THE RIGHT ONE............Ulimtambuaje/ Utamtabuaje?

THE RIGHT ONE............Ulimtambuaje/ Utamtabuaje?

Still searching....,

ila kuna hisia fulani ambazo kwa mtu mwingine huzisikii unahisi kwake tu. (hivyo ndio ninavyoambiwaga)
POLE SANA.........romantic love is a reward from God usisubiri vya kusimuliwa tu shiriki na uwe mtenda na mtendewa papo kwa hapo.........
 
sijawahi kukutana naye ila akini pm nasisimka sana tu

she is out there looking 4 u too...........................keep on raking the fields of love............
 
kama ni kusubiri basi utasubiri sana...................muanze kumwagia masifa kama anastahili lakini maana usiongope atakugundua. i sincerely wish you the best in your love life...........

nashukuru sana ndugu. Usiwe na shaka, nitaanza mishemishe.
 
natamani sana one day, mpenzi wangu anipe sifa kama hizi. Good, nampongeza shem kwa hilo. Nitamake sure na mimi wangu anaenjoy pia.

pengine hufahamu tu apollo.. Ila ana ku define even better kulingana na anacho feel juu yako na jinsi unavyom treat..
 
pengine hufahamu tu apollo.. Ila ana ku define even better kulingana na anacho feel juu yako na jinsi unavyom treat..
I prefer mutual respect....................
 
FirstLady1...........................hapa umemaliza mjadala.............................lol
Proverbs 12:4
A wife of noble character is her husband's crown, but a disgraceful wife is like decay in his bones

Hebu nami nikuongezee lingine......................soma Malaki 2:16......................God hates divorce as it covers one's garment with violence.............
 
Ruta be fair kwa kutuambia wewe ulimtambuaje?

Kaunga maswali juu ya maswali ni mbinu ya kukwepa kujibu swali...........................jibu ingawaje nimekujibu awali.......................ulimtambuaje? Au wafikiri utamtambuaje?
 
Mmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhh imenivutia hii..............


hahah sawa ruta, maana kauli yake na yako ndo itakufanya upende kuwa nae , muonekano wake pia unasaidia kukufanya uwe na hisia au hamu ya kuzidi kumuona au kuwa nae.. uwepo wake duh hapo patamu zaid
 
hahah sawa ruta, maana kauli yake na yako ndo itakufanya upende kuwa nae , muonekano wake pia unasaidia kukufanya uwe na hisia au hamu ya kuzidi kumuona au kuwa nae.. uwepo wake duh hapo patamu zaid

Busara tupu...........................ni rahisi kumpenda yule anayekuonyesha kuwa yuko beneti na wewe kuliko yule anayesononeka moyo lakini hayuko tayari kukohoa penzi lake mbele yako..................huku akijua fika ya kuwa mapenzi ni kikohozi hayawezi kufichika.......
 
Ni mwelewa,ana nijali,ananipa nafasi ya kunisilikiza,anaijua thamani yangu kwake,
Ni mwepesi kukubali kosa anapokosea na kuapologyze,
Hapendi kuniona sina furaha,huwa nami wakati wa furaha yangu na huzun yangu,

He has unconditional love to me,
It limitless, challangeless Love that embraces me and make happy all the time,

Namwomba mungu amtunze aendelee kuwa hivi hivi mpaka tutakapokuwa mwili mmoja.
 
Back
Top Bottom