The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Watu wanadhani gadaffi ameanza kupambana na west miezi sita iliyopita, fact ni kwamba jamaa alishaipeleka vita uingereza kwa kuwasaidia ira, wale jamaa wa north ireland, na jamaa alisharushiana makombora na wamarekani kwa kugombea mpaka wa bahari ya kimataifa mwanzoni mwa miaka ya 80, na kisha wamarekani walishaishambulia tripoli na benghazi kwa ndege za kivita mwaka 1986, then ukijumlisha vikwazo walivyomuwekea vya zaidi ya miaka 15. Pamoja na struggle zote hizi jamaa alifanikiwa kujenga uchumi bora na wa kujitegemea ukilinganisha na nchi nyingi ndani ya bara la afrika.
 
ashafanya mashambulizi mengine ulaya miaka ya nyuma,kwa kifupi gadafi na west ni marafik wa zamani ambao wanajuana kwa game zao chafu,sema this time,luck is not on gaddaf's side,ndo maana USA wanasema its USA policy,gadaf to leave,sasa wamepata sababu za kumtoa
 
Serikali ya Bongo bado inasuasua!
Wakenya wanazengea mafuta ya Libya

Saitoti - Kenya Ready to Help Restore Libya

Benjamin Muindi. 23 August 2011


Nairobi - Kenya has expressed willingness to work with Libya's interim authorities in restoring the country.

Acting Foreign Affairs minister George Saitoti said Tuesday that Kenya will co-operate in restoring order, forging reconciliation and national cohesion, restoring infrastructure and reviving the economy.

"Kenya stands ready to work with the people of Libya, the African Union and the international community to help build a new Libya," Prof Saitoti said in a statement.

He asked the interim authorities to establish a political dialogue with both the AU and international community to help in formulating a new constitution and holding free and fair elections.

"With the impending collapse of the regime of Colonel Muammar Gaddaffi, Kenya urges that all efforts be exerted for the early restoration of peace and stability in Libya," he said.

"Consistent with the AU road map for Libya, Kenya has always believed that only a political solution will make it possible to fulfill the mutually reinforcing objectives of peace and democracy."

Habari zaidi
 
Nafikiri unaota wakati huu watu wanachezea ndani ya bustani za ikulu ya Gaddafi.
 
Kile kiberenge (kibajaj) ambacho Gaddafi alikitumia siku za mwanzoni wa maasi kutangaza kwamba bado yuko ndani ya Tripoli na hajakimbia kwenda Venezuela kimekamatwa na waasi. Angalia hii video!

 
Last edited by a moderator:
 

Wanajua mbinu za vita aisee
 
I hate Askari Kanzu, and the rest who are Supporting chaos and Violences happening in Tripoli coz of NATO... Tripoli was not like this 3days back..There is no humanitarian intervention over there.. Media is under propaganda.. Special forces claimed to be deployed in Tripoli, but we are just cheering on Western recolonization!! What a shame to people like Kanzu.. Damn it!! Independent Journalists are being threatened.. NATO is operating in Tripoli with special forces claimed to be deployed.. Rebel have no any support from Libya.

The cost of one barrel of crude oil has decreased by $4 as rebels advances in Tripoli.. What does that tells u?? Why NATO not going to intervene in Syria, Bahrain, Israel? Why NATO have never supported LRA in Uganda?? Why Libyan rebels are so special?? First time UNSC claimed that thousands have been killed by Ghaddafi.. Later on ICC claimed some few hundreds have been killed by Ghaddafi.. Where is the truth?? Why is western rubbished African peace roadmap?? Cant we solve our own problems?? Why direct assassination of Ghaddafi?? Why didn't the UNSC intervene in UK riots?? Why Queen Elizabeth is in power for such a long term?? How many times Ghaddafi sons were arrested on BBC,CNN,al Jazeera screens?? How many times Ghaddafi left the country on the BBC,CNN,al Jazeera Screens??

Why some Journalists want to kill other independent Journalists (Lizzie, Mahdi and Franklin) in Tripoli?

PressTV - 'West media reports on Libya false'Prison Planet.com »

LIVE UPDATES: Fighting rages at Gaddafi compound
Prison Planet.com »

MI6 Directed Rebel Terrorists In Tripoli Siege
Prison Planet.com »

US, NATO Officials Openly Admit To Arming, Training Libyan Rebels, Forcing Regime Change

The truth about Libya -

108morris108's Channel - YouTube

http://libyasos.blogspot.com/

http://libyasos.blogspot.com/p/gaddafi.html

Life in Libya with Leader Gaddafi:

1. Electricity for household use is free,

2. interest-free loans

3. during the study, governmant give to every student 2 300 dolars/month

4. receives the average salary for this profession if you do not find a jobafter graduation,

5. the state has paid for to work in the profession,

6. every unemployed person receives social assistance 15,000 $/year,

7. for marriage state pays first apartment or house (150m2),

8. buying cars at factory prices,

9. LIBYA not owe anyone a cent,

10. free higher education abroad,

11. 25% of highly educated,

12. 40 loaves of bread costs $ 0.15,

13. water in the middle of the desert, drinking water,

14. 8 dinars per liter of oil (0.08 EUR),

15. 6% poor people,

16. for each infant, the couple received $ 5,000 for their needs.

[video]http://www.youtube.com/user/RussiaToday?feature=chclk[/video]

 
Wanajua mbinu za vita aisee

Basi CNN na BBC wamekalia kutudaganya tu, kumbe waandishi wa habari ndivyo walivyo hakuna cha profesheno mwandishi wa habari duniani, hakuna. Waandishi wa bongo huwa tunawazonga sana kumbe ndivyo walivyo wote.
 
hawa wakenya kwao wana migogoro mingi sana-washuhulkie mambo yao kwanza
 
Libyan rebels storm Gahdafi's Tripoli compound


TRIPOLI, Libya (AP) - Libyan rebels stormed Moammar Gadhafi's main military compound in Tripoli Tuesday after fierce fighting with forces loyal to his regime that rocked the capital as the longtime leader refused to surrender despite the stunning advances by opposition forces.


Fighters poured into the area by the hundreds, carting off boxes of ammunition and firing weapons in the air in celebration. Several young men placed a head seized from a statue of Gadhafi under their feet and kicked it. One happily lifted it above his head while his comrades danced and yelled joyfully around him.


There was heavy fighting before the rebels broke through the green gates of the compound and shooting broke out from other parts of the large, sprawling complex. The body of a slain Gadhafi fighter with a gaping head wound was sprawled on the floor of one of two tents that had been used for pro-regime protests. The other tent was partially on fire.
Despite the euphoria, Gadhafi's whereabouts remained unknown
for information,visit www.yahoo.com
 
hizo data labda ukizilinganisha na maisha ya hapa tz ndo utaona walikuwa wanafaidi,ila kuna nchi zina mambo mazur kuliko hizo-then hata umpe mwanadamu nini,kaka hana uhuru wa kuzungumza,kupinga hakuna cha maana ulichofanya,ndicho alichokuwa hatoi colonel gadaf
 

Mkuu
NATO, US na "rebels" wao wakifanikiwa kuiangusha serikali ya Gaddafi. Wananchi wa Libya watapata serikali kibaraka. Watapata uhuru wa kusema kama sisi hapa Tanzania lakini watasaga meno.
Watatamani utawala wa Gaddafi urudi kama watu hapa JF wanavyotamani Utawala wa Mkapa urudi.
Na fisadis aka kampuni za west zitakuwa zinajichotea mabilioni yao kutoka frozen assets, reconstruction na dili la kufyonza mafuta ya Libya.

Amini kama wananchi wa US na West wangekuwa habari sahihi na kujua mafanikio ambayo Gaddafi kayapata na maendeleo ambayo kawaletea Libya, wengi wangehamia Libya...lakini US na West waliifanya kazi ya kumgeuza Gaddafi, "mad man" kwa ustadi na sasa ndio hivyo" wana-protect civilians" na kumalizia project yao.

Kwa kuibomoa Libya na Gaddafi wanafanya kazi yenye malengo ya kuiua AU pia. Afrika itabaki katika utumwa wa West na US kwa miongo kadhaa ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…