Waasi na NATO pamoja na vyombo vya habari vya magharibi wametegwa, wakategeka. Seif na Mohammed bado wako huru wanavinjari katika viunga vya Tripoli. Kwa undani gonga linki hapo chini na ujionee na kusoma.
BBC News - Libya conflict: Saif al-Islam Gaddafi re-emerges
Libyan rebels: Gadhafi compound under attack in Tripoli - CNN.com
Seif Al Islam alitiwa nguvuni na waasi no doubt. Tatizo linalowakabili waasi ni organisation and lack of proper chain of command kwani ni wananchi wa kawaida walioamua kushika silaha. Seif amewakatia mshiko wa nguvu ili wamuachie huru, na huu ndiyo usaliti ulipoanzia hapo. Strategically kwa kumkamata Seif ilikuwa ni upper hand kwa waasi, kwani mashambulizi yoyote toka kwa gaddafi dhidi yao yalikuwa yanahatarisha maisha ya Seif. Kitendo cha kuachiwa ni boost kubwa kwa pro-Gaddafi na demoralization kwa Waasi. As soon alipokamatwa angesafirishwa kwa ndege au boat kuelekea Bengazi. Japo there is no way for Gaddafi to comeback, but there would be a lot casualities before the monster remain motionless.
Kidzude lete source (ushahidi)!
Kidzude, bado naona leo umeamua kunipakazia, yaani unanionea!!!Ushahidi ni kuwa unachombeza zaidi ili watu waendelee kuchangia kwa kuweka maneno chokozi. lakini hutoi mawazo yako kinagaubaga zaidi ya kunakili habari za kwenye TV. Kingine muda wote hukubali hoja yeyote hata kama ina mantiki nikiimaanisha unatriger more writing. halafu kwa principal kama wewe ni moderator basi unakiuka maadili ya kazi yako. Yaani wewe uwe unavizia wanaovunja masharti na kuwapiga chini. Nathibitisha ama sivyo . nipo tayari kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa kanuni za JF.
Kaka ulikuwepo wakati Saif anawashikisha hicho kitu kidogo?
Rafiki yangu kubali kasoro yako kuhusiana na hii mada.Subiri ushangilie mauwaji ambayo tayari NATO wameshayaahidi ili kulazimisha ushindi eti iwapo Ghadafi hatoweka silaha chini.Hawa jamaa wa MATHABA wanaongoza kwa propaganda za kitoto. Nimewafwatilia kwa muda lakini sioni kama wanalo la maana wanaloongea. Wanatumia taktiki za mfumo wa habari wa kikomunisti (umepitwa na wakati). Hebu soma hivi vipengele:
From the start of this attempt to take out Africa's most popular hero but also the man who is responsible for setting much of Africa free -- including South Africa -- and who has continued to provide infrastructure investments in Africa's future in the shape of health, education and communications -- from the start of this war of aggression on Africa's Crown, Libya, and her King of Kings, Qaddafi, this has been a media war.
So, as Mathaba *alone* has promised not only in March when NATO started its attack, but also this past weekend when all the world media -- the entire world media who dutifully echo western media in their reports: Malaysia, Thailand, China, Australia, Latin America, all except Cuba alone as the only country which is not echoing western propaganda (even Iran, China, Russia are) and North Korea which has no media -- the entire world media stood against Mathaba's reports throughout, which have always proven accurate and which have brought us even more readers than before.
Halafu hapo hapo wanatembeza bakuli kinyemela:
Isn't it time that you supported us? Unlike the compromised media, we are not in the pay of advertisers who would dictate terms, nor do we use Google ads which would bring in plentiful revenue give our reader numbers, out of principle as their ads are not appropriate nor quality, nor are we owned by any zionist media barons, nor are we funded by donations from political parties, or owned by intelligence services. It is you, the reader alone, who keep us functioning. So, DONATE NOW or SUBSCRIBE.
My take: Ni watu kama akina Ami na MpigaKelele ndio wanawasomaga na kuwapapatikia hawa jamaa MATHABA (halafu wanatulazimisha na sisi eti tuwaunge mkono!) Tafadhali enyi watu wawili jihadharini sana na propaganda zisizo na mashiko!
Seif Al Islam alitiwa nguvuni na waasi no doubt. Tatizo linalowakabili waasi ni organisation and lack of proper chain of command kwani ni wananchi wa kawaida walioamua kushika silaha. Seif amewakatia mshiko wa nguvu ili wamuachie huru, na huu ndiyo usaliti ulipoanzia hapo. Strategically kwa kumkamata Seif ilikuwa ni upper hand kwa waasi, kwani mashambulizi yoyote toka kwa gaddafi dhidi yao yalikuwa yanahatarisha maisha ya Seif. Kitendo cha kuachiwa ni boost kubwa kwa pro-Gaddafi na demoralization kwa Waasi. As soon alipokamatwa angesafirishwa kwa ndege au boat kuelekea Bengazi. Japo there is no way for Gaddafi's comeback, but there would be a lot of casualities before the monster remains motionless.
<br>Seif Al Islam alitiwa nguvuni na waasi no doubt. Tatizo linalowakabili waasi ni organisation and lack of proper chain of command kwani ni wananchi wa kawaida walioamua kushika silaha. Seif amewakatia mshiko wa nguvu ili wamuachie huru, na huu ndiyo usaliti ulipoanzia hapo. Strategically kwa kumkamata Seif ilikuwa ni upper hand kwa waasi, kwani mashambulizi yoyote toka kwa gaddafi dhidi yao yalikuwa yanahatarisha maisha ya Seif. Kitendo cha kuachiwa ni boost kubwa kwa pro-Gaddafi na demoralization kwa Waasi. As soon alipokamatwa angesafirishwa kwa ndege au boat kuelekea Bengazi. Japo there is no way for Gaddafi's comeback, but there would be a lot of casualities before the monster remains motionless.
ami mimi na wewe na wengine wote-cha kufanya kwa muda hi kusubiria Gaddaf kuondoa akiwa hai au akiwa mfu,fate yake ipo mikononi mwake mwenyewe,either ajisalimishe au ajifiche auliwe na mabomu ili atimize ahad yake ya kufa 'martyr'Rafiki yangu kubali kasoro yako kuhusiana na hii mada.Subiri ushangilie mauwaji ambayo tayari NATO wameshayaahidi ili kulazimisha ushindi eti iwapo Ghadafi hatoweka silaha chini.
Unaponishutumu mimi, Mpigakelele na Mathaba unazidi kujichanganya.Kwani Saif Ghadafi aliyekutana na waandishi wa habari wa vyombo hata unavyoviamini naye pia ni Mathaba?.