The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Hii nimeipata kupitia Tv ya Syria!.

Taarifa rasmi ya kuthibitisha itatolewa muda mfupi ujao na rais Obama wa Marekani maana yeye ndiye authentic source na rais wa dunia hii!.

Pasco tartiibu bana mii hapa nna mtandao na naangalia tv channels karibu 8 tofauti tofauti, hiyo habari mbona haionekani?
 
kaazi kweli kweli kwahiyo obama ndio reporter wetu siku hizi wa matukio yanayojiri dunia hii?
 
Mmh!! Kama ni kweli basi Gadaf amekuwa na mwisho mbaya.
 
Taarifa hiyo imesema kwanza Ghadafi alishikwa akiwa hai, waasi wakashauriwa na mabwana zao, wamuue mara moja na mwili wake upelekwe pale Gree Squire ili uonyeshwe wazi na kumaliza rasmi vita hii!.
Saa 12:00 ya Tripoli ndio hii, tusubiri uthibitisho !.
 
[h=2]Breaking news! yako sio ya kweli Ghadafi hajafa bado anadunda bwana wacha kutoongopea ...................[/h]
 
Hii nimeipata kupitia Tv ya Syria!.
Taarifa rasmi ya kuthibitisha itatolewa muda mfupi ujao na rais Obama wa Marekani maana yeye ndiye authentic source na rais wa dunia hii!.
Taarifa hiyo imesema kwanza Ghadafi alishikwa akiwa hai, waasi wakashauriwa na mabwana zao, wamuue mara moja na mwili wake upelekwe pale Gree Squire ili uonyeshwe wazi na kumaliza rasmi vita hii!.
Saa 12:00 ya Tripoli ndio hii, tusubiri uthibitisho !.
 
Hii nimeipata kupitia Tv ya Syria!.
Taarifa rasmi ya kuthibitisha itatolewa muda mfupi ujao na rais Obama wa Marekani maana yeye ndiye authentic source na rais wa dunia hii!.
Taarifa hiyo imesema kwanza Ghadafi alishikwa akiwa hai, waasi wakashauriwa na mabwana zao, wamuue mara moja na mwili wake upelekwe pale Gree Squire ili uonyeshwe wazi na kumaliza rasmi vita hii!.
Saa 12:00 ya Tripoli ndio hii, tusubiri uthibitisho !.
 
Surprise, Surprise eh? next up Libya an Islamic State the real agenda by America, NATO, Rebel...!
 
Six Month conflict near end...!

The New conflict will begin very soon
..!
 
Six Month conflict near end...!

The New conflict will begin very soon
 
Pro-Democracy Libyan Rebels Take Gaddafi's Home Town
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…