Chavez Calls for a Counter Attack in Lybia
We have to go on a counteroffensive. We cant sit idly by, he said after ruling out the peace proposal made by the African Union.
On September 1st, Chavez called for resuming the plan launched in late February for the creation of an international commission of countries that could mediate between the government headed by Gaddafi and the rebels to stop fighting.
Huyu naye atapelekewa "domokrezi" karibuni. Hasa kwa vile ametangaza nia yake ya kuirejesha "dhahabu" ya Venezuela kutoka kwa walafi, wizi na majambazi yaliyokubuhu.
Kama Gaddafi anavyotaka Muungano imara wa Afrika, Chavez anataka Muungano wa nchi za Latini Amerika ambao utapunguza makali ya ushawishi wa US na West. The "protection of civilians " in Venezuela is in the pipeline..ajitayarishe!
AU wachukue nafasi hii kuwaweka pamoja Chavez, Ortega na hizo nchi alizozitaja ili zichukue hatua ,sio maneno hewani tu. Pia wamtake Ocampo atoe arrest warrant ya kukamatwa wakuu wa NATO, Sarkozy, Cameroon, Obama kwa "bombs" zaidi ya 30000 walizodondosha kuhami civilians na kukiuka maazimio ya UN 1970 na 1973, kabla na baada ya kupitishwa maazimio hayo.