Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kuna habari kuwa Waasi wa Libya wameingia mjini Tripol baada ya upinzani mkali. Waasi wanadai kuwa wamemkamata Mtoto wa Ghadaffi Seif-Islam lakini haijathibirishwa na vyombo vingine.
Inaonekana baadhi ya watu wakishangilia mjini Tripoli ingawaje si wengi kama walivyozoeleka pale green square.
Wachunguzi wa kimataifa wanasema 'the situation is fluid in tripol'.
Kinachotia shaka ni jinsi jeshi la Ghadaffi lilivyoyeyuka na wengine wanadhani inaweza kuwa ni mtego.
Source please!