The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Niku toe wasiwasi ndugu yangu mimi ni mkristo kama wewe lakini mkristo kiimani si kidini. Mimi sina dini wala siamini katika yoyote ile japo kuwa naamini katika kristo na nguvu zake na pia naamini alitoa zawadi ya wokovu kwa binadamu wote bila kujali dini, dhehebu ama race kwahiyo kila anayeliitia jina la Yesu kwa kujua au kutokujua anaokolewa. Hilo ni kuhusu imani.

Kuhusu udictator wa Yesu naomba ni kwambie kabisa sioni tofauti kati ya Yesu na Ghadaffi kama wote wanasimamia katika lile wanaloamini tofauti na dunia inavyoamini. Yesu katika dhambi alisimama peke yake japo kuwa dunia yote ilikubali kuishi katika dhambi je hapo alifuata democrasia au ukweli aliouamini yeye? Alikuwa tayari kufa kwajili yakukataa mawazo ya mafarisayo na masadukayo ambao ndiyo walikuwa wabeba maono ya viongozi wa wakati ule katika taifa la Israel je hapo alikuwa mwana demokrasia? Sasa hapo utamtofautishaje Yesu na Ghadaffi? Hofu yako ya identity ya ukristo ndiyo inayopelekea wewe kumwona Ghadaffi aonekane vile hao wanaotaka kum demonize aonekane huku wao ndiyo wakiwa wapinga hiyo demokrasia wakwanza inapokuja kwenye issue ya ukweli wanaouamini. Kwani hao ndiyo wenye kura ya veto huko UN au na hiyo utaiita demokrasia kwakuwa amesema mzungu?

Kwaufupi ni kuwa ugomvi kati ya Ghadaffi and rivals ni due to selfishnes ya kila upande huku wakitumia mwavuli wa demokrasia na dini kujificha ndani yake ili mvua ya lawama zisiwafikie. Hiyo mimi kama mkristo tena mhubiri wa habari njema ya kristo nisipolisema ole ni kwangu maana nashiriki laana hiyo ambayo the authour of all this is the prince of this world the Devil in the name of diplomacy; is a sin and actually an abomination to our good and loving God who is not respector of persons. Mataifa hayo hayasemi wazi lakini wanajua Ghadaffi anasaidia uislamu so kwao hiyo ni worry kubwa lakini wamewatoa mamilioni ya wa Libya kama kafara ku serve selfish desire yao tena kwakutumia sababu za uwongo. Kama wana mwamini Mungu kwanini wasiamini kuwa anauwezo wa kuwalinda hata pasipo kuwafanyia wenzao uovu? Kwanini wasiamini katika nguvu na uwezo waroho mtakatifu katika kuwaleta watu katika mwanga na kuamua kutumia silaha za damu na nyama? Kama babu wa loliondo ameweza kuvuta maelfu na maelfu ya dini zote kwa imani ya kikombe si zaidi kama wangemtumia roho mtakatifu kuleta tumaini jipya duniani nakuleta ustaarabu kwa wote duniani? Huo ukristo wako uko wapi wewe kama unataka kuushinda ubaya kwa ubaya na wala si ubaya kwa wema? Utaona kuwa hakuna ukristo hapo ni selfishness kwakwenda mbele japo sababu za ndani ya mioyo yao ndiyo hiyo pamoja na malighafi za dunia ya walala puuh japo kuwa hawatakwambia hizo na watakuja kwa jina la diplomacy. The devil is a liar!

I really cant follow you, forgive me if I am mistaken but are saying NATO walitakiwa waamini katika nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu ili watu wasife huko Libya? Help me please!

I am not agreeing with you hapo mahali nilipoweka red. There is NO WAY you can compare someone yaani I mean anyone with Jesus if you love HIM like you said. If you know Jesus then you cant compare him with people like us who are NOT perfect. Because he is beyond us and beyond even our capacity of understanding hata vitu tunavyoelimishana hapa. Ghadaffi is a dictator who can KILL his citizens just because they want him out, can you really compare him with Jesus?
 
NATO: Libya Rebel Deaths Don't Require Apology

r-LIBYA-NATO-large570.jpg

SLOBODAN LEKIC 04/ 8/11 10:24 AM ET

BRUSSELS - NATO acknowledged Friday that its airstrikes had hit rebels using tanks to fight government forces in eastern Libya, saying no one told them the rebels used tanks. British Rear Adm. Russell Harding, the deputy commander of the NATO operation, said in the past, only forces loyal to Libyan strongman Moammar Gadhafi had used heavy armored vehicles.

Harding says the rebels and government troops are engaged in a series of advances and retreats between the eastern coastal towns of Brega and Ajdabiya, making it difficult for pilots to distinguish between them. NATO jets attacked a rebel convoy between these two towns Thursday, killing at least five fighters and destroying or damaging a number of armored vehicles.

"It would appear that two of our strikes yesterday may have resulted in (rebel) deaths," Harding told reporters in Naples, where the alliance's operational center is located. "I am not apologizing," he said. "The situation on the ground was and remains extremely fluid, and until yesterday we did not have information that (rebel) forces are using tanks."

The strikes, including an attack earlier this week, provoked angry denunciations of NATO by the rebels. At the same time, NATO officials have expressed frustration with the Libyan insurgents, who now view the alliance, whose mandate is limited to protecting civilians in Libya, as their proxy air force.

NATO's Secretary-General Anders Fogh Rasmussen, however, expressed regret over the loss of life, saying alliance forces were doing everything possible to avoid harming civilians.

-Huffingtonpost
 
Libya: Nato 'regrets' loss of life from Ajdabiya strike
Nato has said it "strongly regret the loss of life" after a "friendly fire" attack on rebel tanks in eastern Libya which left at least four dead.
Earlier, a Nato commander had refused to apologise, saying that until Thursday's strike, the alliance had not been aware the rebels had tanks.

UK Foreign Secretary William Hague said "mistakes do happen", but Nato should be ready to say sorry for the deaths.

Rebel forces reacted with anger at the attack on their tanks near Ajdabiya.
However, rebel commanders stressed it would not damage relations with the allied force.
'Fluid situation'
On Friday, Mr Rasmussen described the situation on the ground as "fluid", saying: "We have seen in the past that tanks have been used by the Gaddafi regime to attack civilians."

He went on: "This is also the reason why our aircraft target military equipment that could be used to attack civilians, but I can assure you that we do our utmost to avoid civilian casualties."

Earlier on Friday, Rear Adm Harding said: "I'm not apologising."
He said government tanks known to have previously targeted civilians in the western city of Misrata had been on the road on Thursday. At that point, Nato did not know that rebel troops had begun to bring out their tanks.

"Up until yesterday, we had no information that the... opposition forces were using tanks," he told reporters in Naples, near the Nato base which is co-ordinating the Libya operation
Source-bbc
 
this is very shame that is happen in africa..

gaddafi is the right leader to lead that country but the usa and their allies want to show people that gaddafi is to blame for what is happening over there..

i have also a big mark with our african leaders is looks that they don’t have their own stand on this issue.. They had a task force to go to libya but because of no fly zone they didn't want to go..

my take was the should have go there and we can see what the french, uk and usa would have do.. Kill the president’s hope no. So instead of saying they can’t go to libya they should go by force and we will see what the west will do.

my summary is that if we let gaddafi go we will have another iraq in africa..

usa and his partners never succeed in any war they stated so it is better we fight to keep gaddafi then we will talk about african democracy and not us version..
 
Sijui ni huru upi unauzugumzia kwa sababu kabla ya machafuko huko Libya hakukuwa na matukio ya watu kunyimwa uhuru. kama unaushaidi na madai yako tafadhari tujuze.

Mkuu hapo kwenye red upo dunia ipi? Before the conflict begun, Gaddafi denounced for oppressing internal dissidence, assassinated expatriate opposition leaders, and crass nepotism which amassed a multi-billion dollar fortune for himself and his family. Just like Mobutu Sesesseko renamed DRC to Zaire, Gaddafi renamed the Libyan Arab Republic to Jamahiriya in 1977.

10 to 20 percent of Libyans worked in surveillance, a proportion of informants on par with Saddam Hussein's Iraq or Kim Jong-il's North Korea. The surveillance took place in government, in factories, and in the education sector. Dissent is illegal under Law 75 of 1973. Gaddafi has said that "execution is the fate of anyone who forms a political party".

Engaging in political conversations with foreigners was a crime punishable by three years in prison. Gaddafi removed foreign languages from school curricula. One protester in 2011 described the situation as: "None of us can speak English or French. He kept us ignorant and blindfolded." But his children do.

The regime often executed dissidents publicly and the executions are rebroadcast on state television channels. Libya under Gaddafi was the most censored country in the Middle East and North Africa, according to the Freedom of the Press Index. Fathi Eljahmi was a prominent dissident who was imprisoned from 2002 until his death in 2009 for calling for increased democratization in Libya.

Gaddafi employed his network of diplomats and recruits to assassinate dozens of critics around the world. In 1980, a Libyan agent attempted to assassinate dissident Faisal Zagallai, a graduate student at Colorado State University in Fort Collins, Colorado. The bullets partially blinded Zagallai. A defector was kidnapped and executed in 1990 just before he was about to receive U.S. citizenship.

Gaddafi asserted in June 1984 that killings could be carried out even when the dissidents were on pilgrimage in the holy city of Mecca. In August 1984, one Libyan plot was thwarted in Mecca.
 
Mkuu wewe si mgeni any more humu JF.
Nimesema "wengi wetu humu" wamegawanyika kidini pale inapokuja kwenye mjadala unaohusiana na uvamizi wa Libya.
Na kwasababu wewe si mgeni sana,basi nilitegemea una experience ya kufuatilia mijadala na kuwasoma wachangiaji wa mijadala hiyo.
Kama kwenye jamii yetu bongo watu waislam wanaandamana for Libya,kuna tofauti gani na jamii yetu hapa?Ni wazi pro Gaddafi "Wengi wao" ni waislam,na wasiompenda ni wakristo,again "wengi wao"

Sikujua kama nilihitaji kuexplain all of this.

Exactly, mimi sio mgeni na ndio maana nikakuuliza unamaanisha nini by "wengi wetu humu". It was a simple question demanding a simple answer, not explanation which does not even answer the question anyway. Tena explanation yako inaraise even more questions. Una maana gani unaposema "wengi wao"? What do you mean by jamii yetu bongo na jamii yetu hapa? Una maana "jamii yetu hapa" ni tofauti na "jamii yetu bongo". What exactly do you want to say?
 
Mwanzoni walisema lengo siyo occupation, sasa wanaona gadafi hang'oki wanapanga kupeleka majeshi misurata kwa kisingizio cha humanitarian assistance, evacuation of the wounds na kudeliver food, wameshamuandikia banki-moon barua kuelezea lengo lao.
Mimi najiuliza afrika union leaders wako wapi?, mbona hawaingilii kwa nguvu kulinda heshima ya afrika?, hivi tumeshindwa kuwa na jeshi la afrika kufanya hizi kazi mpaka eu waifanye?.

Hawa jamaa wakishapeleka majeshi ya ardhini, jua wataextend mandate yao, na watapigana wakiwasaidia waasi, na majeshi ya gadafi yatakayo kuwa yanatoka miji ya magharibi kama vile tripoli na sirte kwenda kupambana na waasi katika miji ya mashariki mwa libya yatahujumiwa na hawa jamaa.
Hawa jamaa katika hii mission mimi naona hawana nia njema.
 
Viongozi wa Afrika ni "mafisi" wanaogopa watakosa mifupa wanayotupiwa na Merekani. Kumbuka "You're either with us or against us".
 
Yatupasa kuitambua 'mission' ya wamagharibi ni nini, tukiielewa basi tusihadaike kwa extension yoyote ya invasion yao thru Libyan rebels & humanitarian supply kikiwa ni KISINGIZIO.
 
Mafuta, Mafuta , Mafuta , Mafuta ................
 
Mwanzoni walisema lengo siyo occupation, sasa wanaona gadafi hang'oki wanapanga kupeleka majeshi misurata kwa kisingizio cha humanitarian assistance, evacuation of the wounds na kudeliver food, wameshamuandikia banki-moon barua kuelezea lengo lao.
Mimi najiuliza afrika union leaders wako wapi?, mbona hawaingilii kwa nguvu kulinda heshima ya afrika?, hivi tumeshindwa kuwa na jeshi la afrika kufanya hizi kazi mpaka eu waifanye?.

Hawa jamaa wakishapeleka majeshi ya ardhini, jua wataextend mandate yao, na watapigana wakiwasaidia waasi, na majeshi ya gadafi yatakayo kuwa yanatoka miji ya magharibi kama vile tripoli na sirte kwenda kupambana na waasi katika miji ya mashariki mwa libya yatahujumiwa na hawa jamaa.
Hawa jamaa katika hii mission mimi naona hawana nia njema.

sisi nasi ni vigeugeu sana, mbona hatusemi african union ingie kwa kasi kuwaondosha wazungu Ivory Coast walikomtia siege Gbagbo. Nafikiri tunatatizo la utambuzi ktk akili zetu.
 
sisi nasi ni vigeugeu sana, mbona hatusemi african union ingie kwa kasi kuwaondosha wazungu Ivory Coast walikomtia siege Gbagbo. Nafikiri tunatatizo la utambuzi ktk akili zetu.

aisee hivi huoni kwamba Wazungu kuingia Ivory-coast ni baada ya kulaumiwa sana kwa Kukaa kimya kule, wakati kwenye mzozo wa Libya walirush fastafast, hivi huoni kuwa Ivorycoast ni face saving mission, ili kujustify yanayofanyika Libya ambako ndo wanakokutaka zaidi?. mimi nadhani kwa Ivory Coast hawa jamaa wanajikosha tu, na Laiti isingetokea hii chance ya Kuibamiza Libya na huko ivorycoast wala wasingepeleka askari.
 
Jeshi la ufarasa limekua Ivory coast kwa miaka kumi sasa. any objection
 
bora westerners wafanye hivyo-maana viongozi wa africa ni wabishi sana kuachia madaraka-hii iwe fundisho kwa viongozi wengine wanaopenda kung'ang'ania madaraka-
na kama si westerners kufanya hivyo-AU isingefanya jambo lolote-maana AU kama ipo ili kulinda maslah ya viongoz wa africa-si kurekebisha
 
AU bado wanajaribu "kusuluhisha" kasheshe la Libya. Jamaa hawajakata tamaa!

Latest update: 09/04/2011
African leaders head to Libya to demand ceasefire

libya-new_7.jpg

African Union leaders are heading to Libya this weekend to discuss the country's worsening situation with both sides of the conflict – Muammar Gaddafi in Tripoli and rebel leaders in Benghazi. They are expected to demand a ceasefire.
By News Wires (text)

AFP - A group of African leaders will visit Libya this weekend and meet with both sides in the country's deepening conflict to demand an immediate ceasefire, the South African foreign ministry said Friday.

South African President Jacob Zuma and other leaders from a high-level African Union panel will first meet in Mauritania on Saturday, then travel to Libya to meet with leader Moamer Kadhafi in Tripoli and rebel leaders in Benghazi to seek an end to the conflict.

"The committee has been granted permission by NATO to enter Libya and to meet in Tripoli with the Libyan leader. The AU delegation will also meet with the Interim Transitional National Council in Benghazi on 10 and 11 April 2011," the foreign ministry said in a statement.

"Key on the agenda of both meetings will be the immediate implementation of a ceasefire from both sides and the opening of a political dialogue between the two parties."

The panel, which includes the leaders of Congo, Mali, Mauritania, South Africa and Uganda, had been scheduled to visit Libya last month but had to cancel the trip after failing to obtain permission to enter the country as Western nations began implementing a no-fly zone.

Their visit comes after AU chairman Teodoro Obiang Nguema on Tuesday condemned foreign military intervention in Ivory Coast and Libya, saying that Africa must be allowed to manage its own affairs.

- France 24
 
AU bado wanajaribu "kusuluhisha" kasheshe la Libya. Jamaa hawajakata tamaa!

Latest update: 09/04/2011
African leaders head to Libya to demand ceasefire

libya-new_7.jpg

African Union leaders are heading to Libya this weekend to discuss the country’s worsening situation with both sides of the conflict – Muammar Gaddafi in Tripoli and rebel leaders in Benghazi. They are expected to demand a ceasefire.
By News Wires (text)

AFP - A group of African leaders will visit Libya this weekend and meet with both sides in the country's deepening conflict to demand an immediate ceasefire, the South African foreign ministry said Friday.

South African President Jacob Zuma and other leaders from a high-level African Union panel will first meet in Mauritania on Saturday, then travel to Libya to meet with leader Moamer Kadhafi in Tripoli and rebel leaders in Benghazi to seek an end to the conflict.

"The committee has been granted permission by NATO to enter Libya and to meet in Tripoli with the Libyan leader. The AU delegation will also meet with the Interim Transitional National Council in Benghazi on 10 and 11 April 2011," the foreign ministry said in a statement.

"Key on the agenda of both meetings will be the immediate implementation of a ceasefire from both sides and the opening of a political dialogue between the two parties."

The panel, which includes the leaders of Congo, Mali, Mauritania, South Africa and Uganda, had been scheduled to visit Libya last month but had to cancel the trip after failing to obtain permission to enter the country as Western nations began implementing a no-fly zone.

Their visit comes after AU chairman Teodoro Obiang Nguema on Tuesday condemned foreign military intervention in Ivory Coast and Libya, saying that Africa must be allowed to manage its own affairs.

- France 24
huyo anataka africa wamanage their own affairs wakati hawawez kuhandle migogoro ya hapa barani-nazani hio ni technic ya Gaddafi kutaka kutumia AU as a loop hole-maana anajua ndo watu ambao anawamudu
 
AU bado wanajaribu "kusuluhisha" kasheshe la Libya. Jamaa hawajakata tamaa!

Latest update: 09/04/2011
African leaders head to Libya to demand ceasefire

libya-new_7.jpg

African Union leaders are heading to Libya this weekend to discuss the country's worsening situation with both sides of the conflict – Muammar Gaddafi in Tripoli and rebel leaders in Benghazi. They are expected to demand a ceasefire.
By News Wires (text)

AFP - A group of African leaders will visit Libya this weekend and meet with both sides in the country's deepening conflict to demand an immediate ceasefire, the South African foreign ministry said Friday.

South African President Jacob Zuma and other leaders from a high-level African Union panel will first meet in Mauritania on Saturday, then travel to Libya to meet with leader Moamer Kadhafi in Tripoli and rebel leaders in Benghazi to seek an end to the conflict.

"The committee has been granted permission by NATO to enter Libya and to meet in Tripoli with the Libyan leader. The AU delegation will also meet with the Interim Transitional National Council in Benghazi on 10 and 11 April 2011," the foreign ministry said in a statement.

"Key on the agenda of both meetings will be the immediate implementation of a ceasefire from both sides and the opening of a political dialogue between the two parties."

The panel, which includes the leaders of Congo, Mali, Mauritania, South Africa and Uganda, had been scheduled to visit Libya last month but had to cancel the trip after failing to obtain permission to enter the country as Western nations began implementing a no-fly zone.

Their visit comes after AU chairman Teodoro Obiang Nguema on Tuesday condemned foreign military intervention in Ivory Coast and Libya, saying that Africa must be allowed to manage its own affairs.

- France 24

Si waliachiwa Ivory Coast lakini wakashidwa? Yeye mwenyewew Nguema amekaa madarakani kwa muda gani?
 
Huyu ndie mwenyekiti wa AU mwaka huu!

Teodoro Obiang Nguema Mbassogo - Dossier

100702_EQUATORIALGUINEA_74967813.jpg
Teodoro Obiang Nguema Mbasogo (born 5 June 1942) is the President of Equatorial Guinea, having served since 1979, and the Chairperson of the African Union.

Born into the Esangui clan in Acoacán, Obiang joined the military during the colonial period, and attended the Military Academy in Zaragoza, Spain. He achieved the rank of lieutenant upon the election of Francisco Macías Nguema. Under Macías, Obiang held various jobs, including governor of Bioko, head of the Black Beach Prison, and leader of the National Guard.

Presidency

He deposed Francisco Macías on 3 August 1979 in a bloody coup d'état. Macías was placed on trial for his activities over the previous decade and sentenced to death. His activities had included the genocide of the Bubi. He was executed on 29 September 1979 by firing squad.

Obiang declared that the new government would make a fresh start from Macías' brutal and repressive regime. He inherited a country with an empty treasury and a population that had dropped to a third of its 1968 level, with about 50% of the former 1.2 million inhabitants having moved either to Spain or to neighboring African countries, or being murdered during the dictatorship of Obiang's predecessor. He formally assumed the presidency in October 1979.

A new constitution was adopted in 1982; at the same time, Obiang was elected to a seven-year term as president. He was reelected in 1989 as the only candidate. After other parties were permitted to organize, he was reelected in 1996 and 2002 with 98 per cent of the vote in elections condemned as fraudulent by international observers. Again in 2009 he was elected with 97% of the vote amid accusations of fraud and intimidation

Obiang's regime retained clear authoritarian characteristics even after other parties were legalized in 1991. Although his rule was initially considered more humane than that of his uncle, by most accounts it has become more brutal over the years. Most domestic and international observers consider his regime to be one of the most corrupt, ethnocentric, oppressive and undemocratic states in the world. Equatorial Guinea is now essentially a single-party state, dominated by Obiang's Democratic Party of Equatorial Guinea (PDGE,). In 2008 American journalist Peter Maass called Obiang Africa's worst dictator, worse than Robert Mugabe of Zimbabwe. The constitution grants Obiang wide powers, including the power to rule by decree. All but one of the 100 members of the seat national parliament belong to the PDGE or are aligned with it. The opposition is severely hampered by the lack of a free press as a vehicle for their views. All of the broadcast media are either owned outright by the government or controlled by its allies (the one nominally private radio station, for instance, is owned by Obiang's son).

Abuses under Obiang have included "unlawful killings by security forces; government-sanctioned kidnappings; systematic torture of prisoners and detainees by security forces; life threatening conditions in prisons and detention facilities; impunity; arbitrary arrest, detention, and incommunicado detention."

In July 2003, state-operated radio declared Obiang to be a god who is "in permanent contact with the Almighty" and "can decide to kill without anyone calling him to account and without going to hell." He personally made similar comments in 1993. Despite these comments, he still claims that he is a devout Catholic and was invited to the Vatican by John Paul II and again by Benedict XVI. Macías had also proclaimed himself a god.

Obiang has encouraged his cult of personality by ensuring that public speeches end in well-wishing for himself rather than for the republic. Many important buildings have a presidential lodge, many towns and cities have streets commemorating Obiang's coup against Macías, and many people wear clothes with his face printed on them.

Like his predecessor and other African dictators such as Idi Amin and Mobutu Sese Seko, Obiang has assigned to himself several creative titles. Among them are "gentleman of the great island of Bioko, Annobón and Río Muni." He also refers to himself as El Jefe (the boss).

In similar fashion to Idi Amin, Obiang has purportedly allowed rumors that he is a cannibal to circulate. Fictional rumors of cannibalism had been used for centuries among the Fang people of Central and West Africa, of whom Obiang is a descendant, to make opponents fear them. Many testimonies of former residents of Equatorial Guinea, before and during the civil unrest, indicate that cannibalism had been applied as a tool of psychological warfare.

Forbes magazine has said that he is one of the wealthiest heads of state, with a net worth of US$600 million. Official sources have complained that Forbes is wrongly counting state property as personal property.

In 2003, Obiang told his citizenry that he felt compelled to take full control of the national treasury in order to prevent civil servants from being tempted to engage in corrupt practices. To avoid this corruption, Obiang deposited more than half a billion dollars into accounts controlled by Obiang and his family at Riggs Bank in Washington, D.C., leading a U.S. federal court to fine the bank $16 million.

In 2004 an attempt to depose Obiang was thwarted. One of those involved was Mark Thatcher, son of the former UK Prime Minister.

-Wikipedia
 
Britain forced apology from Libyans

Britain has ironically forced the Libyan revolutionary forces to apologize for what is blamed on Muammar Gaddafi regime, which they are fighting.

The Libyan revolutionary Council said it has been pressured to sing an apology to Britain over the Gaddafi regime's role in the IRA attacks and the Lockerbie bombing.

The council said its chairman, Mustafa Abdul Jalil, has signed a document on behalf of the nation to apologize for Gaddafi's provision of a powerful explosive, semtex, to IRA and his regime's implication in the bombing of Pan American flight over the Scottish city of Lockerbie in 1988.

The revolutionaries' authority stressed London pressured them to take the responsibility for what the Gaddafi regime had done in Britain.

The revolutionaries' administration also said the move by the British government is not justifiable as they are fighting Gaddafi forces and they have not been obliged to issue an apology, nor has been the nation, which has suffered under Gaddafi dictatorship over the past decades.

According to council sources, Jalil was forced by the Foreign Office to accept a demand by the British head of the Libya Victims Initiative, Jason McCue, for an "unequivocal apology" on behalf of the Libyan population and a $10 million compensation for each death in IRA attacks.

The sources also said McCue was cooperating with a British diplomatic team led by British ambassador to Rome Christopher Prentice in the revolutionaries' stronghold of Benghazi.

According to a spokesman Essam Gheriani, Jalili was left without an alternative on the issue considering the diplomatic leverage Libya invaders hold and revolutionaries' dire need for the Libyan funds frozen overseas.

"The whole world knows the Libyan people are not responsible for Gaddafi's acts over 40 years. An apology is not warranted for the simple reason that the Libyan people did not participate in these acts. But there is the situation in the international arena," Gheriani said.

Gheriani also described the situation in which Jalil signed the apology as being under pressure.

"It depends on how you define pressure. I request something from you when you want something from me. It could be defined as pressure," he said.

Britain is one of the countries that have frozen Libya's assets and is currently blocking some £100 million in Libyan currency.

"We need those frozen assets. They will be frozen until they have a legitimate body they can be released to, so we need recognition. This is essential for us," Gheriani stressed.

Source:
http://www.presstv.ir/detail/173557.html
 
Mkuu wewe si mgeni any more humu JF.
Nimesema "wengi wetu humu" wamegawanyika kidini pale inapokuja kwenye mjadala unaohusiana na uvamizi wa Libya.
Na kwasababu wewe si mgeni sana,basi nilitegemea una experience ya kufuatilia mijadala na kuwasoma wachangiaji wa mijadala hiyo.
Kama kwenye jamii yetu bongo watu waislam wanaandamana for Libya,kuna tofauti gani na jamii yetu hapa?Ni wazi pro Gaddafi "Wengi wao" ni waislam,na wasiompenda ni wakristo,again "wengi wao"
Sikujua kama nilihitaji kuexplain all of this.

Nikusaidie hapo kwenye red. Mijadala ya kumchukia Gadaffi hapa JF haikuwa na element za dini ya kikristo. Wengi walikuwa wanachukizwa na mtu kujifanya Mungu mtu. Kuna mtu anayependwa duniani kama Nelson Mandela? Mbona alistaafu mwenyewe uraisi alikiwa na nguvu zake? Hicho ndicho kinachowafanya watu wawashambulie wale wanaotaka tuamini kuwa military intervation ya UN ina uhusiano na vita dhidi ya uislamu. Nani anamjua Gadaffi zaidi, Mtanzania wa Kiwalani hadi aandamane, au Mribya anayetawaliwa na Ghadafi zaidi ya miaka 40 ambaye anaandamana ili atoke? Kuwapinga hawa si kuwakilisha wakristo. Kuwepo kwa Ghadafi na kutokuwepo hakuna maslahi yoyote kwa dini ya Kikristo hivyo hakuna Mkristo anayeweza kufurahi au kuchukia kuendelea kuwepo madarakani. Wapenda demokrasia ndio wanamchukia Ghadafi.

Ni dhana hii pia inayowaudhi watanzania wengi dhidi ya CCM, kutaka kulazimisha ushindi kana kwamba wao tu ndio wenye akili za kuongoza au mmesahau sakata la uchakachuaji ?
 
Back
Top Bottom