The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The African Union hasa kwa upande ambao population kubwa na blacks, viongozi wake hawakuonekana ku-support rebels from the begining. Sana sana walionekana kumumunya maneno mwishoni Arab League wakaomba UN waingilie kati. NATO wakapata chance na sasa it's payback time. Gadaffi is out na the blacks in Libya will unfortunately suffer - backlash.!

Hivi si wabongo haya maisha viongozi wetu hawaishi kweli tena kwa pesa za kifisadi?. tuweni wakweli na kwa uchumi wa Libya amabyo GDP yake ni USD 11000 AS PER IMF 14000 AS PER CIA WORLS FACT BOOK NA Ukilinganisha ya yetu hapa ya 600 usd hivi twaweza jua maisha yanatakiwa mtu aishi vipi kweli. nadhani hizi picha western wanazileta afriak ambako watu hawajui maisha kwani hawajui kutumia rasilimali zao ili gaddfi aonekana ana starehe sana. leteni picha za watu maskini wa Libya waliokosa chakula elimu maji huduma za afya wakati wa utawala wake sio hizi za propaganda.

watawala wa kiafrika kaaaazi kweli kweli , full kufuru

at list yeye alikuwa akiishi maisha hayo lakini aliwapa wananchi wake elimu bure, umeme bure, maji bure, unalipwa mshahara pindi ukimaliza elimu ya juu..

lakini watawala huku kwetu kusini mwa afrika dah! ...

Yes, we are suffering from Backlash... All of our black african leaders supported him seen on TV while Libya People where suffering...

Yes, he gave all the money to us blacks Africans and he never care for his peoples problems even to listen to them

Well now we face reverse discrimination, we as African Union still not supporting that Group.

They were asked why are they killing blacks and below is their answer...

"Rebels say Gaddafi employed gunmen from sub-Saharan Africa to shore up his army against his own people, and those fighters have elicited intense enmity from Libyans. But many of the detainees in Zawiyah told Amnesty International they were merely migrant workers "taken at gunpoint from their homes, workplaces and the street on account of their skin color, we have no proof" Eltahawy said."

fedha haram kuliko nguruwe!!!!! naam haram kabisa.

Mkuu Please usipende kushabiklia vitu usivyovifahamu..
Nimewahi kuishi Libya, ni moja ya nchi mbili za kiafrika ambako waafrika hukimbilia kutafuta ajira. South Afrika na Libya hii toka miaka ya 80's.
Pili, sijui Tv gani unaitazama lakini tumeonyeshwa Waafrika weusi wakiwa round up hawana silaha wala sii wanajeshi wala Polisi. Wanaume kwa wanawake tena wakiburuzwa hovyo kama wanyama, tofauti na wewe unayesoma toka ktk magazeti kuja tetea vitu usivyovijua. Ghadaffi ana makosa yake lakini haiwezi kuondoa makosa ya hawa jamaa wanapowasaka na kuwakamata waafrika weusi..

anaemtaka gadafi haswa ni nani NATO au waasi? na mahakama za kimataifa zinamuhitaji gadafi au albashiri?

Stop acting as if your from an Arab nation and ethical you behave like an arab...it seems you believe those old stories that all pple in zanzibar islands came from Oman,remember otherz were slaves from Kigoma,Congo etc.

Alhaji Gaddafi kwisha kazi!!! Sasa radar ya dunia kumgeukia Alhaj Kikwete na maswahiba wake siku si nyingi sana. Amini ninachodokezea hapa.

anaemtaka gadafi haswa ni nani NATO au waasi? na mahakama za kimataifa zinamuhitaji gadafi au albashiri?

Misrata rebels defy Libya's new regime
City refuses to accept appointment by National Transitional Council of former Gaddafi ally as Tripoli security chie

Misratans protest against the National Transition Council decision. The placard reads: 'Whoever helped kill Libyans will never lead us, even with one word.' Photograph: Irina Kalashnikova

The first cracks in Libya's rebel coalition have opened, with protests erupting in Misrata against the reported decision of the National Transitional Council (NTC) to appoint a former Gaddafi henchman as security boss of Tripoli.

Media reports said the NTC prime minister, Mahmoud Jibril, is poised to appoint Albarrani Shkal, a former army general, as the capital's head of security.

Protests erupted in the early hours of the morning in Misrata's Martyr's Square, with about 500 protesters shouting that the "blood of the martyrs" would be betrayed by the appointment.

Misrata's ruling council lodged a formal protest with the NTC, saying that if the appointment were confirmed Misratan rebel units deployed on security duties in Tripoli would refuse to follow NTC orders.

Misratans blame Shkal for commanding units that battered their way into this city in the spring, terrorising and murdering civilians. NTC sources say Shkal, formerly a key confidant of Muammar Gaddafi, turned rebel informer in May, passing valuable information back to the rebel capital, Benghazi.

But Misratans believe that prior to that, he was operations officer for the 32nd brigade, whose overall commander is Gaddafi's son Khamis.
The brigade took the leading role in a siege that saw tanks and artillery bombard residential areas of the city, murdering several hundred civilians.

Full story

Mkuu toa hoja na wala si kutukana. Miye hizo pesa za Gaddafi nimezipata wapi hadi zinifanye mpumbavu? Unaijua vizuri historia ya Libya wewe? Unajua mgongano kati ya wamerekani na na Gaddafi? Unajua mataifa ambayo marekani aliyaita muhimili wa Ushetani duniani? Unajua maslahi waliyonayo Marekani huko Libya? Unajua agenda ya Marekani dhidi ya Mataifa ya Mashariki ya Kati (of course excluding Israel).

Hiyo vita ya Kagera unayoisema unajua chanzo chake au nawe umegubikwa na siasa? Kama Marekani wanawapenda sana watu wa Afrika ni kwa nini hawaendi Somalia ambako watu wanauana kila kukicha na wala hakuna hata harufu ya kinachoitwa Domokrasia tangia nchi hiyo iundwe? Au Somalia hakuna watu wanaoneana na kuonewa ila Libya tu ndiko kuna kuonewa?

Unajua Assad anavyoua watu kila siku mbona marekani inaishia tu kuweka vikwazo na si kuishambulia Syria? Hao watu wa Libya hawakuwa wandamanaji bali waasi waliotumwa na Marekani. Wandamanaji gani wanakuwa na makombora na huku wakisaidiwa na ndege za NATO na Marekani kuiangusha serikali ya Gaddafi ili wajinyakulie mafuta ya libya. Tumeona wandamanaji huko Misri na Tunisia na hata Syria lakini si Libya. Libya imeingiliwa kijeshi na NATO chini ya Marekani.

Hakika nakuambia hao waasi watakuja kujuta. Marekani itawatumia kama TP na kisha kuwa flash!! Kama hutaki tuombe uzima tutaona tu hivi punde.

marekani and those westerns shida yao ni mafuta tu basi hakuna sijui demokrasia wala nn,jiulize why not zimbabwe,why not m7 and why not somalia kama kweli wana huruma na sisi waafrika??wameshindwa afghanistani,irak nk,poleni walibya na wengine mnaocheza ngoma msiyoijua

mi naona hapa ile damu ya ubaguzi ndio inaendelea na itawakula mpaka washangae na roho zao..

your submission is air, you can not cheer people getting killed just because they are suspected to have fought defending Ghaddafi!!!!,,,hao waasi ni wahuni sana yaani naiona Libya+ so called NTC=Somalia upon no time....

Mungu Aepushie mbali ... Lakini first 6 months zukipita salama then we can say ...may onather will make a Year ...na hapo tutakuwa na tumaini !!!!!

Wese so watu wameongea mpaka mishipa ya shingo imewatoka sasa wameamua kuzichapa!
Yetu macho ila nato mngeyafanya haya somalia tungewaona wa maana sana ili angalau somalia watulie!

IT is good to see bad guys behind bars. Especially if they're convicted. Justice is better than revenge. And justice must be done for the relatives of the victims as well as for the dead.

Kama hao Waafrika weusi ni mamruki wa Ghadafi (Gaddafi, Gadhafi, Kadaf, Khadafy, Kadhafi: , Qaddafi or Quathafi), kwa nini wasikamatwe na kufikishwa mikononi mwa sheria wakashtakiwa kama waarifu wa kivita!?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…