Mkuuu hili sakata ni mix ya lots of things and positions, kuna suala la upinzani kutokea Benghazi, Gaddafi alishawafanyia sana watu wa kule, lakini pia kuna hili la NATO especially the US and UK ni kama muda wa kulipiza kisasi na kumuonyesha Gaddafi na wapambe kwamba usicheze na sisi mtaumia. Lakini kuna nchi kama France na Italy It is purely economic fight on Libyan resources. Italy ina zaidi ya $Billioni 20 invested in Libya. Lakini pia kuna the Arab league ambayo Gaddafi ali-idesert sometimes ago na kuwa karibu zaidi na nchi za kiafrika. Hawa somehow wanaona Gaddafi anastahili hiyo rebellion. Lakini all in all it's about the Libyan people. In fact hii rebellion ilipoanza with Tunisian and Egypt regimes fallen na NATO kuchip in Gaddafi had no chance.
Sasa tukija kwenye suala la revolution hapo kidogo lazima kutakuwa na so many different opinions in the air, lakini kiukweli hii ni revolution ya aina yake, maana imefanywa almost entirely by civilians!!! The spicing of NATO fire ndiyo inafanya credibility ya hiyo revolution kuwa questionable. Ila there was no way hao rebels kuadvance that far in such a short period of time bila msaada wa outsiders who are NATO in this case. The ugly part of this revolution itakuwa ni a full control of Westerners on Libyan affairs and this won't go without resistance. But for Gddafi inasikitisha lakini ni political miscalculations alizofanya yeye mwenyewe.
Kweli mkuu. This is very complicated issue. Kwenye issue ya Libya, kuna genuine and mass upheaval but commingled with imperialist intrigue. Hii ndio inayofanya Libyan revolution iwe so complicated. No one in the west has backed Gaddafi since he came into power. Lakini Misri, uprising ilikuwa product ya mass discontent dhidi ya Mubaraki aliyekuwa anaungwa mkono na Marekani. American imperialism ilikuwa na reliable base mpaka ndani ya jeshi la Misri.
Kwenye, uprising ya Misri, Marekani ilikuwa inajaribu kustalilise the existed status quo ili Marekani iendelee ku dominate Middle East na interests zake za kiuchumi Misri. Hii ni tofauti kabisa na Libya ambako the West has been trying to diatabilise the status quo for quite a long time now. Kabla ya haya, Marekani ilikuwa haina interests or economic holdings in Libya. Kwa hiyo sasa wanataka kutumia hii revolution for a neo colonial regime possibly for the interests of the West. So, while there is genuine and just mass upheaval in Libya, there are also significant elements of imperialist maneuvering involved.
Tofauti nyingine ni kuwa yanayotokea Libya is Gaddafi himself. Gaddafi sio Mubarak. Gaddafi alikuwa na support kubwa ndani ya Libya alivyoingia madarakani mwaka 1969. Pia kwa muda mrefu Gadaffi ameonekana kama mtetezi na mtu mwenye msimamo wa kweli juu ya rasilimali za nchi yake. Alionekana kama mtu aliyekuwa against imperialism. Mpaka Marekani walitaka kumwua miaka ya 1980.
So, Gaddafi is not really the same as the openly servile Mubarak, even though the Gaddafi regime never fundamentally broke with or fundamentally challenged imperialism. Kuna watu wanasema, ideologically Gaddafi was a communist. But alikuwa anti communist and claimed that he was finding a third way between capitalism and communism. In reality, Gaddafi ended up creating a state capitalism based on oil revenues and beholden to world imperialism for markets, technology, transport, and investment capital.
Kuna kitu ambacho nimeona watu wengi labda hawajui au wame ignore katika arguments zao. Inaelekea watu wengi sana wanaomuunga mkono Gadaffi hawajui ni kwa nini Walibya hawamtaki Gadaffi. Watu wengi wanaomtetea Gadaffi hata hapa JF wanakuja na hoja mbili. Moja ni imperialism na ya pili ni kuwa Gaddafi kawasaidia sana Walibya kiasi kwamba wanapata all the needs lakini wamesahau yote hayo. Laini kama ulifuatilia uprising ya Egypt na Tunisia hapa JF utagudua kuwa wengi wa wanaomsapoti Gaddafi, hawakusema lolote kumtetea Mubarak, simply because ilikuwa ngumu kufanya hivyo. Mubarak was being supported by the Americans na Wamisri walitaka mabadiliko b'se hali yao kiuchumi ilikuwa mbaya sana.
Libya, hali ya kiuchumi haukuwa mbaya kihivyo. Hoja kuu ya Walibya kutaka Gaddafi aondoke haikuwa kupanda kwa bei ya bidhaa kama Tunisia na Misri. Walibya walichotaka ni kitu kimoja tuu: FREEDOM. Inawezekana they had everything at their disposal but for FREEDOM. Of course, Wamisri na Watunisia nao hawakuwa na freedom, but the main cause of their revolutions was not FREEDOM. Ndio maana mpaka sasa bado kuna malumbano na maandamano.
Finally, there are important lessons our leaders and the people in general across Africa need to learn from what just happened in Libya. It is not about leadership or no leadership. Rather, the question is what kind of leadership? Serving what goals? Using what methods to achieve those goals? We are facing big challenges to rise to and our future still remains to be written.