Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #21
POLE SANA.........romantic love is a reward from God usisubiri vya kusimuliwa tu shiriki na uwe mtenda na mtendewa papo kwa hapo.........Still searching....,
ila kuna hisia fulani ambazo kwa mtu mwingine huzisikii unahisi kwake tu. (hivyo ndio ninavyoambiwaga)
sijawahi kukutana naye ila akini pm nasisimka sana tu
wewe kwani ulivutwa na nini?
POLE SANA.........romantic love is a reward from God usisubiri vya kusimuliwa tu shiriki na uwe mtenda na mtendewa papo kwa hapo.........
kama ni kusubiri basi utasubiri sana...................muanze kumwagia masifa kama anastahili lakini maana usiongope atakugundua. i sincerely wish you the best in your love life...........
natamani sana one day, mpenzi wangu anipe sifa kama hizi. Good, nampongeza shem kwa hilo. Nitamake sure na mimi wangu anaenjoy pia.
Ruta be fair kwa kutuambia wewe ulimtambuaje?
matendo ,wewe wa kwako ulimtambuaje Ruta...
I prefer mutual respect....................pengine hufahamu tu apollo.. Ila ana ku define even better kulingana na anacho feel juu yako na jinsi unavyom treat..
kauli, muonekano, hisia na hata uwepo wake
nashukuru sana ndugu. Usiwe na shaka, nitaanza mishemishe.
Proverbs 12:4
A wife of noble character is her husband's crown, but a disgraceful wife is like decay in his bones
thanx mkuu. 🙂
Ruta be fair kwa kutuambia wewe ulimtambuaje?
Mmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhh imenivutia hii..............
hahah sawa ruta, maana kauli yake na yako ndo itakufanya upende kuwa nae , muonekano wake pia unasaidia kukufanya uwe na hisia au hamu ya kuzidi kumuona au kuwa nae.. uwepo wake duh hapo patamu zaid