... Ya kwamba umoja wa mataifa, umoja wa ulaya pamoja na baraza la usalama la umoja wa mataifa WAMECHUKUA HATUA KALI NA ZA HARAKA SANA KTK KUJIANDAA KUIVAMIA LIBYA. HATUA HIZI ZILIZOCHUKULIWA NI SAWA NA KUZIDHARAU NCHI ZA KIAFRIKA BALI KUDHARAU AU-SECURITY COUNCIL KUTATUA MAMBO YA NDANI MWA BARA HILI. Kwamba ILIKUWAJE UN HAWAKUIVAMIA RWANDA KIPINDI CHA GENOCIDE? Kwamba nchi za kiafrika zinaouwezo wa kutatua mambo yake kwani 'zinajuana' na 'zinatambua' jinsi ya kushughulikia mambo ya ndani mwa bara hili. Mfano baraza la usalama la AU limefaulu kushughulikia mambo yake ya ndani mfano ukiwa ni MAURITANIA, COMMORO, LESOTHO, ZIMBABWE JUU YA UMOJA WA KITAIFA etc. Ya kwamba UN,USA & EU mbona hawamalizi matatizo ya somalia na hawapeleki manowari za kijeshi mogadishu? Jibu ni MAFUTA YA LIBYA, KWAMBA HAIKUWA NA BIASHARA NZURI NA MAGHARIBI JUU YA MAFUTA YAKE. Zaidi ni IWAJE MALKIA WA UINGEREZA YUPO KWA MIAKA 50 LAKINI HAKUNA KUPIGIWA KELELE? Wachambuzi wamehitaji Libya iachiwe itatue mambo yake yenyewe na AU ifanye kazi yake na si hao wamagharibi. Ya kwamba uvamizi utazua vita na machafuko waliyoyataka wenyewe, na kwamba 40% HAWAMTAKI MUAMMAR huku 60% WAKIMTAKA MUAMMAR,, hali hiyo inapelekea ugumu wa kiongozi wa Libya kuachia ngazi.
Source: BBC SWAHILI PROGRAM 02/03/2011, evening session.