AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
Tatizo watu wengi hawajui kinachoendelea Libya, Gadafi akiondoka pale nchi ile itakuwa kama Somalia na Iraq haitatawalika. Lazima mjue kwamba nchi za magharibi zinataka mafuta ya Libya tu, na wale wapinzani wa Gadafi ni purpet wa nchi za magharibi, sasa kama mnawaunga mkono maana yake mnaunga mkono kutawaliwa tena kwa ukoloni wa kisasa. Kama wao wanajua demokrasia si wangeenda Somalia ambapo hakuna serikali kwa muda mrefu ?
Mpaka sasa mwelekeo wa Libya ni haywire.... Libya is NO MORE... Inasikitisha kua the majority don't understand na sababu time is our friend - time will tell... But then it will be too late!
