Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,633
- 3,534
The man still strong tutarajie soon kuwa balozi/kupangiwa kazi nyingine.
Ushahidi haupo ila mchafuu akupumzike sasa😁😁Aliwaambia hivi.
Kama mnaushahidi, basi mpelekeni mahakamani.[emoji23][emoji23]
Ndg Mwenyekiti Mh. Kikwete,ndg katibu Mwenezi Nape Nnauye nimeitikia wito wako wa kulivua gamba.Aliwaambia hivi.....
Kama mnaushahidi, basi mpelekeni mahakamani..[emoji23][emoji23]
Msafi kwny CCM ni nani?Ushahidi haupo ila mchafuu akupumzike sasa[emoji16][emoji16]
Chenge ana hela tangu Marekani.Kwa kuuchimbua mbuyu huu.JPM leo kanifurahisha kwa kweli. Hili jamaa lina mahela acha kabisa. Bagesi nao wanakula hela na kura wanampa mtemi Chenge. Asante JPM kwa kumkata mtemi Chenge.
Ushahidi ulikuepo mkuu, Sababu Chenge aliwahi kupandishwa katika kizimba cha Baraza la Maadili ili aujibu mashitaka ya kutumiaUshahidi haupo ila mchafuu akupumzike sasa[emoji16][emoji16]
Kwakifupi sana ni kwamba.Mkuu hapa maelezo yanahitajika maana kauli yako sijaielewa vizuri.
Chenge alishinda kura za maoni. Sema kakatwa na Magufuli.Chenge ana hela tangu Marekani.
Kuna stories zake nyingi za mambo aliyofanya Marekani hazijulikani.
There are some ghetto secrets, I can't rhyme in this song.
Namtafuta mpambe wake "The King of Rock And Roll" anipe stories za ndani Shy imekuwake mpaka "Mtemi" akapigwa chini?
Mkuu ile hadithi nasikia iligeuzwa tuu kwa kutumia pesa nyingi sana.Baada ya kunyimwa mbunye na Vickie rafikiye na Life ndipo akaamua kumgonga na pick up ambayo haikuwa hata na bima.
Uchawi ni matendo.
Huyo uliyemtaja mbona naye anaenda na maji?Hakuna lenye mwanzo likakosa kuwa na mwisho. John Pombe Magufuli kiboko. Hata hivyo umri ulishamtupa mkono
Chenge alishinda kura za maoni. Sema kakatwa na Magufuli.
Chenge si wa mchezo, kina Bageshi walikuwa wakienda kwake wakikaa kwenye masofa, wakiondoka tu, yeye anapulizia perfume masofa.
Suti zake zinatoka Ulaya na Us.
Mzee hataki hata mvi moja ionekane ni kupiga rangi nyeusi nywele kila mwezi. Chenge ni ana akili sana, sema sijui alishindwa vipi kumfanya Magufuli amkubali.
Inasemekana yeye na yule mfungwa aliyekua anafagia hospitali wanaongoza kuwa na nyumba Dar. Wana nyumba zaidi ya 70 Kila mmoja. Dar tuKwishnei jambazi. Akafie mbele. Hivyo huyu vijisenti hakupa mgao wa Rugemalila?
Chenge kamuona Magufuli anakuja mjini.Chenge alishinda kura za maoni. Sema kakatwa na Magufuli.
Chenge si wa mchezo, kina Bageshi walikuwa wakienda kwake wakikaa kwenye masofa, wakiondoka tu, yeye anapulizia perfume masofa.
Suti zake zinatoka Ulaya na Us.
Mzee hataki hata mvi moja ionekane ni kupiga rangi nyeusi nywele kila mwezi. Chenge ni ana akili sana, sema sijui alishindwa vipi kumfanya Magufuli amkubali.