The main reason 4 attacking libya.they say is lacking of freedom for people of libya to expres their views.also oppression to oposition leaderz
Kweli kabisa kwa shida tulizonazo sasa mimi nisingeona shida ya huyu dikteta kama angeongoza nchi yetu kama kwa kufanya hivyo kungetuletea maisha bora tofauti na ambayo tunayo sasa (eti tunajidai tuna demokrasia)......... Wizi Mtupu...!!!!!!nchi za magharibi ndo zao kutoa propaganda kwa interest zao.................................... visingizio visivyo na kichwa wala miguuu.
Lazima atakuwa yeye huyu Mahmud Jibril kiongozi wa waasi aili awajue vema wazungu; lastly JKSADDAM, OSAMA, GHADDAFI.................AL ASSAD AND WHO NEXT! Time to put an end to axis of evil!!!!!!!!!!
Soma hotuba kali ya Ghadhafi kwa ulimwengu.
Katika moja ya sehemu za hotuba hii watanzania wameusiwa wasiende Libya.
Watu wa Ulaya waende Nigeria kwani kaskazini ya Afrika hakuwafai kutokana na moto unaowaka.
Wale wa Marekani wajichimbie huko huko wamsikilize Farakhan au waende Venezuela.--MATHABA
African governments are not strong. They control only a few centers of cities. They often provide no services and the people live without them. They will not stand in your way when the time comes. They are poor. They have been robbed by the racists, the colonialists, the white thieves from the north. Oppose them only if they oppose you. Be prepared. Build your mathaba. Defend your continent.
mkuu, kwenye vita kuna propaganda, lakini swala la kujiuliza ni kwamba, hao wanajeshi watiifu wa Gadafi wapo wapi?Mi naamini vita ya Libya haijaisha; lazima kutakuwa na mbinu kadhaa za kivita zilizotumiwa na wanajeshi wa Ghadhafi, kama hakuna wanajeshi waliotekwa na waasi au kuuawa wameenda wapi kama siyo wameturn back ili kuwapa kichapo cha mbwa mwizi waasi-tusuburi ni suala la muda tu tutaona.
Waasi wa Libya katika kuelekea kuunda serikali wamesema wanahitaji kiasis cha $2.5bn (£1.5bn) kama msaada wa haraka.
Huwezi amini, USA pamoja na kukabiliwa na madeni lukuki yaliyosababisha Serikali yake kutokwa jasho hivi karibuni ikomba kuongezwa kwa ukomo wa kiwango cha madeni jinsi inavyokuwa ya kwanza kuitikia ombia la waasi wa Libya na kuahidi kutoa $1.5bn!!!
Ni mwenye akili za mwendawazimu tu ndiye anayeweza kushangilia uharaka huu na dhamira ya mkopo wa namna hii. Poor African Leaders, poor AU.
The US has said it will try to release up to $1.5bn in frozen Libyan assets.