quimby_joey
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 390
- 165
Nicholas Sarkozy and David cameroon visit Libya for the first time since the collapse of the Ghadafi's regime
NTC wanapata seat UN - kirahisi kabisa. Lakini Palestina kwa miaka zaidi ya 50 sasa wanakataliwa seat. Hivi hii UN ipo kwa ajili ya nani? Na hawa Arab League ni wa hovyo kabisa. Kwa nini walikuwa wa kwanza kuomba msaada wa NATO huko Libya lakini wanawaacha Palestina kwenye ukoloni wa Israel?
Palestina sio nchi na haitokuwa nchi. Palestina ni kama ilivyo Mbagala ndani ya Dar
<br />Nadhani MUNGU aje atoe haki hapa Duniani else bora ije vita kati ya Russia na Ulaya ili Dunia ianze upya manake haya mambo yanatia kinyaa kabisaaa...ni ujinga na ujuha uliopitiliza ile sio UN ni mbwa ya US and EU...wengine hawana sauti pale that is nonsense...AFRIKA LAZIMA IANZE KUPIGANIA UHURU WAKE UPYA...
Kama umefahamu kitu hapo juu, sasa soma na hii Libya's NTC says no Tripoli move until liberation | News by Country | Reuters
NTC ya Benghazi inasema Libya bado haijawa "liberated" kwa hiyo bado hawawezi kuhamia Tripoli.
Hivi "no fly zone" imekwisha? Naona majambazi( waanzilishi wa uasi wa Libya) yanapanga kuingia Libya au wanasafiri kwa gari?
https://www.jamiiforums.com/international-forum/172764-sarkozy-off-to-libya.html
Mkuu unajua kwa nini walifanya visit ya ghafla? duru za kijeshi zinaeleza kuwa hali ilikuwa mbaya kwa Wahuni wa Bengharz, tangu walipoanza kuichokoza Ban Walid, maana majeshi ya Libya chini ya rais M.Gaddaf yalikuwa yanakaribia kuiteka Tripol, sasa ili kunusuru NaTo na aibu, ililazimika waje haraka Tripol lengo likiwa "cover up" ya makomandoo wa nchi za NaTo kuingilia kati mkakati wa serkali ya Libya kutimua wezi wa rasilimali za Waafrika wa Libya.
Rebel wamechezea kichapo toka kwa askari wa Gaddafi na kuamua kuiachia mji wa Sirte alikozaliwa Mkuu mwenyewe Gaddafi
ambulance zilionekana zikibeba rebel waliouawa na waliojeruhiwa kwa wingi mno
nilitabiri vita ya libya itachukua miaka kumalizika
utabiri wangu mwingine Gaddafi atapigana na kuchukua tena madaraka
utabiri mwingine rebel wataenda tena kujipanga na watapigana tena na watachukua madaraka
kwa ujumla Libya haitakaa irudi kwenye amani yake ya mwanzo
Na the best worst result inaweza kuwa libya kugawnayika uwa nchi mbili auhata tatu. Bila hivyo kama ulivyosema itawachukua miaka mingi kuwa stable. Na hiyo instability ndiyo itawaafnya makampuni ya mafuta ya kigeni kupata mikataba kama ile ya tanania kwenye madini. .......
Hapo kwenye red sijaelewa, au unatumia miguu kutype?Na the best worst result inaweza kuwa libya kugawnayika uwa nchi mbili auhata tatu. Bila hivyo kama ulivyosema itawachukua miaka mingi kuwa stable. Na hiyo instability ndiyo itawaafnya makampuni ya mafuta ya kigeni kupata mikataba kama ile ya tanania kwenye madini. .......