Tatizo watu wengi hawajui kinachoendelea Libya, Gadafi akiondoka pale nchi ile itakuwa kama Somalia na Iraq haitatawalika. Lazima mjue kwamba nchi za magharibi zinataka mafuta ya Libya tu, na wale wapinzani wa Gadafi ni purpet wa nchi za magharibi, sasa kama mnawaunga mkono maana yake mnaunga mkono kutawaliwa tena kwa ukoloni wa kisasa. Kama wao wanajua demokrasia si wangeenda Somalia ambapo hakuna serikali kwa muda mrefu ?
Ha ha ha..al Qaeda fanatic wanchekesha sana.Mimi nilijuwa zamani akina Zuma na Russia ni walewale.
Gaddafi hana sababu ya hata kuonana nao.Apigane tu.Allah ndiye rafiki wa milele.
Tangu hapo mwenyewe hayupo madarakani rasmi lakini bado wanatumia kisingizio cha kuwepo kwake madarakani ili sababu za kivamizi zisikatike.
Asha D na wewe unaresort kwenye hizi propaganda za royal family na utawala wao? Nchi yoyote ya kifalme katiba yao (constitutional monarchy) inaruhusu, Libya ni nchi ya kifalme?
Ataondokaje ilhali Libya kwake ni sawa na personal goldmine? nyonyo tamu babu uspime.its good 4 all libyan if Ghadaf wl go now!
Even Libyans are white, haa haa haaa!Stupid white people death to US n NATO
I hate Gaddaf because even mwalimu used to hate him.
heshima gani USA wanaifanya kwa talibani-au huku kumuua osama?Siku navamiwa nyumbani kwangu halafu rafiki zangu na majirani badala Ya kunisaidia wananishika mkono nikae pembeni niwawache majambazi wamalizie shughuli yao.Kwanza nawatukana wakiendelea naweza hata kuwageukia wao nikawarushia makonde.
Russia na South Africa si walilkuwepo UN siku azimio likipitishwa?.Na sasa hivi si midomo wanayo mbona hawalaumu US na NATO wanavyofanya huko Libya?.
Gadaffi hakufuata ushauri wangu kikamilifu wa kugawa silaha zote kwa wananchi.Angalia heshima US inayofanya sasa kwa Taliban.
Siku navamiwa nyumbani kwangu halafu rafiki zangu na majirani badala Ya kunisaidia wananishika mkono nikae pembeni niwawache majambazi wamalizie shughuli yao.Kwanza nawatukana wakiendelea naweza hata kuwageukia wao nikawarushia makonde.
Russia na South Africa si walilkuwepo UN siku azimio likipitishwa?.Na sasa hivi si midomo wanayo mbona hawalaumu US na NATO wanavyofanya huko Libya?.
Gadaffi hakufuata ushauri wangu kikamilifu wa kugawa silaha zote kwa wananchi.Angalia heshima US inayofanya sasa kwa Taliban.
Hivi tunavyoandika Clinton katoka Pakistan kuibembeleza nchi hiyo izidi kuwabana Taliban.Kule Marekani kwenyewe barua kali imetumwa kwa Obama kutokana na athari za mashambulizi ya Taliban akitakiwa na wajumbe kutoka vyama vyote vikuu vya kisiasa akitakiwa akomeshe vita.heshima gani USA wanaifanya kwa talibani-au huku kumuua osama?
Ushauri wangu ulimfikia na kuna wakati alitamka hadharani kufanya hivyo,nahofia hakufanya kikamilifu.Hii iwapo kafanya hata akiondoka hatawali mtu pale.Kwa sababu wapo wachache wanaomchukia Gaddafi lakini karibu wote hawapendi ukoloni mpya.Labda ushauri wako haukumfikia mtumie tena mkuu.
US President Barack Obama asked his Russian counterpart Dmitry Medvedev to tell Libyan leader Muammer Gaddafi that he will remain alive if he leaves the country, the Kommersant daily reported Friday. Citing a Russian official present during Obama's meeting with Medvedev on the sidelines of the G8 summit in France on Thursday, the report said Washington's proposal sounded unrealistic to Moscow.