eti dada yako huna hadhi ya hata kuniita dada pambana na hali yako punguza shobo

Chaaa umeona mimi mlaku laku ukwendeee uko au unathani nimekuzimia wewe?

Anyway rudi tu nyumbani sasa maana na hizo sura zenu na vipua vidonko mnavyobagua sijawahi kuona dunia hii. Ila mjifunze na muachane na siasa kali kisije kutokea kma kule Uturuku mambo ya Armenia genocide
 
Heshima yako Mkuu. Nimesema leo sinywi chai mpaka nimalize kusoma ila nimekasirika sana kuona umeishia sehemu ya pili tu. Ila Mkuu uko njema sana kipaji hiko ni wachache sana

nasubiri kumuona "Asset wa serikali ya Marekani" PaKa

Habibu B. Anga
 
Last edited:
Aah! Asa mbona Story tuu husemi utajiri walionao?
Je wamefungua Miradi gani inayowapatia Utajiri ili nasisi tuangaliye hiyo fursa!
 
View attachment 815633

The Richest Man in Africa: Kila utajiri una ukafiri nyuma yake

PREMIERE

Nimekuwa kimya sana, nimejikita sana katika tafakuri. Tafakuri juu ya masuala yaliyo bayana lakini hayasemwi... masuala yaliyo dhahiri lakini hayaonwi. Pengine kuna sababu kwa nini hayasemwi na pengine kuna juhudi ya kufanya yasionwe.

Nahisi imefika zama kwa wale ambao tumeamua kufanya kalamu kuwa maisha yetu labda tuthubutu kuoneshwa visvyoonwa na kusema yasiyosemwa. Ni hatari, nafahamu. Lakini hatuna fursa nyingine ya kuweka alama juu ya uso wa dunia zaidi ya fursa ya maisha haya tuliyonayo sasa.

Moja kati ya vitu vibaya zaidi na vya kukaraisha kuishi katika nchi za ulimwengu wa tatu si umasikini wake tu bali ni namna ambavyo tumejiwekea mifumo ya kudumaza uthubutu wa kuwaza na kujenga fikra mbadala. Pengine mifumo hii dumavu ndio sababu hasa ya kufanya umasikini usikome katika nchi zetu hizi.
Utete wa kiwango cha kujiamini (fragile egos) cha viongozi wetu wa nchi hizi umefanya watu kuwa na mawazo mbadala liwe ni mwiko kabisa. Na siongei tu kuhusu ukosoaji, la hasha bali najenga hoja pia juu ya utamaduni wa nchi zetu kuijenga jamii yetu kuwa na mawazo ya 'kundi la ng'ombe'. Mawazo mfanano. Utamaduni wa kuona kwamba tukiwaza sawasawa ndiyo inatufanya kuwa jamii bora tukisahau kuwa maendeleo duniani yameletwa na uwepo wa watu waliofikiri kinyume na mawazo yaliyojengeka kwa muda mrefu kwenye jamii. Watu wenye kufikiri nje ya mawanda yaliyozoeleka.

Utete wa viwango vya kujiamini vya viongozi wetu unafanya hofu na woga kutamalaki kwenye jamii yetu kiasi kwamba hata wenye kujua kidogo tu hawakisemi na kuogopa kuifumbua macho jamii juu ya machache wajuayo. Matokeo yetu jamii zetu za kiafrika zinaishi katika ukimya, ukimya wa wanaojua wakiacha jamii ukifungiwa gizani na hata watoto wetu mashuleni kulishwa historia iliyokobolewa na kupembuliwa na kubakia makapi wasijue ukweli halisi.

Ni muda muafaka nadhani kwa viongozi wa kiafriaka kutambua kuwa mawazo mbadala hata yale ambayo wanaweza wasiyafurahie ni mbolea katika ustawi wa jamii. Jamii inakua kwa mawazo yenye kukinzana. Kukinzana kwa dhamira ya kuisukuma mbele jamii.

Mwaka jana nilifurahishwa sana na makala kinzani ambayo ilikuwa imekuja na wazo mbadala lenye kukinzana na jarida la Forbes ambalo hutoa orodha ya watu matajiri zaidi duniani. Makala ile ilimuainisha Vladmir Putin Rais wa Russia kama mtu tajiri zaidi duniani akiwa na utajiri wa zaidi ya dola bilioni 200. Kwa haraka haraka baadhi ya watu walihisi ni propaganda za magharibi kumjengea picha Putin kama kiongozi mwenye kujilimbikizia mali na mlafi.
Yawezekana ni kwelil lakini watu wanaruka ukweli kwamba ukiwatazama maswahiba wa karibu wa Putin kama vile Roman Abramovich wana utajiri mkubwa kuzidi ule ambao unatajwa na jarida la Forbes. Lakini pia ukitazama kwa mahesabu ya kihasibu kuna kiwango kikubwa sana cha fedha ambacho hauwezi kukisema kilienda wapi katika kipindi cha mwishoni mwa miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili kipindi ambacho kinatambulika nchini Rusia kama kipindi cha 'alluminium war'.

Lakini pia ni ukweli ulio wazi kuwa jarida la Forbes halivutiwi na kuwaweka kwenye orodha ya utajiri viongozi wa kiserikali na wahalifu. Ndio maana utaona ma-Prince wa nchi za kiarabu licha ya utajiri wa kufuru walionao lakini hawapo kwenye orodha hizo. Vivyo hivyo na wahalifu wa daraha la kwanza kama akina Guzman El Chapo ambaye ana utajiri wa kutupwa lakini bado haorodheshwi kwenye orodha hiyo.

Ndipo hapa ambapo nataka kujadili juu ya mtu tajiri zaidi Afrika ambaye huwezi kumsoma kwenye jarida la Forbes. Lakini utajiri wake ambao nataka kuujadili si utajiri wa fedha pekee bali nataka kujadili namna ambavyo mtu huyu anavyo ratibu matumizi ya rasilimali katika nchi nne za ukanda huu wa Afrika mashariki na kati, yaani Tanzania, Rwanda, Burundi na Kongo.

Vuta pichani kichwani mwako akitokea mtu mmoja mahiri na kuweka rasilimali za nchi nne tofauti mikononi mwale. Vuta picha ya mtu mwenye uwezo wa kusema neno lolote na likatekelezwa kote ukanda mzima wa Afrika mashariki na nchi za maziwa makuu.

Kwa heshima na taadhima, leo saa kumi jioni nakukaribisha kusoma makala yangu mpya "THE RICHEST MAN IN AFRICA: Kila Utajiri una Ukafiri Nyuma Yake"

SEHEMU YA KWANZA BOFYA HAPA

SEHEMU YA PILI BOFYA HAPA

Stay here and keep your eyes (and your mind) open!

Habibu B. Anga "The Bold"
To Infinity and Beyond
Mkuu hii kitu safi sana..Fanya kunitag Mkuu
 
To infinity and beyond
kazi nzuri mkuu threads zako zinatuelimisha sana na kutupa mwangaza katika mambo mbali mbali
 
Heshima yako Mkuu. Nimesema leo sinywi chai mpaka nimalize kusoma ila nimekasirika sana kuona umeishia sehemu ya pili tu. Ila Mkuu uko njema sana kipaji hiko ni wachache sana

nasubiri kumuona "Asset wa serikali ya Marekani" PaKa

Habibu B. Anga
[emoji23]

Chai ya saa mbili sasa hivi mi saa tatu,
Endelea kuihifadhi mpaka atakapo tupia episode 3,
Ikigeuka kuwa asali pouwa tu.

Huyu jamaa ni kichwa
 
Chaaa umeona mimi mlaku laku ukwendeee uko au unathani nimekuzimia wewe?

Anyway rudi tu nyumbani sasa maana na hizo sura zenu na vipua vidonko mnavyobagua sijawahi kuona dunia hii. Ila mjifunze na muachane na siasa kali kisije kutokea kma kule Uturuku mambo ya Armenia genocide

Et unizimie una uzuri gani mpka upate hadhi ya kuzimiwa na mimi ungekua na bahati sana kama ngekewa, kumbe tatizo pua ndio linalokusumbua ,Nyumbani ndio wap mana najua nyumbani ni sehemu yoyote duniani UTZ MZIGO SANA. Kichwa yako imejaa mapezi ya samaki na ule ute wake.PROUDLY RWANDESE.[emoji3]
 
Shikamoo...,arghh sorry,,,, mambos?
 
Et unizimie una uzuri gani mpka upate hadhi ya kuzimiwa na mimi ungekua na bahati sana kama ngekewa, kumbe tatizo pua ndio linalokusumbua ,Nyumbani ndio wap mana najua nyumbani ni sehemu yoyote duniani UTZ MZIGO SANA. Kichwa yako imejaa mapezi ya samaki na ule ute wake.PROUDLY RWANDESE.[emoji3]
[emoji2] [emoji2] kweli wazuri wa sura japo mnakunya Kama binadamu wengine, ila wanyarwanda maisha yenu mafupi sana kwa uuaji wa kimbari....hivi wako njiani wanakuja Kigali....[emoji23]
 
[emoji2] [emoji2] kweli wazuri wa sura japo mnakunya Kama binadamu wengine, ila wanyarwanda maisha yenu mafupi sana kwa uuaji wa kimbari....hivi wako njiani wanakuja Kigali....[emoji23]

Sawa muuaji karibu ila Proudly Rwandese.
 
Mi kwetu bongo nikuuweni nyinyi kwa lipi wakati dhiki zenu tu uuaji tosha& najihisi Raha furaha na amani tele moyoni kwa kila tulichonacho hatutegemei vya wizi kutoka Congo....

Kelele zako hapa hazibadilishi kitu rwanda we endelea kupoteza muda tu Proudly Rwandese na nyie mkaibe Kongo mbona mna jeshi lenu kule.Amani na umaskini .????? makinikia mshalipwa bro .??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jeshi letu Congo lipo kwa Sheria za kimataifa, si kwa ajili ya wizi Kama jeshi lenu tunashukuru siku hizi mna adabu baada ya kuwanyoosha na wahuni wenu wale wa M23....makinikia kwetu si tatizo Kama watalipa wasipotulipa si shida, Tanzania tuna Mali chini ardhi zisizomithilika.....zingine hatujui tutaanza kuchimba lini....karibu Sana nchi ya amani isiyo na ukabila Wala ubaguzi wa aina yoyote ile....na wengi tu rwandese wako hapa wengine wanauza biashara haramu yakuvunja amri ya sita...karibu Sana...
 
Tuna Mali nyingi CCM INAWATAFUNA NJAA NI KALI KWELI UMASKINI WA KUFA ET TUNA AMANI SEMA MNA UTULIVU HAKUNA AMANI PENTE UMASKINI HAYA NIMEMALIZA MZEE WA KULIPWA KISHIKA UCHUMBA CHA MAKINIKIA.always Proudly Rwandese.Go east or West Rwanda is the Beast not the Best [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imekua kawaida siku hizi, uzi ukihusisha Rwanda lazima watu wavurugane kwa vita ya maneno!

More popcorn please!
 
Back
Top Bottom