The rise and fall of Andrew Chenge: Safari yake ya kisiasa ilivyohitimishwa

Kilichomponza ni ule "uenyekiti" wa kuruhusu wapinzani wasemeseme pasipo kizuizi wakati mwingine!!!
 
Uzuri wa Magu ung'oa visiki, na ndio maaana aka yake ni Bulldozer.
 
Joka kapigwa nyundo ya kichwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Chenge alisoma Havard, enzi hizo walikuwa na Dr .IDRIS RASHID former BOT governor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…