Kaka Somalia haiwezi kutulia, maana wakiwa na amani na serikali yenye kuaminika, nao wataanza kuchimba mafuta yao ambayo inasemekana mkondo wake ndio ule ule wa Saudi Arabia... Ina maana wakichimba tu, Saud Arabia hawana chao...!Wese so watu wameongea mpaka mishipa ya shingo imewatoka sasa wameamua kuzichapa!
Yetu macho ila nato mngeyafanya haya somalia tungewaona wa maana sana ili angalau somalia watulie!
Mkuu Please usipende kushabiklia vitu usivyovifahamu..
Nimewahi kuishi Libya, ni moja ya nchi mbili za kiafrika ambako waafrika hukimbilia kutafuta ajira. South Afrika na Libya hii toka miaka ya 80's.
Pili, sijui Tv gani unaitazama lakini tumeonyeshwa Waafrika weusi wakiwa round up hawana silaha wala sii wanajeshi wala Polisi. Wanaume kwa wanawake tena wakiburuzwa hovyo kama wanyama, tofauti na wewe unayesoma toka ktk magazeti kuja tetea vitu usivyovijua. Ghadaffi ana makosa yake lakini haiwezi kuondoa makosa ya hawa jamaa wanapowasaka na kuwakamata waafrika weusi..
your submission is air, you can not cheer people getting killed just because they are suspected to have fought defending Ghaddafi!!!!,,,hao waasi ni wahuni sana yaani naiona Libya+ so called NTC=Somalia upon no time....
Now MpigaKelele you are not being fair. Una maana mimi ni msemaji wa "muhuni" Mustafa Abdel Jalil, sio?
<br />marekani and those westerns shida yao ni mafuta tu basi hakuna sijui demokrasia wala nn,jiulize why not zimbabwe,why not m7 and why not somalia kama kweli wana huruma na sisi waafrika??wameshindwa afghanistani,irak nk,poleni walibya na wengine mnaocheza ngoma msiyoijua
<br />your submission is air, you can not cheer people getting killed just because they are suspected to have fought defending Ghaddafi!!!!,,,hao waasi ni wahuni sana yaani naiona Libya+ so called NTC=Somalia upon no time....
Kuna baadhi ya mijitu mijinga humu inatamani haya yatokee tanzania; hayatatokea ng'o
Mkuu still Egypt si sawa na Libya,ama Egypt NATO waliwa bomb?Waafrika mnaniacha hoi. Hata hapa kwetu wapinzani kama Chadema wakiandamana kwa amani wakidai haki wanaitwa wahuni, kisa ? wanaipinga serikali kandamizi ya CCM iliyoko madarakani na vyombo vyetu vya dola viko tayari kutumia silaha za moto dhidi yao. Wananchi wa Libya hawa tunaowaita wahuni na waasi walianza kwa maandamano kwa kuchoshwa na utawala wa kidikteta na tulishuhudia Gadafi, bila huruma, alivyoamuru washambuliwe na hata kuuawa.
Nakumbuka washabiki wa Gadafi walivyowabeza waasi kuwa hawatafanikiwa na kwamba Libya si sawa na Misri, hadi wengine wanaomtetea hivi sasa kudai hawaungwi mkono na Walibya. Nakumbuka matambo ya mtoto wa Gadafi, nakumbuka silaha zilivyogawiwa kama njugu kwa raia wa kawaida eti kuilinda Libya na kumlinda Gadafi. Ni mataifa ya Kiarabu ndio yalikuwa ya kwanza kuomba umoja wa mataifa kuingilia kati kuwaokoa Walibya dhidi ya muuaji Gadafi.
Tanzania kama kawaida yetu tulikaa kimya. Sasa tupende tusipende utawala dhalimu wa Gadafi umefika ukingoni na kutambua ama kutotambua kwetu tunaowaita wahuni ni kutoa machozi ya samaki. Wimbo wa Walibya wanatumiwa na nchi za magharibi ni wa kipuuzi kwa sababu Gadafi kakaa madarakani miaka 42, hizo nchi zilikuwa zinasubiri nini muda huo wote ? Membe anajua kuwa kuitambua Libya kutawaongezea Watanzania hamasa ya kuitosa CCM.
Poleni wapenzi wa Gadafi lakini imekula kwenu, utawala wa Gadafi na familia yake umefikia kikomo na sasa Libya itaweza kupumua tena. Sisi tulioshuhudia Gadafi akimuunga mkono Idi Amin kutushambulia Watanzania, tunasema good riddance kwa huyu mlevi wa madaraka. Ilifikia hatua alikuwa anapanga hata kujipachika cheo cha mfalme wa Afrika na kweli wapo weusi wenzetu walikuwa wapo tayari kuuza utu wao kwa tamaaa ya vijisenti vya Gadafi.
nazan wataelekea syria,si tz kwa sasa,"he is a good boy"Alhaji Gaddafi kwisha kazi!!! Sasa radar ya dunia kumgeukia Alhaj Kikwete na maswahiba wake siku si nyingi sana. Amini ninachodokezea hapa.
Hawa wanaoitwa waasi ni wahuni tu ambao wametumiwa na Marekani kwa mgongo wa NATO ili wamuondoe Gaddafi Madarakani. S i waasi wala nini? Hawana nidhamu hata kidogo. Nadhani baada ya kutumiwa na Marekani watatupwa mbali ya utawala na hapo ndipo wataanza kujuta na kusaga meno.
Nadhani watakaa kwa muda mfupi kabla ya kujitoa tena. Hapo Algeria ni karibu sana na Libya kwa hiyo siyo salama sana!Hawa wageni wanamletea mkosi mwenyeji wao - Rais wa Algeria. Tuhesabu siku kabla waarabu wa Algeria hawajamtolea uvivu unless awatose mapema.