sometimes source is necessary in order to avoid subjectivity-Every thing source!
Source is Himself and many more who have visited the country.
Do you want the source if I say there is traffic jam in Dar es salaam and that during rainy season Kariakoo streets are clogged with dirty water.
Mamanalia nyamaza tu wewe!, mwaka huu uongo hautaishinda kweli katu!.
source please!
sometimes source is necessary in order to avoid subjectivity-
Kwa hili la Libya kwa kweli am with Ghadafi kwani democracy siyojali maisha ya watu ina faida gani kama udictator unaweza kuleta welfare even Jesus is a dictator kwani anasema none comes to God without passing through me is this democracy? I am pro Ghadafi kwani hata unyama uliofanywa kwa watoto wa Libya kwa jina la vacsination dunia tayari umeisahau, huo tu unaonyesha ni jinsi gani hayo mataifa yanaweza kufanya uovu. Ghadaffi anaogopwa kwaajili ya dini yake which I dont see a problem kama hiyo dini yake imeweza kuwasaidia binadamu basi hiyo dini yafaa sana kuaminiwa kwani inside Gadaffi might be a holly being kuliko hao wenye label za christianity huku kwa matendo yao wamkana Mungu. Kama wamjua Mungu walihusikaje kupeleka HIV Libya? Na kama hiyo ilikuwa case kwa Libya basi huku tusikokuwa na wakutulinda sindiyo labaratory zao? I hate hizi double standards za dunia. Democracy yafaa pale palipo na udictator mbaya na udictator wafaa vile vile pale penye democracy mbaya kikubwa nikila mtu awe na maisha mazuri.
thats why i said "SOMETIMES" source is necessary-NOT ALWAYSA source?.......seems we are so affected by western sources......jaribu kupenda cha kwako and addition to that many africans have been flowing there and have physical
sources by eyewitness.
Is the issue about Jesus or Gadaffi? You really have a problem, kwani you have to find a loophole to bring udini in every topic, and in fact there is no slight indication of udini from the one who started the topic!!! You must be really sick, as ukristo kweli unakusumbua....How does Jesus come into this discussion? How can you talk about Jesus you dont know and even believe? How can you talk about democracy of which you have no sl8ghtest clue as what it is? When Jess says "I am the way, the truth and the life..." He is not forcing anyone into the kingdom, rather he is inviting people and people did make choice to either follow him or refuse...Do you really know what democracy means? Jesus talked about theocracy and nt democracy my friend and please spare Jesus out of this Gadhaffi business....You need help...psychologically since Jesus and Christianity is really eating you up and eventually you can not do anything about the faith of another person...stay with your faith and dont make makufuru kwa imani za watu wengine....
Niku toe wasiwasi ndugu yangu mimi ni mkristo kama wewe lakini mkristo kiimani si kidini. Mimi sina dini wala siamini katika yoyote ile japo kuwa naamini katika kristo na nguvu zake na pia naamini alitoa zawadi ya wokovu kwa binadamu wote bila kujali dini, dhehebu ama race kwahiyo kila anayeliitia jina la Yesu kwa kujua au kutokujua anaokolewa. Hilo ni kuhusu imani.
Kuhusu udictator wa Yesu naomba ni kwambie kabisa sioni tofauti kati ya Yesu na Ghadaffi kama wote wanasimamia katika lile wanaloamini tofauti na dunia inavyoamini. Yesu katika dhambi alisimama peke yake japo kuwa dunia yote ilikubali kuishi katika dhambi je hapo alifuata democrasia au ukweli aliouamini yeye? Alikuwa tayari kufa kwajili yakukataa mawazo ya mafarisayo na masadukayo ambao ndiyo walikuwa wabeba maono ya viongozi wa wakati ule katika taifa la Israel je hapo alikuwa mwana demokrasia? Sasa hapo utamtofautishaje Yesu na Ghadaffi? Hofu yako ya identity ya ukristo ndiyo inayopelekea wewe kumwona Ghadaffi aonekane vile hao wanaotaka kum demonize aonekane huku wao ndiyo wakiwa wapinga hiyo demokrasia wakwanza inapokuja kwenye issue ya ukweli wanaouamini. Kwani hao ndiyo wenye kura ya veto huko UN au na hiyo utaiita demokrasia kwakuwa amesema mzungu?
Kwaufupi ni kuwa ugomvi kati ya Ghadaffi and rivals ni due to selfishnes ya kila upande huku wakitumia mwavuli wa demokrasia na dini kujificha ndani yake ili mvua ya lawama zisiwafikie. Hiyo mimi kama mkristo tena mhubiri wa habari njema ya kristo nisipolisema ole ni kwangu maana nashiriki laana hiyo ambayo the authour of all this is the prince of this world the Devil in the name of diplomacy; is a sin and actually an abomination to our good and loving God who is not respector of persons. Mataifa hayo hayasemi wazi lakini wanajua Ghadaffi anasaidia uislamu so kwao hiyo ni worry kubwa lakini wamewatoa mamilioni ya wa Libya kama kafara ku serve selfish desire yao tena kwakutumia sababu za uwongo. Kama wana mwamini Mungu kwanini wasiamini kuwa anauwezo wa kuwalinda hata pasipo kuwafanyia wenzao uovu? Kwanini wasiamini katika nguvu na uwezo waroho mtakatifu katika kuwaleta watu katika mwanga na kuamua kutumia silaha za damu na nyama? Kama babu wa loliondo ameweza kuvuta maelfu na maelfu ya dini zote kwa imani ya kikombe si zaidi kama wangemtumia roho mtakatifu kuleta tumaini jipya duniani nakuleta ustaarabu kwa wote duniani? Huo ukristo wako uko wapi wewe kama unataka kuushinda ubaya kwa ubaya na wala si ubaya kwa wema? Utaona kuwa hakuna ukristo hapo ni selfishness kwakwenda mbele japo sababu za ndani ya mioyo yao ndiyo hiyo pamoja na malighafi za dunia ya walala puuh japo kuwa hawatakwambia hizo na watakuja kwa jina la diplomacy. The devil is a liar!
Interesting indeed but could this be true? How come then the easterners (those from Benghazi and other towns) are damn anti Gaddafi?
Some other facts (that mainstream media will never tell you) about this "terrible dictator and blood sucking monster" Gaddafi who "terrorizes" his own people and Libya:
- Credits to Libyan citizens were given with NO interest.
- Students would get paid the average salary for the profession they are studying for.
- If you'd be unable to get the employment the state would pay the full salary as if you were employed.
- When you got married the couple got an apartment or house for free.
- You could go to college anywhere in the world. The state paid 2,500 euros plus for accommodation and a car.
- The cars were sold at factory cost.
- Libya does not owe money, (not a cent) to anyone. No credits.
- Free education and health care.
- 25% of population with a university degree.
- No beggers on the streets and no homeless (until this bombing).
- Bread costs $0.15.
No wonder the US and other capitalist countries do not like Libya. Gaddafi would not consent to taking the IMF or World Bank credits at high interest rates. In other words Libya was INDEPENDENT! That is the real reason for war in Libya! He may be a dictator, but that is not the US problem.