Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
J.Mushi, mimi ni miongoni mwa wanaomuunga mkono Ghadafi na kulaani madhalimu mabeberu wa Nato na vibaraka wao, lakini taarifa hizi sasa zinaniogopesha, wakifanikiwa Libya ndio bara lote la Africa lii mikononi mwao, kumbe hata hivi virais vyetu vilivyokaa kimya akiwemo wetu ni vi- puppet tuu!.Wame instigate vita vya kikabila.Hao wenye kumchukia ni wa makabila mengine tu.Hivi unadhani pamoja na matatizo yote ya JK mimi ningekubali aondolewe madarakani kwa nguvu kwasababu tu yeye ni Mkweree kama wengi wenu mnavyomwita humu ndani?I would have honestly defended him and my country.Msifananishe kama vipofu wasiyo na uwezo wa kuona mnapodai eti wananchi wengi hawampendi Colonel.Kama ni hivyo kwanini hayo majeshi eti ya ukombozi yavamie Tripoli na si wananchi wenyewe wa Tripoli kama ilivyokuwa huko Benghazi ambapo tuliona maelfu wakimiminika mtaani kuwapokea?Sasa propaganda zimebadilika na kuwa eti wanashikilia baadhi ya mitaa ya Tripoli.Huko kwingine vipi?Hayo maandamano ya green square yako wapi.Subirini kukuche muone habari.Maana mwandishi mmoja wa CNN amedai ni mamia ya magaidi kutoka pande za tofauti wanaingia Tripoli na kuelekea green square.Anadai karibia afike lakini nashangaa kwanini hajafika hadi sasa.Wanaonyesha repeated clips tu.Propaganda nyingi zaidi na sijui zitamsadia nani wakati bottomline walibya wana kazi ngumu sana mbele yao.
Nakubaliana kabisa kuwa kuangushwa kwa Gaddafi ni a symbolic failure of Afrika.Nina amini history will judge him fairly.J.Mushi, mimi ni miongoni mwa wanaomuunga mkono Ghadafi na kulaani madhalimu mabeberu wa Nato na vibaraka wao, lakini taarifa hizi sasa zinaniogopesha, wakifanikiwa Libya ndio bara lote la Africa lii mikononi mwao, kumbe hata hivi virais vyetu vilivyokaa kimya akiwemo wetu ni vi- puppet tuu!.
By BEN HUBBARD - Associated Press,KARIN LAUB - Associated Press | AP 53 mins ago
Alexandre Meneghini - People celebrate the recent news of uprising in Tripoli against Moammar Gadhafi's regime at the rebel-held town of Benghazi, Libya, early Sunday, Aug. 21, 2011. Libyan rebels said they
more
Rebel fighters look towards the enemy as they hear the sound of bombardments in the
People celebrate the recent news of uprising in Tripoli against Moammar Gadhafi's
uongozi wetu ni worse more than them..ngoja siku tuamke na kwenda kufunua hayo makabrasha waliyoyasaini ndio mtaonaGhadaffi amekwisha. Watoto wake wawili ni mateka wanaotarajiwa kukabidhiwa ICC huko The Hague wakati wowote. Namhurumia sana Ghadaffi na familia yake kwa sabau walikula raha sana katika miaka arobaini iliyopita ya utawala wake. Itakuwa ni vizuri kama walikuwa wamejiandaa kwa kutambua kuwa kila lenye mwanzo huwa lina mwisho wake. Huenda viongozi wetu nao watajifunza kitu fulani kutokana na somo hilo ingawa mfumo wa utawala wa Ghadaffi huko Libya ulikuwa tofauti sana na wa kwetu; fundisho kubwa ni lile la matumizi ya madaraka.
Mkuuu hili sakata ni mix ya lots of things and positions, kuna suala la upinzani kutokea Benghazi, Gaddafi alishawafanyia sana watu wa kule, lakini pia kuna hili la NATO especially the US and UK ni kama muda wa kulipiza kisasi na kumuonyesha Gaddafi na wapambe kwamba usicheze na sisi mtaumia. Lakini kuna nchi kama France na Italy It is purely economic fight on Libyan resources. Italy ina zaidi ya $Billioni 20 invested in Libya. Lakini pia kuna the Arab league ambayo Gaddafi ali-idesert sometimes ago na kuwa karibu zaidi na nchi za kiafrika. Hawa somehow wanaona Gaddafi anastahili hiyo rebellion. Lakini all in all it's about the Libyan people. In fact hii rebellion ilipoanza with Tunisian and Egypt regimes fallen na NATO kuchip in Gaddafi had no chance.
Sasa tukija kwenye suala la revolution hapo kidogo lazima kutakuwa na so many different opinions in the air, lakini kiukweli hii ni revolution ya aina yake, maana imefanywa almost entirely by civilians!!! The spicing of NATO fire ndiyo inafanya credibility ya hiyo revolution kuwa questionable. Ila there was no way hao rebels kuadvance that far in such a short period of time bila msaada wa outsiders who are NATO in this case. The ugly part of this revolution itakuwa ni a full control of Westerners on Libyan affairs and this won't go without resistance. But for Gddafi inasikitisha lakini ni political miscalculations alizofanya yeye mwenyewe.