The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

hii Habari imerushwa na western tell lie vision then imeripotiwa na msemaji wa waasi hapa nchini ''Askari Kanzu''....

Hata ningekuwa nimelewa chakali nisingejilazimisha kuiamini.
Hizi ni zile porojo za kila kukicha.

Ok Askari kanzu hii ya leo ni episode ya ngapi ktk season 5 ya hii series yenu?
 
Nimeipenda sana hiyo ya kuuza mafuta kwa kubadilishana na dhahabu. Hiyo ni komesha. I wish watokee watu wakulikomalia hilo.

Having said that, he should have known the time to let it go, and had more than ample time to rectify matters,with possibility to even hand power over to one of his sons lakini madaraka mwanamalevya!! Tyranny for 40 odd years ain't good by any measure. He got what he was waiting for. If any empathy be expressed, Am sorry for Libyan people but not his tyrannical azz!!!
 

Mood;
Pole sana kwa bandiko lako! Mwanadamu wa kisasa anahitaji Rais ambaye atamwezesha kwenda kwenye Mars au Pluto na kufanya mambo makubwa zaidi ya hayo aliyofanya huyu mzee huko Libya. Kwa mfano, wanafunzi wa chuo wawe wanafanyia praktiko zao mwezini, machinga wawe wanagawiwa magari, mabomba yawe yanatoa maziwa hadi watu wafe kwa kiu ya maji, n.k n.k. n.k..
Walichomfanyia huyu mzee ni kidonda kingine kwenye roho yangu ambacho kitakuwa bado kipya hadi siku naenda kaburini. We acha tu, dunia hii?
 
hakuna marefu yasio na ancha! wampendao gadafi waandae jeneza na kiwanja cha kumzika tuu! yule hana lolote bali ni kitanzi tuu! kama sadamu hakukwepa itakuwaje gadafi?
 
azungukwe au vinginevyo may not be that relevant. bottom line ni kuwa Gadhafi is no longer in power and the best he can do ni kuanzisha vita ya msituni ili libya isitawalike...hatimaye itajionesha wazi kuwa all he wanted ni kuwa ruler wa libya na si kwa walibya
 
hakuna marefu yasio na ancha! wampendao gadafi waandae jeneza na kiwanja cha kumzika tuu! yule hana lolote bali ni kitanzi tuu! kama sadamu hakukwepa itakuwaje gadafi?
Wacha kufuru wewee!.
Ukimuondoa Saddam kwani wangapi wanatafutwa na hawajapatikana.
Haiwi Osama aliyekuwa akifukuzwa kwa ndege za kivita huku yu mgonjwa hajakamatwa mpaka leo na hakujulikana alikoishia.
Dunia bado haijakuwa kijiji kiasi hicho.
Analolitaka Allah hakuna wa kulibadili.
 
JESUITS NDO WALIOHARIBU LIBYA KAMA AMBAVYO WANAENDELEA KUHARIBU SEHEMU ZOTE AMBAZO NI THREAT KWA MISSION YAO YA KUMFANYA POPE KUWA MTAWALA WA DUNIA.......and thats the fact.
 
pamoja hata zile dhambi ulizofanya kwa hili mkuu umepunguziwa kwa kuwawezesha wananchi wako kula raha..

halafu hao rebels kumbe ni wazamiaji wa libya huko ughaibuni wakandanganywa na kukubali kuuza nchi na fahari zao kwa ujumla.

poleni sana wale mnaosapoti watu wa magharibi..
 
<br />
<br />
ningekupa thanks lakini kitufe hakipo ila mkuu kudos..
 

I have lived in Tripoli between 2005-2006. Before I can comment on this info, would you mind to indicate the source of this story of yours?
 
JESUITS NDO WALIOHARIBU LIBYA KAMA AMBAVYO WANAENDELEA KUHARIBU SEHEMU ZOTE AMBAZO NI THREAT KWA MISSION YAO YA KUMFANYA POPE KUWA MTAWALA WA DUNIA.......and thats the fact.

mawazo yatokanayo na ubongo-viza huwa hayajifichi
 

Comment yako ni ya watu wanaojinyonga wakiona maisha magumu si bure. Hakuna kiongozi anayependwa kwa asilimia 100 dunini mpaka useme alitakiwa kujua lini aondoke awaachie CIA watawale dunia. Pole kwa Kudanganywa na demokrasia za western ambazo ni unafiki mtupu. Prove me kuwa leo waweza enda world bank au IMF ukawa mkurugenzi kama hawa jamaa zako NATO ni waungwana sana.
 
Kuna nchi kama Brunei ambayo ni tajiri sana na inawapatia maisha bora na fedha wananchi wake pengine kuliko nchi yoyote duniani na sijasikia the west wakitaka kuivamia.
 

Unadulterated fallacy!!!
 
Sina ugomvi na Democracy Libya but why under the arm of NATO?! Are they charitable of such kind to Africa? I'm not so sure but what I believe they have their personal interest. It's time for African youth to protect our continent agaist these extremely hungery Imperialists. We need Democracy but which will come from our own efforts. I comply with Shossi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…