GADDAFI ATAJITOKEZA NA ATAYARUDIA MANENO HAYA...
NANUKUU "I want to show that I'm in Tripoli and not in
Venezuela. Do not believe the channels belonging
to stray dogs," -
KWA KISWAHILI... "Nataka kuonyesha kwamba bado nipo Tripoli na
sio Venezuela. Usiamini runinga za mbwa koko,"
NAONGEZEA....''usiamini runinga za Mbwa koko wanaokula majalalani''
......................................<font color="#222222">Confirmed: Gaddafi's audio record just played on the Libya state TV few minutes ago congratulating his forces for eliminating some "rats" in the streets of Tripoli. Whether or not he has left Libya, it seems that some "rats" have in fact entered Tripoli even if they were "eliminated" by "cats". </font>
Gaddafi remains Libya's leader: spokesman
Muammar Gaddafi remains the leader of the Libyan people and the capital Tripoli is well-defended, Information Minister Moussa Ibrahim said on Saturday in comments shown on state television.Ibrahim renewed a call to rebels to surrender, saying they would be forgiven even if "they have killed our relatives."
"I ensure Libyans that Gaddafi is your leader ... Tripoli is surrounded by thousands to defend it," he said.
Gaddafi remains Libya's leader: spokesman - Yahoo! News
Waafrika ndivyo tulivyo,hatufikiri nje ya mtandao wa kikoloni.
Eti Kikwete akisema hatoki baada ya 2015!.Kwani tatizo liko wapi hata akitawala mpaka afe.Kwani lazima tuwe na maraisi wangapi siku dunia itakapofikia kiama.Muhimu ni uadilifu wa kiongozi na si lazima atawale kwa formula ya kizungu,miaka mitano mitano.
Wazungu ni washenzi hata kuliko mababu zetu kabla hawajafika wao.Tangu waanze vurugu zao miaka ya karibuni huko Afghanistan na Iraq sina hamu nao kabisa na sioni cha maana kuwaiga.
.......................................Sir he just did this in few minutes ago through an audio recording on the state TV, though he did not say where he was. The good thing, he confirmed there were some "rats" in Tripoli but they have been eliminated. Who know, these "rats" may come back?
It is always difficult to believe on someone who always supports the status quo. Yaani mtu asiye makini anaweza akawa very impressed na ulichoandika, surely you sound as another propaganda tool. Kwa signature yako, inaonyesha kabisa kuwa whatever you'are going to write will be very biased. You can fool some people sometimes, but you can't fool all the people at all the timeall the time.
......................................
Mkuu fuatilia huu mlolongo wa hizi habari utaona kuwa waasi ktk miji mingi huwa wanafanikiwa kuingia, lakini kabla ya Jua kuzama wanakuwa wameshavurumushwa na kurudi walikotoka.
Wao wanachofanya ni kusubiri ndege za NATO zishambulie sehemu fulani then wao ndio waingie na kisha faster TV zao zinazomilikiwa na mbwa koko zinawachukua na kuja kujaribu kutuokota na kuamini kuwa Baba etu kipenzi anazidi kudhoofika.
We tangu hawa jamaa wameivamia Libya ni mara ngapi umesikia waasi wameteka mji wa Misrata au Zawia?
Kila kukicha tunasikia mji ambao waasi waliuteka wiki iliyopita basi wameuteka na leo...hujiulizi kwa nini?
Nimetumia hio quote kama thirty minutes ago.... Nimesoma post ya Gamba la Nyoka nikaona it is an OK post... but as a result of this post of yours na najua mostly you know what you talk about - If you don't mind i would like some justifications in blue in relation to Gamba's post...
Simply because his post was a propaganda well written. Alianza post yake kwa kusema "Natoa tahadhari ifuatayo kwa wana jf:" as if sie Wana JF tuna haja ya kupewa tahadhari. Do you? That is how the people on the top do to the people on the lower. Kuwatahadharisha. That we should only listen to what the people on the top say. Full propaganda. Hapa JF everyone is equal. Hakuna kutahadharishana hapa.
Then akasema "Kwa mujibu wa alternative news nilizokuwa nazo ni hivi" Hiyo nayo propaganda. Kwanza ukiangalia hiyo quote, ni past tense. Anaongelea alternative sources alizokuwa nazo, ambazo zinaweza kuwa outdated by now. After all, there is no such a thing as alternative news. B'se hata link ya alternative source aliyoweka hapa ina copy news from Reuters ambayo ni moja ya western media anazosema zinaeneza propaganda.
Soma na signature yake pia. Hataki Chadema kupokea misaada nje wakati Kikwete yuko nje muda mwingi akitembeza bakuli. kama sio hypocrisy ni nini?
Sasa CHADEMA inahusika vipi? Hii mada inahusu mapambano yanayoendelea Libya siyo unatuletea pumba zako. Watu kama wewe huwaga mnaboa kwa kuwa so opinionated on everything, while in fact you know nothing. Kama hujui kinachoendelea huko Libya siyo lazima uchangie. Nenda kwenye siasa zako za CHADEMA na CCM.
Haha haaa. Losers utawajua tuu. You getting mad on me? Its not my opinion which is making Gaddafi to go down sir. Kama nakuboa huna hata haja ya kusoma "pumba" zangu. Hulazimishwi mkuu. Au kama posts zangu zinakuboa, bofya hapo "REPORT ABUSE" wataarifu Mods. Otherwise, it is better to remain silent and appear to be a fool, than to open your mouth and remove all doubt.
CHADEMA ina umuhimu gani kwenye hii maada? Jibu swali siyo unatumwagia pumba zako kama huna akili nzuri.
Mkuu do yourself a favor. Acha kurukia. Kwa vile hii ni post yako ya pili kwenye hii thread, pitia kwanza posts zote ili ujue issue ya Chadema imeingiaje hapa. Pia watu wame mention Kikwete kwenye hii thread mbona na wao huwaulizi? Don't make yourself look too sloppy by picking the easiest issue.
<br />
<br /> Wewe mpuuzi sana inaelekea unafikiria kwa kutumia masaburi.Sijui huko ulaya ulienda kufanya nini kama wewe ni kilaza kiasi hicho.kama nyerere angetugawa kwa misingi ya ukabila tanzania leo ingekuwa ya aina gani ?Ifike mahali waafrika tuwakatae viongovi wapumbavu kama Gadaf huyu jamaa ni mwendawazimu na mnafki wakupindukia hana tofauti na wakina mugabe.
Unaharibu mlolongo wa hii thread kwa kuingiza upuuzi na kujifanya unafahamu vitu ambavyo hujui. Bora hata mtu anaye copy-and-paste latest news developments from Tripoli from Reuters/CNN kuliko wewe kuingiza ujinga wako wa CHADEMA sehemu ambayo haileti maana yoyote.
Hapo umesema kweli Wengi wangependa kupata dalili ya ukweli wa haya maneno......................................
wanafikiri Gadaffi ni kama Rostam?
Akijambishwa anaachia madaraka?
teh teh Gaddafi ni nguli, na hata wakifanikiwa kuuondoa utawala wake wakae wakijuwa hicho wanachokitolea udenda hawatakipata...