Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #41
Ni mwelewa,ana nijali,ananipa nafasi ya kunisilikiza,anaijua thamani yangu kwake,
Ni mwepesi kukubali kosa anapokosea na kuapologyze,
Hapendi kuniona sina furaha,huwa nami wakati wa furaha yangu na huzun yangu,
He has unconditional love to me,
It limitless, challangeless Love that embraces me and make happy all the time,
Namwomba mungu amtunze aendelee kuwa hivi hivi mpaka tutakapokuwa mwili mmoja.
Hahahahahha,Cantalisia hongera sana kama kweli hajakugusa hadi hivi leo.......................maana hiki kizazi bila ya ku-do hakuna maelewano kabisa.........
NALIA -- SITAKI KUKUMBUKA JAMANI ....................
Busara tupu...........................ni rahisi kumpenda yule anayekuonyesha kuwa yuko beneti na wewe kuliko yule anayesononeka moyo lakini hayuko tayari kukohoa penzi lake mbele yako..................huku akijua fika ya kuwa mapenzi ni kikohozi hayawezi kufichika.......
Hahahahahha,
Swala la kugusana au kutogusana sikuliongelea coz topiki haikugusia hilo,
cha msingi nimemtambua kuwa yeye ni"THE RIGHT ONE"
i don't know if i will ever meet him/her.:embarassed2:
MKE / MUME tunapewa na MUNGU. if she/he's not for U U'll never make it Just try to listen to GOD's Voice and How do U do that??? Ukiwa na MKE/MUME sahihi utajikuta unapata kila hitajio la mwili na moyo wako sio kwa kauli, maneno au vinginevyo.. just listen to ur heart God will tell U if she/he' right for U.... Yani utajikuta unataka kumuoa au emekubali kuolewa na... ila sio kuwa na wanawake/wanaume wengi ... SUBIRA...
tension force will bond the two in one bond
kawaida wengi hupenda kupendwa kuliko kupenda nw ahajiandai kutenda ila kutendewa hapo ndo ugumu unapkuja .. na hasa mtu akijiona ana haki ya kupendwa nae anashindwa kuonyesha upendo
ushauri hapo ni kuwa kila mmoja atavuna alichopanda..........ukipanda kujivunga au uvivu basi mavuno yatakuwa hayohayo...........
pengine hufahamu tu apollo.. Ila ana ku define even better kulingana na anacho feel juu yako na jinsi unavyom treat..
Her passion for life....................
mmoja wapo atasababisha ulegevu katika upendo
Fafanua pls, passion for life???? Who doesn't love life?
hapo manung'uniko huanza............