The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Supporters of Moammar Gadhafi have resumed attacks on rebels who say they control most of the Libyan leader's sprawling government compound.Rebel fighters stormed the complex, a symbol of the crumbling regime, in an hours-long battle Tuesday, but the Libyan leader remains in hiding and has vowed to fight "until victory or martyrdom."
On Wednesday, rebel fighters wandered around the complex, Bab al-Aziziya, when they came under fire. Rebels briefly took cover, some running and others speeding toward the gate in pickup trucks, then returned.
It's not clear from where the shooting came, but a rebel field commander, Mohammed Amin, says the last holdouts among regime loyalists have entrenched themselves in areas near the compound.
 
Kuna hii comment,

Those who support the USA_NATO war on Libya are heartless or their hearts are stones !!!. The USA_NATO coalition is a coalition of destruction, occupation , colonialism and imperialism . People of the world help give peace a chance everywhere .

ipo hapa Libya : Tripoli today [13-07-2011]
 
Unajuwa ni kwanini wafuasi wa Ghadafi hawataki waandishi waondoke?.Ni kwa vile bado kazi haijaisha wameambiwa kuanzia sasa ni moto tu,hivyo bado wana wali na ndizi za kutosha kuwalisha ili kazi iendelee.
Angalia BBC uone ukweli wa maneno ya Ghadafi.Rebels wanakimbizwa.
 
Yaani sasa BBC imeanza kuripoti ukweli, siyo?
 
Hamna kitu ni 'uwendawazimu tu'. Yeye ameshaangushwa, wengine wajifunze. Ukitaka kubaki katika kutawala waheshimu unaowatawala. watawala wasifikiri wamezaliwa kutawala milele wao na familia zao. Sadam Hussein alitumia mbinu hizo hizo za maneno kibao ya vitisho mwishoni wa utawala wake, lakini mwisho wa mwisho hakikuonekana kitu. Gadafi amesema kurudi kwao nyuma ni harakati tu za kutaka kushinda. Lakini hakuna kutegemea chochote. Hotuba yake haina maana yoyote! Wanaowapenda walibya wawaombee waweze kuwa na umoja na hatimaye waweze kujenga taifa lenye misingi bora ya utawala. Furaha ya walibya wanaoshangilia sasa si ya vichaa bali ni ya watu wenye akili zao.
 
Funding appeal
Members of the rebel National Transitional Council (NTC), which has so far been based in the eastern city of Benghazi, said they planned to fly to Tripoli on Wednesday to start work on forming a new government.

Rebel representatives also prepared for high-level talks in Qatar on Wednesday with envoys of the US, UK, France, Turkey and the UAE to discuss how to move ahead in the post-Gaddafi Libya.

The head of the NTC's acting cabinet, Mahmoud Jibril, said it was seeking $2.5bn (£1.5bn) in immediate aid.

http://www.ninenewstoday.com/defiant-gaddafi-vows-to-fight/
 
Emotional..i wish nipate nyuklia sasaiv nailengesha washnton,paris na London
 

SI unaona ubarakala wao?.Eti kwanza wanaanza na hao hao waliowatuma.
Wakija Afrika watimuliwe kama AU wanaweza.

 
<b><font color="#800080">Serio umeona Ghadafi anavyoguswa na njaa ya Afrika mashariki ?.<br />
Usingepata tabu ya kusubiri maji ya kunywa kama hivyo kufuatana na mpango wake.</font></b>
<br />
<br />

Kwa jinsi unavyo m-paint kadaffi ni kama vile ndio masihi tuliyekuwa tunamsubiri kuikomboa afrika dhidi ya matatizo yote ya kijamii na kiuchumi tuliyo nayo. Manake mara mpango wa maji, mara njaa ya afrika mashariki mara mfuko wa fedha wa afrika na benki kuu ya afrika (kuna post moja yasema hivyo katika thread nyingine sikumbuki jina la aliyeipost) and so forth. Hii inatuambia nini kama sio mpango wake wa siri (kama kweli angekuja kufanya yote hayo) wa kuwa imperialist wa kiafrika dhidi ya weak african states. Na wajua madhara yake? Uhuru ama nguvu ya kuongea kwa sauti huru hupotea. Hebu fikiria tu mfano mdogo pale mwanzoni mwa mgogoro huu unaopelekea karibu kuanguka kwa utawala wake wa miaka 42. Kadaffi aliamuru mashambulizi ya ndege za kijeshi dhidi ya raia wake. Umoja wa afrika haukutoa karipio wala tamko lolote juu ya suala hilo. Wajua ni kwa nini, si ndio anae toa mchango mkubwa kwa club hiyo ya watawala wa kiafrika. Maana yake ni kuwa kawanunua midomo yao kwa pesa yake. Hawana nguvu ya kumkosoa. So ni wapi alikuwa anajitofautisha na imperialism ya kizungu ambayo anadai alikua anaipinga wakati nae alikuwa na mpango huo huo wa kujipanua kidhalimu kwa states hizi za kiafrika? Haina tofauti na imperialism ya russia wakati ule katika muungano wa USSR dhidi ya weak states zilizokua ndani ya umoja ule.
 
Icho kijirisala kilichoandikwa na hao MATHABA na kujifanya eti kimeandikwa na Gaddafi ni mchezo mchafu. Hakuna mkono wa Gaddafi wala nini hapo, ni propaganda za hao mabazazi wa mathaba wanaotumia jina la Gaddafi! Hao mathaba na Gaddafi lao ni moja. Nishawashtukia.
 
Leo kwa gadaff kesho kwa mwingne, wao ndo wa kuamua nan awe rais nan afanye nini kwa maslahi yao. Walibyawengi wanakenua ila kesho watalia kama wairaq walioshangilia siku majeshi ya marekani yalipoingia baghdad kwa mbwembwe sasa hivi wanataman utawala wa saddam urudi. Kaa mkijua nchi za magharibi hazitupendi waafrika kama wanavyojifanya kutupenda.
Mzungu si rafiki yako akikupa 10 jua keshakuibia 100 nasi kwa ufinyo wa mawazo tunakenua tu.
Gadaff alikuwa kiongoz shujaa na alijitahd kuwapa walibya maisha mema ambayo kati hawatayapata tena.
Yapo makosa mengi kayafanya lakini nah budy is perfect just compare what he did kwa walibya na viongoz wengine wa kiafrika gadaff is far better off.
 
...Kaa mkijua nchi za magharibi hazitupendi waafrika kama wanavyojifanya kutupenda.
Mzungu si rafiki yako akikupa 10 jua keshakuibia 100 nasi kwa ufinyo wa mawazo tunakenua tu...
Hapo kwenye nyekundu hivi unafikiri ni wewe peke yako unayeyajua haya? Nani amekuambia hajui. Usikute labda mimi nayajua haya hata kabla hujazaliwa, wewe shauri yako, aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…