Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kuna habari kuwa Waasi wa Libya wameingia mjini Tripol baada ya upinzani mkali. Waasi wanadai kuwa wamemkamata Mtoto wa Ghadaffi Seif-Islam lakini haijathibirishwa na vyombo vingine.
Inaonekana baadhi ya watu wakishangilia mjini Tripoli ingawaje si wengi kama walivyozoeleka pale green square.
Wachunguzi wa kimataifa wanasema 'the situation is fluid in tripol'.
Kinachotia shaka ni jinsi jeshi la Ghadaffi lilivyoyeyuka na wengine wanadhani inaweza kuwa ni mtego.
Mkuu ukishakuwa kiongozi hata kama wananchiwalianya makosa kukuchanguanenokiongozilina maanayake. hata kama iongozia ana mtindiwa ubongo au yukomahututi bado kuna neno Kiongozi lina maana yake.
Nadhani na vyuo vyote fani zote kuna somo la management na leadership linafundishwa at some point. Wajibu, majukumu, madaraka delegation style, Aina za viongozi faida na hasara.
Sasa ukisemawa kuwalaumu ni wananchi hapo nakataaaaaaa kabisa na naona unakataka kuliundermine neno Uongozi na Kiongozi. Do u mean wananchi wewe Mbele kiongozi awe nyuma?????!!!!!
Tena huku kwenye nchi zetu ambazo hatuna insitution zenye nguvu na na structure za Utendaji nzuri Tunahitaji Viongozi ndio wawe on top of things
Mkuu nitakujibu hii mara baada ya haya mambo kwisha kama wanavyodai in a few hours Gaddafi atakuwa history.Kwasasa nafwatilia different media outlets.Nitakujibu vyema nikitulia kwani ni mjadala mzuri tu.Mkuu sababu za ku abolishi slave ilikuwa sio kwa manufaa ya Waafrika. It was simply a change of economic interests na waliokuwa wanaendesha hiyo biashara ya utumwa. Baada ya Marekani kuwa huru, mashamba ya sukari ya Waingereza huko Jamaica, Barabados, nk. yalionguka kwa sababu Marekani iliweza kufanya biashara moja kwa moja na Wafaransa, Waholanzi huko West Indies. Hapo biashara ya slave trade ikadoda.
Pia mapinduzi ya viwanda karne ya 18, simply meant Britain no longer needed slave-based goods. Waingereza wangeweza ku prosper from new systems which required high efficiency, through free trade, free labour and natural resources. Pamba badala ya sukari, became the main produce of the British economy. The only way they could have get these was through colonialism. Hii issue ya freedom ni covering tuu mkuu ili tujione kama vile tulikombolewa. Hamna kitu hapo.
Kwa hiyo ni justification ya yeye kuendelea kukaa madarakani kwa muda wote? Kuwa kwa vile nchi zenye mafuta ni ngumu kuziongoza basi tuwape madikteta? Hakuna shida kuongoza nchi yenye mafuta mkuu. Tatizo hapa ni baadhi ya viongozi kutumia uwepo wa hayo mafuta kama sababu ya kuendelea kukaa madarakani. Kuwa any external forces against their totalitarian regime, ni kutaka kuyafaidi hayo mafuta. Mafuta yanatumika kama propaganda, wakati wao wenyewe wanajilimbikizia mali.
Wote puppets and madikteta hawafai. You can't choose one against the other. Ndio maana nikasema two wrongs doe not make it right. Dictators and puppets should no longer be tolerated as the a wam. Imagine unafanya mapinduzi ya kumwondoa puppet halafu unamweka dikteta. Hapo utakuwa unaenda nyuma, mbele ay kushoto?
Mkuu what we are witnessing in the Middle East is a rejection of the American strategy. The strategy of imposing puppets, who often turn into dictators. Matokeo yake unakuwa na puppet dictators. Mkuu sio umeona tayari watu wameshaazisha thread humu kupinga Al Jazeera Kiswahili kuanzishwa east Africa, ili kuendelea kuwa puppets.
CNN wanadai it could be just a few hours before Gaddafi is done.Wanasema wanashikilia neighborhood nyingi tu pia hata green square.Pia kwamba kuna wanao surrender.Unaweza kutuwekea hiyo link ya russian tv kuwa Gaddafi is detained?
Tafadhali fanya hivyo,otherwise post yako ni useless.
Kuna habari kuwa Waasi wa Libya wameingia mjini Tripol baada ya upinzani mkali. Waasi wanadai kuwa wamemkamata Mtoto wa Ghadaffi Seif-Islam lakini haijathibirishwa na vyombo vingine.
Inaonekana baadhi ya watu wakishangilia mjini Tripoli ingawaje si wengi kama walivyozoeleka pale green square.
Wachunguzi wa kimataifa wanasema 'the situation is fluid in tripol'.
Kinachotia shaka ni jinsi jeshi la Ghadaffi lilivyoyeyuka na wengine wanadhani inaweza kuwa ni mtego.
Mkuu nitakujibu hii mara baada ya haya mambo kwisha kama wanavyodai in a few hours Gaddafi atakuwa history.Kwasasa nafwatilia different media outlets.Nitakujibu vyema nikitulia kwani ni mjadala mzuri tu.
Ila kwa kukugusia,kuna manufaa kwa waafrika for the slavery abolition na si kwa manufaaa ya kiuchumi yaliyotokana na changes for their interests peke yake.Hata uhuru ulipopatiikana.Ni hatua yenye manufaa kwetu hata kama waliutoa kwasababu za tofauti kwasababu ukweli ni kwamba tulikuwa tuna fight against all these injustices since slavery.Kuna sababu nyingi tu kutegemeana na centric point of view ya jamii husika.Ni kweli mambo mengi yanayotokea ie abolition,independence etc yanaweza kuwa justified in too many ways.Lakini kwa upande mwingine ni hatua kwa human dignity.Huu ni upande wa tofauti na economic reasons za walio abolish.Lakini hii haina maana kuwa ndo tumeshashinda.Ni hatua.
Posti yako hii kuna mengi ninayokubaliana nayo.Pale nisipokubaliana napo ni justifications za hao supe powers kufanya wanavofanya.Ndugu yangu nisikufiche kama viongozi wetu wakifanya mambo ambayo yatauondolea umasikini na kutufanya wenye furaha na jamii yenye maendeleo,basi kwa upande mwingine watakuwa wanamwudhi mnyonyaji ama hawa ma imperiaists.Na hivyo watawaondoa madarakani.Huo ndo ukweli.Kuna nchi ngapi zenye watawala wenye kuwafanyia mbovu wananchi wao kwa kila namna kuanzia ufisadi nk.na kuwaacha masikini wa kutupwa.
Any ways ntarudi kama nilivyo kuahidi.
Plus secret services, wale walikuwa ni show off. Kulikuwa na presidential guard, I wonder imekuwaje mambo yakawa laini kiasi hicho kwa rebels
Yangu(CNN) siitizami online.Nilidhanii hiyo news ya Russian tv umeipata oline.Samahani however coz umesema wame itoa TBC.Ma bad.subiri link wakati ukiiweka ya CNN.
Walinzi wa hoteli ya waandishi wametimua!!!!!!!
Duhu, Gaddafi bado anafoka!
Muammar Gaddafi makes rallying call to his supporters to come out and fight rebels on the streets of Tripoli.
"You, you leave your houses and carry out your duty. Dead or alive, come on, go to Tripoli, from within and from outside." The women who trained to use weapons should go out and use their weapons.
You are all armed in Tripoli so there is no excuse, get out.
The agents of colonialism consist of only small groups.
How can you allow the city of Tripoli, Libya's capital, to sit under colonialism once again after the (1969 coup) revolution and freedom?
How can the armed people allow a group of mercenaries, traitors and rats to open the way for colonialism in the city of Tripoli? This is rejected, it's a dangerous thing.
If Tripoli burns and becomes like Baghdad, what good will that do, why? How can we allow Tripoli, which was safe and beautiful, to become a stage for military operations?"
Al-Jazeera blog
Gaddafi ameadhirika! Swali ni je serikali yetu itawapongeza au kuwatambua "waasi"? Mh. Membe kazi unayo!