Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Watu wanadhani gadaffi ameanza kupambana na west miezi sita iliyopita, fact ni kwamba jamaa alishaipeleka vita uingereza kwa kuwasaidia ira, wale jamaa wa north ireland, na jamaa alisharushiana makombora na wamarekani kwa kugombea mpaka wa bahari ya kimataifa mwanzoni mwa miaka ya 80, na kisha wamarekani walishaishambulia tripoli na benghazi kwa ndege za kivita mwaka 1986, then ukijumlisha vikwazo walivyomuwekea vya zaidi ya miaka 15. Pamoja na struggle zote hizi jamaa alifanikiwa kujenga uchumi bora na wa kujitegemea ukilinganisha na nchi nyingi ndani ya bara la afrika.





