| Gaddafi's influential son appears with supporters in Tripoli, disproving opposition claims that he had been captured. |
No wonder wanadai eti situation ni fluid,kwani hawakujuwa itakuwa fluid kabla ya mission yao ya kwanza ambayo hata hivyo haikutakiwa iwe ya kuiondoa serikali madarakani?Mission primarily ilikuwa ya no fly zone kuwaprotect civilians.Ikageuka ya bombing,then kusapoti rebels,sasa Gaddafi aondoke,na huku wakijiuliza mafuta yatagawanywa vipi.Saif Al Islam Gaddafi Is Free - Drives Up & Talks With FOX Producer - YouTube
Gaddafi akiweza kuhimili zari la siku 15 mpaka 30 basi anashinda vita hii. NATO wamechanganyikiwa na US pia. Kinachofuata sasa ni NATO kudondosha mabomu kama mvua na kuua raia na pia kupeleka askari wa ardhini ambao tayari wapo, wapo special forces tayari ila wataongeza idadi yao.
Na Western media lies zimeanikwa sasa ,wako uchi kabisa.
Sasa wanafanya psychologia media war ya nguvu na kuvumisha vifo vya watu muhimu wa Gaddafi ili moral ya wananchi wanaomuunga mkono Gaddafi wasalimu amri.
Kinachosikitisha ni kuwa maisha ya wasio na hatia wengi yanakatishwa kwa sababu ya US na NATO greed.
Wameshashuka tayari special forces(covert ops)wako Tripoli.Labda waongeze wengine zaidi.Gaddafi katawanya makombora yake mengine nje ya Tripoli zikiwemo pia 20,000 shoulder to surface missiles,na mengine wanadai nchi za jirani.Kwahiyo wanaogopa hawajui mahali halisi zilipo na Gaddafi loyalists wanaweza kuzitumia any time.Hivi sasa wako wameizunguka compund yake ya Bab Al Aziziya.Ndege za NATO zinafly very low on top of it na huku ground forces zikiwa zinajaribu kuitake over.Wanaamini Gaddafi yumo ndani kwenye bunkers.Pia kwenye hoteli kuna mapigano.Hoteli hiyo ndipo walipo waandishi wa kimataifa,na pia iko karibu sana na compund ya Colonel Gaddafi.Gadafi nimemkubali
Kumbe aliona akipigana nje NATO wanamuona vizuri na wanamshambulia, sasa kawaacha rebels wakaingia Tripoli, aisiiii kawamaliza karibu wote waliobaki wanatimuka vibaya sana kutoka Tripoli. Kweli huyu ni mbabe wa kivita.
Hata mie nilikuwa nashangaa Gadafi ashindwe hata kurusha skadi moja mbili, ama kurusha ndege . Rebel wameisha kama sisimizi tripoli, bila NATO kushuka chini wasahahu kwa Gadafi
Nakubaliana na ushauri wako na ndio maana nimeamua kurudi.Kiburi kama cha NATO si kizuri.Mkuu "Ami". Kufunga thread hii kutaondoa dhana nzima ya Kuanzisha Jamii Forums/International-forum yaani" exchange our views on matters arising in this globe!". Kikubwa nadhani ni kumshauri abadili msimamo wake juu ya Serikali ya Libya Chini ya Comred Gaddaf na aguswe na adha zinazowakabili raia wa Libya na Afrika kwa ujumla zilizotengenezwa na Nato kwa kushirikiana na' Wahuni' wa Bengharz. Nina imani atakubali ushauri huu kama hatakuwemo katika 'payroll' ya ama CIA,M16,France Intel, na nyingine zenye mtizamo kama wa hizo nilizozitaja.
<br />
<br />
Nani alisema mzungu akiua ni halali?
Uliza kilichompata hitler, slobodan, mladic, mussolini na madikteta wengineo wa kizungu hawa hatimae walface justice.
Mohammed Gaddafi, one of three sons of the Libyan leader captured by rebels during the takeover of Tripoli, has escaped house arrest with the help of loyalist fighters...!
Kidzude lete source (ushahidi)!hata namuunga mkono Ami Askari una masalahi JF.
Hawa jamaa wa MATHABA wanaongoza kwa propaganda za kitoto. Nimewafwatilia kwa muda lakini sioni kama wanalo la maana wanaloongea. Wanatumia taktiki za mfumo wa habari wa kikomunisti (umepitwa na wakati). Hebu soma hivi vipengele:
From the start of this attempt to take out Africa's most popular hero but also the man who is responsible for setting much of Africa free -- including South Africa -- and who has continued to provide infrastructure investments in Africa's future in the shape of health, education and communications -- from the start of this war of aggression on Africa's Crown, Libya, and her King of Kings, Qaddafi, this has been a media war.
So, as Mathaba *alone* has promised not only in March when NATO started its attack, but also this past weekend when all the world media -- the entire world media who dutifully echo western media in their reports: Malaysia, Thailand, China, Australia, Latin America, all except Cuba alone as the only country which is not echoing western propaganda (even Iran, China, Russia are) and North Korea which has no media -- the entire world media stood against Mathaba's reports throughout, which have always proven accurate and which have brought us even more readers than before.
Halafu hapo hapo wanatembeza bakuli kinyemela:
Isn't it time that you supported us? Unlike the compromised media, we are not in the pay of advertisers who would dictate terms, nor do we use Google ads which would bring in plentiful revenue give our reader numbers, out of principle as their ads are not appropriate nor quality, nor are we owned by any zionist media barons, nor are we funded by donations from political parties, or owned by intelligence services. It is you, the reader alone, who keep us functioning. So, DONATE NOW or SUBSCRIBE.
My take: Ni watu kama akina Ami na MpigaKelele ndio wanawasomaga na kuwapapatikia hawa jamaa MATHABA (halafu wanatulazimisha na sisi eti tuwaunge mkono!) Tafadhali enyi watu wawili jihadharini sana na propaganda zisizo na mashiko!
Sikatai kwamba Gaddafi amewachemsha sana NATO na kwa namna fulani ameonyesha uwezo wa kutanua kifua na kutokukubali kuachia kiti kirahisi. Nisipokubali ni hapo jamaa wa MATHABA wanapodai eti Gaddafi ni Africa's most popular hero au Africa's Crown, and her King of Kings. Who the hell are they to make such patronizing assertions?media zote hasa za west wanapiga propaganda sana, jana nilikuwa na switch over channel ukiangalia hii wanakuonyesha wanashangalia lakini wanaoshangilia ushindi ni wale wale hasa wale jamaa wawili waliokuwa wanabebana, ukienda kwingine wanakwambia rebel wapo hapa green guard lakini haionekani hicho kiunga cha green, ukirudi kwingine wanakuonyesha rebel eti wamepumzkia chini ya mwembe wanapanga jinsi ya kuingilia compund ya Gadafi.
Lakini hata wakimuondoa Gadafi atakuwa amewachemsha sana na jana Kameruni alivyokuwa anahutubia ukimwangalia vizuri kama amedata data hivi,