Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NTC postpones forming government amid clashes
Latest update: 18/09/2011
As Libya's National Transitional Council forces struggled to eliminate pockets of pro-Gaddafi resistance in Sirte and Bani Walid, the country's interim leaders indefinitely put off forming a new government after failing to meet a Sunday deadline.
AFP - The birth of a new government in Libya, due on Sunday, was put off indefinitely amid disputes over portfolios and as Moamer Kadhafi diehards put up stiff resistance in their remaining strongholds.
Full story
Endelea kujifariji na kuota ndoto ya mchana
Pamoja na matatizo yao lakini ujue kuwa Greece is still much a better country than Tanzagiza. Gadhafi is kaput right now, ameshaufyata mkia na he's a piece of shit waiting to be flashed under the toiletYaani wanaosapoti NATO waombe tu green card waende USA. maana spillover effect ya Gadafi kutokiwepo madarakani iatawakuta tu. Nyumba ya jirani yaungua wewe washangilia miafrika tuna laana kweli, Mbona wao wanawabail Ugiriki na wengineo ambao uchumi ni mbaya. Shauri yenu nyinyi wenye mitazamo ya Kimagamba mnaoamini dunia yaendeshwa kwa visasi si akili?
Pamoja na matatizo yao lakini ujue kuwa Greece is still much a better country than Tanzagiza. Gadhafi is kaput right now, ameshaufyata mkia na he's a piece of shit waiting to be flashed under the toilet
Mad dog of the middle east is done. as much as you love him, hey, I'm sorry your buddy is history now!Hivi mna sababu gani za msingi za kuona gadafi was bad to his people and afrika than Bush who invaded Iraq for ackward reason. Mbona wamarekani wengi hawako happy na hii movement, do u think ur right kushabikia huu udhalimu.Maana leo nimeudhika kuona jamaa wa UNHCR wanaomba nichangie kwa somalia huku ni wa kwanza kuunga mkono any kind of udhalimuna insability of africa through its sister org NATO. Unaweza kunichambulia why Gadafi was threat to USA and Europe au wewe ni shabiki kama wa Manu.
Siyo bure, labda alimnyima 'SOSEJI'Mtazamaji alikunyima nini?
Siyo bure, labda alimnyima 'SOSEJI'
Let's wait and see..
1-Maana muda si mrefu nilikuwa naperuzi nikakuta news kuwa waasi wameteka Sirte Airport japo walipata upinzani wa Gaddafi
SOURCE: Libyan Forces Capture Sirte Airport As Qaddafi Forces Fight Back - Businessweek
2-Baada ya hapo nikaoma ktk website nyingine kuwa NTC watimuliwa Ban Walid
SOURCE: Libya NTC rebel fighters ambushed in Bani Walid by Gaddafi loyalists | Courier Mail
3-Sikuridhika nikaendelea kuperuzi nikapata kujuzwa kuwa NTC wameondoka Bani Walid & Sirte
SOURCE: NTC forces retreat from Bani Walid and Sirte - RT News
4-Ile nataka nifunge browser yangu nikasema ngoja nicheki kwa mara ya mwisho nikaona hapari ya kuwa NTC wameahirisha kuunda serikali kutokana na mapigano yanayoendelea Bani Walid & Sirte.
SOURCE: NTC postpones forming government amid clashes - LIBYA - FRANCE 24
I REALLY DONT KNOW WHICH/WHOM TO TRUST
Na bado angalia hapa wanajeshi wa Col. Gaddafi wamekamata askari wakizungu 17 wanaosaidia rebels...
Libya's new leaders struggle to restore stability
Timothy McDonald reported this story on Monday, September 19, 2011 12:34:00
...A spokesman for Muammar Gaddafi has told Syrian television that 17 "mercenaries", including what he called French and British "technical experts" have been captured in Bani Walid....
Source:
The World Today - Libya's new leaders struggle to restore stability 19/09/2011