wewe mbona hujasema ni kipi ambacho hukujulisha he is MR. RIGHT? Jibu hilo halafu nitakupa ufafanuzi tosheleza kabisa.........
I just knew, nilipenda kila kitu chake, nilipenda kila alichokifanya, sikuona upungufu wowote na sikuona dhambi wala dhamira haikunisumbua kuwa naye! Sijafeel hivyo kwa mtu mwingine yoyote so far!
watu watafeli mitihani humu...........................
ulimtambuaje/utamtambuaje?
malalamiko na ghadafu na visasi .... dharau na kiburi
Fafanua pls, passion for life???? Who doesn't love life?
akitokea mwingine ikawa vivyo hivyo utajisikiaje.......................? Life is full of about turns............
wengi wanapenda maisha lakini wanayathamini?
watu watafeli mitihani humu...........................
ulimtambuaje/utamtambuaje?
It's a great feeling, kupenda nilivyo penda so l will be blessed!
Now it's ur turn kufunguka! Fafanua how was it with u!
Mi niliandika majina ya woote wadau walio-submit tender document na processing fees. Nikatawanya vikaratasi mbele yangu, nikatemea mate kibao kwenye kiganja. Nikayapiga na vidole 2, yalipoelekea nikaanza process ya kumfukuzia. Sijawahi kujuta!
Mmh!
Hata jibu cna! Nibora niseme nimepata F.
Utahisi kama Nyoka vile........
In their own way, l might say yes! Sidhani kama ukiworry sana kuhusu maisha utakuwa unayathamini.
the only gal who really touched my hormones did not believe me when i told her in my own ways that I love her...........just imagine..................she thought I was there for a short vacation and she did not want...................kuishia kupata maumivu........lol
una bahati sana................miye bado huwa ninawaza.....................what if I had approached her a bit different may be things would have worked out superbly.....
I am curious, how did u approach her? Maana u said u did it in ur own way; what is ur way?
Hapo ndipo panapo confuse sana especially ktk kizazi hiki cha full usanii; how does one tell kweli Fulani ananipenda? Na most of the time ni ngumu kukutana na a person ambaye naye amefall kama wewe, so in my opinion mpendaji hatakiwi kugive up so easily, if u do then mwenzako ataconclude that she was right, ulitaka kupita tu!