Mkuu unategemea Chavez atabadilisha msimamo pia? Au nae amepotoka kwa kupinga uhalifu unaofaywa na US-NATO huko Libya na kwa Gaddafi? Ile ndoto ya African Monetory fund na benki za Afrika ndio inazimwa.....ukoloni unaendelea na sisi wenyewe ndio tunafurahia.. kazi kweli kweli.
Apo unamlenga nani?
Wewe Gang Chomba ni mkorofi (yaani mtu anaependa shari) na nadhani hata bange unazichoma!...unalengwa wewe Askari Kanzu
Mh, aisee huyu jamaa kwa ukigeugeu hana mfanowe. Au jamaa hamjui huyuuu, mi nna wasiwasi wazungu wamemlengesha wakampiga picha akiwa hajui aliyepiga nayeMkuu kwani Chavez ni Mwafrika?
Wewe Gang Chomba ni mkorofi (yaani mtu anaependa shari) na nadhani hata bange unazichoma!
Hapo unakosea. Kutokumsapoti Gaddafi haina maana kwamba ninawasapoti vibaraka na wakoloni. Hebu nionyeshe ushahidi wa tuhuma zako!Hah hah haaah Askari Kanzu umenifurahisha sana.
Upinzani wangu mimi na wewe uko sehemu moja tu, mimi namsapoti Kiongozi wa Libya kanali Gadaffi, na wewe unawasapoti vibaraka wa wakoloni.
Nothing else
Hapo unakosea. Kutokumsapoti Gaddafi haina maana kwamba ninawasapoti vibaraka na wakoloni. Hebu nionyeshe ushahidi wa tuhuma zako!
Kabla sijamaliza kusoma mada yako (maana ni ndefu sana) wacha nikomenti hapo nilipoweka bold:Kama husapoti wakoloni, ila unawaruhusu waivamie sovereign Country basi ni tatizo.
Askari kanzu ni kichwa ngumu. Nimekua nikiendeleakufatilia huu mjadala siku zote. Ila nakuona umekua kichwa ngumu sana.. Ila sio mbaya maana kila mtu na mtizamo wake, cha msingi nikuwa makini ili mtizamo usije ukakinzana na hali halisi yamambo.
Siku zote unapiga kelele bila kutoa sheria yoyote inayoruhusu UNSC kuivamia nchi nyingine kijeshi. Naomba utuonyeshe sheria inayoruhusu uvamizi kijeshi kwa member wa UN.
Kabla sijamaliza kusoma mada yako (maana ni ndefu sana) wacha nikomenti hapo nilipoweka bold:
1)unaposema ninawaruhusu unamaana gani haswa?
2)kuhusu kukuonyesha sheria inayoruhusu uvamizi kijeshi ningeomba umuulize Mheshimiwa Ban Ki Moon maana yeye ndio Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (chombo kilichoidhinisha, kupitia UNSC) kutekeleza Resolution 1973. Mimi sipo hapo kabsaaa!
Hiyo dhamira uisemayo unao ushahidi?
- Ni lugha ya picha imetumika, nikimaanisha dhamira yako inaona sawa uvamizi huo kufanyika..
Eti "tunaingia kwenye vifungu vya sheria". Wewe usianze kunibabaisha aisee. Sheria sikuanza kuisikia leo. Sheria nimeisoma UDSM na kuhitimu mwaka 1983, na baadhi ya walimu wangu niwakumbukao walikuwa maProf. Issa Shivji, Mugongo Fimbo, Masumbuko Lamwai na Josaphat Kanywanyi. Je ulikuwa wapi miaka hio? Labda tukumbushane!
- Sasa kama wewe haupo kabisa unachangia ili iweje? Onyesha sheria hapa! Tunaingia kwenye vifungu vya sheria sasa.. Tumeishachoka na BBC,CNN na Al Jazeera wako hapa.. Media zina fabricate vitu ku cover up maovu.. Kama Ghaddafi alikua anaua raia Benghazi? Na NATO ika protect civillians kwa Bombs, kwa nini NATO hai protect civilians Sirte, Sabha na Bani Walid ambao wameapa kuwa wao ni pro-Ghaddafi? Why NATO is not protecting civilians against Rebels in this area? Wao ni Mbwa mwitu?????? Au hapa Resolution 1973 inafunga macho? Kweli dunia ina mambo.. MSULUHISHAJI GANI ANAKUA ONE SIDED??
Sina tabia ya kuangalia tiivii.Tumeishachoka na BBC,CNN na Al Jazeera wako hapa..